Pongezi Rais Magufuli na Awamu Yake ya Tano, Wafanya Maajabu Vita Dhidi ya Umasikini, Tanzania Yaongoza Dunia Kupunguza Umasikini Uliotopea-WB.

Pongezi Rais Magufuli na Awamu Yake ya Tano, Wafanya Maajabu Vita Dhidi ya Umasikini, Tanzania Yaongoza Dunia Kupunguza Umasikini Uliotopea-WB.

Watanzania tujifunze kusoma ni ripoti ya lini!. Ripoti hii ni Ripoti ya mwaka 2019 regardless data zilikuwa collected lini, validity ya ripoti yoyote ni the date of publication of the report na sio dates of data collection, hivyo as of now, Tanzania ndio inaongoza kwa kupunguza umasikini uliotopea kwa mwaka huu 2019!.
P
Wewe ndiyo maana unalanda landa, hivi unapo jisifu kwamba unafanya research kabla ya kuandika vinyuzi vyako, ni research school ipi iliyokufundisha utoaji habari ya research namna hiyo? Wenzako wamefanya research kwa kukusanya data kisha kuzi-analyse na kutoa taarifa, sasa wewe kwa nini unatoa taarifa yako kinyume na report iliyotolewa na mabeberu? Ukanda ukiingia tumboni shinda sana
 
1577453103652.png

Ndio maana basi. The same report inasema Tanzania ni nchi ya nne barani Afrika kwa kuwa na maskini wengi. Percentage poverty imepungua lakini idadi ya watu maskini imeongezeka due to rapid population growth - ambayo rais wako anakwambia endeleeni kufyatua tu!
 
View attachment 1304839

Donor country,
We donate poverty to our people

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ndiyo maana unalanda landa, hivi unapo jisifu kwamba unafanya research kabla ya kaundika vinyuzi vyako, ni research school ipi uliyopitia? Wenzako wamefanya research kwa kukusanya data kisha kuzi-analyse na kutoa taarifa, sasa wewe kwa nini unatoa taarifa yako kinyume na report iliyotolewa na mabeberu? Ukanda ukiingia tumboni shinda sana
Mkuu Josam, kwanza asante kunidogosha kwa news zangu kuziita vinyuzi!. Humu jf mimi sijawahi kusema nimefanya research yoyote, hivyo naomba nisijibu kuhusu school ipi. Wajameni, Watanzania tujifunze kusoma ripoti, ripoti hiyo ni ya mwaka huu.
Mkuu Josam,hata kama wewe ulioa mwaka 2000, lakini ukashindwa kuijibisha ndoa yako,
JF ikifanya utafiti mwaka huu wa 2019 na kutoa ripoti yake mwaka huu kwa title ya couples ambazo hazijabahatika kupata watoto mwaka huu 2019, wanaongozwa na Josam. Ripoti hiyo ni mwaka huu, 2019, hata kama wewe ulioa 2010 na mpaka leo hujapata mtoto, huwezi kusema kuwa wewe hustahili kwasababu ulioa 2010!.

Hiyo ni ripoti ya mwaka huu 2019, Tanzania ndio inaongoza, ile pale iko top, hata kama data collected ni data za mwaka 2011, top of the chart ni Tanzania.

Angalieni Rekodi za Olimpiki, mwaka 1974, Filber Bayi alivunja rekodi ya dunia ya mbio za mita 1,500 na mwaka 1975, akavunja rekodi ya Commonwealth ya mbio hizo. Mpaka leo mpaka kesho, kwenye kila michezo hiyo, record holder ni Filbert Bayi, kwa sababu bado rekodi yake haijavunjwa!.

P
 
Watanzania tujifunze kusoma ni ripoti ya lini!. Ripoti hii ni Ripoti ya mwaka 2019 regardless data zilikuwa collected lini, validity ya ripoti yoyote ni the date of publication of the report na sio dates of data collection, hivyo as of now, Tanzania ndio inaongoza kwa kupunguza umasikini uliotopea kwa mwaka huu 2019!.
P

Mkuu ,bado hiyo Riport ni ya Mwaka 2000 mpaka 2011 hata kama ingetolewa 2050 bado itakuwa ilikuwa ikizungumzia ya 2000 to 2011.

Kwenye Blue ,.....Mhhhh。hebu fkiri tena Mkuu.
 
Kwa sera ambazo hazidumu kwa muda mrefu umasikini hauwezi kuondoka hasa kwa wafanya bishara zitaendelea kufa ama kufungwa
Mkuu Benny Haraba, hapa tunazungumzia umasikini uliotopea, wa wanaioshi chini ya kipato dola moja kwa siku.
P
 
dah.... sayari hii hii ya dunia au nyingine?

nina ndugu zangu 3 wachakarikaji sana. biashara zao ni za wazi hazina kificho wala uhalifu wowote.

miaka 4-5 iliyopita mimi japo ni mkubwa katika clan yetu, hawa vijana walikuwa wakini bail out kila nikikwama. kifupi, walikuwa ni tegemeo la clan yetu.

fast forward 2019, mimi ambaye ni mwajiriwa (mwalimu) serekalini ndiye nimekuwa sasa tegemeo la wote - in other words chini ya awamu ya 5 ndugu tunagawana umasikini!!

nakumbuka hata wewe Pascal Mayalla ulitoa ushuhuda hapa ukilalamikia serekali ya awamu ya 5 inaua sekta binafsi na kwamba ulilazimika kupunguza wafanyakazi kwa asimilia kubwa kutokana na hali mbaya ya uchumi.... je, umefuatilia wale ma jobless wako wanaishije sasa hivi??
 
Mkuu ,bado hiyo Riport ni ya Mwaka 2000 mpaka 2011 hata kama ingetolewa 2050 bado itakuwa ilikuwa ikizungumzia ya 2000 to 2011.
Hebu fikiri sawa sawa Mkuu.
Mkuu Ciril, kiukweli Watanzania ni shida!, Ripoti ni ya mwaka huu!. Validity ya ripoti ni date of publication na sio date ya data collection!.

Sasa hivi ikifanyika research ya miungano iliyodumu kwa muda mrefu barani Afrika, JMT itaongoza. Salamu za pongezi za kudumu kwa muungano zitakwenda kwa JPM, hata kama waasisi wa Muungano ni Nyerere na Karume. Kama ripoti ya miungano ni ya 2019, pongezi ni kwa the current president. Ripoti ya WB ya mwaka huu, 2019 ndio inaonyesha Tanzania tunaongoza kwa kuondoa umasikini uliotopea.
P
 
Watanzania tujifunze kusoma ni ripoti ya lini!. Ripoti hii ni Ripoti ya mwaka 2019 regardless data zilikuwa collected lini, validity ya ripoti yoyote ni the date of publication of the report na sio dates of data collection, hivyo as of now, Tanzania ndio inaongoza kwa kupunguza umasikini uliotopea kwa mwaka huu 2019!.
P
Labda kama ulitumia tamathali za sema kufikisha ujumbe tofauti na huo uliotuwekea hapa. Chapisho ni la mwaka 2019, lakini takwimu ni miaka kabla ya 2015. Maana yake, hii ni taarifa ya mwaka huu inayoelezea mafanikio ya kipindi hicho (2011-2015) ambacho kilikuwa chini ya JK kuwa Tanzania iliongoza kupunguza umasikini. Ripoti itakayokuja ndio itakayoipima serikali ya JPM.
 
"Angalieni Rekodi za Olimpiki, mwaka 1974, Filber Bayi alivunja rekodi ya dunia ya mbio za mita 1,500 na mwaka 1975, akavunja rekodi ya Commonwealth ya mbio hizo. Mpaka leo mpaka kesho, kwenye kila michezo hiyo, record holder ni Filbert Bayi, kwa sababu bado rekodi yake haijavunjwa!."

Hii ni tofauti na kuondoa Umasikini.Yale ni mashindano na umasikini ni Hali flani ya Ufukara so haviendani.Hata kama ningekubaliana na mfano wako huu bado Mzee wangu Mh Magufuli hausiki na ya 2000 mpaka 2011 Mkuu。

Unampamba sana Baba wa watu..
 
Hapana kwenye hili umepotosha mkuu. Ni sawa kumsifia Magufuli kwa kile alichofanya kwa kipindi cha miaka mi-nne yaani 2015 Nov -2019 Nov. Lakini kwa taarifa uliyoleta yenye jedwali linalohusu utafiti wa mwaka 2000-2011, jedwali hilo haliwezi kuhuishwa na uongozi wa 2015-2019. Sifa hizo zinakwendwa kwa Rais mstaafu Mh. Jakaya Mrisho Kikwete.
Kwanini tusiwe wakweli tu jamani. Kwanini usikubali tu kwamba data ni za kipindi cha 2000-2011 ila taarifa imetoka mwaka 2019 na haihusu watu ambao waliozaliwa mwaka 2012 na kuendelea.
Tunawapenda ma-Rais wetu na serikali zetu zote zilizopita na hii iliyopo, ila kuna WATU MNAJIPENDEKEZA SANA kwa serikali ya sasa na kusahau serikali zilizopita. Nadhani mnasababu tusizozijua za kujipendekeza kwenu.

PEACE BE UPON YOU!
Mkuu Josam, kwanza asante kunidogosha kwa news zangu kuziita vinyuzi!. Humu jf mimi sijawahi kusema nimefanya research yoyote, hivyo naomba nisijibu kuhusu school ipi. Wajameni, Watanzania tujifunze kusoma ripoti, ripoti hiyo ni ya mwaka huu.
Mkuu Josam,hata kama wewe ulioa mwaka 2000, lakini ukashindwa kuijibisha ndoa yako,
JF ikifanya utafiti mwaka huu wa 2019 na kutoa ripoti yake mwaka huu kwa title ya couples ambazo hazijabahatika kupata watoto mwaka huu 2019, wanaongozwa na Josam. Ripoti hiyo ni mwaka huu, 2019, hata kama wewe ulioa 2010 na mpaka leo hujapata mtoto, huwezi kusema kuwa wewe hustahili kwasababu ulioa 2010!.

Hiyo ni ripoti ya mwaka huu 2019, Tanzania ndio inaongoza, ile pale iko top, hata kama data collected ni data za mwaka 2011, top of the chart ni Tanzania.

Angalieni Rekodi za Olimpiki, mwaka 1974, Filber Bayi alivunja rekodi ya dunia ya mbio za mita 1,500 na mwaka 1975, akavunja rekodi ya Commonwealth ya mbio hizo. Mpaka leo mpaka kesho, kwenye kila michezo hiyo, record holder ni Filbert Bayi, kwa sababu bado rekodi yake haijavunjwa!.

P

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania tujifunze kusoma ni ripoti ya lini!. Ripoti hii ni Ripoti ya mwaka 2019 regardless data zilikuwa collected lini, validity ya ripoti yoyote ni the date of publication of the report na sio dates of data collection, hivyo as of now, Tanzania ndio inaongoza kwa kupunguza umasikini uliotopea kwa mwaka huu 2019!.
P
Kilaza! Data za 2000-2011 zikiwa published 2019 zinakuwa za 2015 - 2019?!

Jamaa alisema we njaa tu, na kweli njaa mpaka kichwani. Mtu mzima mwenzangu hovyoo..kulamba miguu ya mwanaume mwenzio..kisa...kabila langu!
 
Back
Top Bottom