Pongezi Rais Samia, Tanzania moja ya nchi Afrika zinazovutia kwa uwekezaji 2020/21

Mbona imepunguzwa 40% ? Au isiwepo kabisa?

Unajua ni tozo ngapi zimeanzishwa wakati wake na je ni ngapi zimepunguzwa?
 
Countrywide tangu umeteuliwa kuwa DC kisalawe basi unatujazia saver hapa Jf kwa kuokota okoyta kila habari
 
Reactions: mmh
Nyie ndio timu ya mama wa kambo ya kumpigia propaganda humu mitandaoni? Naona umejiunga mwezi wa tano ili kuja kutetea jizi la kura.
na , Tuendelee kumpigania Mama,
Mama Samia ataipaisha hii sana
 
Countrywide tangu u


meteuliwa kuwa DC kisalawe basi unatujazia saver hapa Jf kwa kuokota okoyta kila habari

Countrywide tangu u


meteuliwa kuwa DC kisalawe basi unatujazia saver hapa Jf kwa kuokota okoyta kila habari
Wanamtandao wamelaunch kitufe, tutegemee kila aina ya sifa sasa. Mtaambiwa hata anavotembea haijawahi kutokea kwa binadamu.
 
Nyie ndio timu ya mama wa kambo ya kumpigia propaganda humu mitandaoni? Naona umejiunga mwezi wa tano ili kuja kutetea jizi la kura.
Mwnzo alikuja na ID ya Countrywide. Tulipomnasa kwenye radar zetu amebadilisha ID
 
Ukiona hao jamaa wanakusifia ujue umejirahisi. Ila watz kumbe ufahamu bado sana!
 
Ushauri tu kumfananisha ‘mama tozo’ na Magufuli hapo ndipo unapokesea.

Raisi Samia kwa Magufuli atoshi lazima uelewe hata ufanyaje, sio wewe tu na hizi salamu zimfikie Mange.

Magufuli was not immortal kwa upuuzi wake mwenyewe kajiondoa thats life uwezi kubishana na science.

Ukirudi kwenye uhalisia kila zama na nyakati zake; kama wewe ni mfuasi wa mama basi justify action zake kwa faida za jamii na siasa; hila kumlinganisha na Magufuli hiyo vita awezi shinda.

Ushauri tu kwa Mange Kimambi kwa uelewa wangu hafifu wa system ya Tanzania; vibaraka wa Magufuli hawana nguvu na watu wa sasa hawana shida na yeye.

Ila usalama wa taifa kwa ujumla wao ata hawa wapya kuwatukania viongozi wao asijiongopee. Ampiganue mama anavyopenda ila kumtukana Magufuli katika kufanya ivyo ni yeye kujitafutia matatizo ambayo hayapo.

Just a friendly advice
 
UPUUZI MTUPU!!! Nchi haina HAKI. UHURU wala USAWA nani anataka kuja kuwe meza kwenye nchi iliyojaa dhuluma na udhalimu. Mpaka Viongozi wa VODACOM walibambikiwa kesi ná Serikali hii haramu kisha kuporwa billions eti faini!

 
UPUUZI MTUPU!!! Nchi haina HAKI. UHURU wala USAWA nani anataka kuja kuwe meza kwenye nchi iliyojaa dhuluma na udhalimu. Mpaka Viongozi wa VODACOM walibambikiwa kesi ná Serikali hii haramu kisha kuporwa billions eti faini!!’
Sheria msumeno, watu awawezi wachwa kwa matendo ya ugaidi.

Tatizo lenyewe ‘actus rea’ ya kesi ya ugaidi sio shughuli ndogo kuithibitisha.

Sio kusema hakuna elements of Mbowe criminal involments in the saga but proving it in legal terms is something else

Issue hapa wana sheria wa serikali ovyo na wanasheria wa Mbowe ndio ovyo kabisa; mwanasheria aliyobobea Mbowe sasa hivi angekuwa nje.

Kila kitu iyo nchi ni ovyo especially wafuasi wa CDM including you.
 
Sheria msumeno katika nchi ipi?


 
Sheria msumeno, watu awawezi wachwa kwa matendo ya ugaidi.

Tatizo lenyewe ‘actus rea’ ya kesi ya ugaidi sio shughuli ndogo kuithibitisha.
Mzee mbona leo una hasira hivi? Mara Mange, mara wafuasi wa CHADEMA, husomeki Hahaha
 
Reactions: BAK
Bubu Ataka Kusema (BAK) wewe ni mtu ovyo.

CCM ni taasisi inayojikagua na kukaguliwa ndio maana ukapewa hiyo report ya wazi.

Leta ni report ambayo CDM imejikagua basi?

CCM chama achana nacho.
 
Mzee mbona leo una hasira hivi? Mara Mange, mara wafuasi wa CDM, husomeki Hahaha
Sipendi watu wanaomtukana hayati kwa kujipendekeza.

Magufuli wasn’t perfect ila Mange kwenye kujipendekeza kwake aachane na kumtukana Magufuli. Yeye ampambe mama tu na anayofanya kwa faida ya jamii.

Kwanini atutukanie shujaa wetu.

Na CDM ni ghasia tu kwenye siasa zetu; kina wafuasi wa ovyo kweli kweli.
 
Kwa ufinyu wa akili yako mpuuzi wewe!!! Hao akina pole pole na Bashiru waliotamka hivyo walikuwa hawajui kama maccm yanakaguliwa? Ni wakubwa gani hao ndani ya maccm waliowazuia kuwataja majizi ndani maccm?
Bubu Ataka Kusema (BAK) wewe ni mtu ovyo.

CCM ni taasisi inayojikagua na kukaguliwa ndio maana ukapewa hiyo report ya wazi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…