Pongezi Rais Samia, Tanzania moja ya nchi Afrika zinazovutia kwa uwekezaji 2020/21


BAK,

kwanini unaattack kwa kutumia hoja za zamani,

Kumbuka hii ni zama mpya na ndio sources ya "Uzi huu"

Kwahayo unayoyataja ndio maana kwa zaidi ya miaka 4 hatujawahi kuwepo hata kwenye Top 10,

Rais Samia ameweka mazingira salama ndio maana leo tunaingia kwenye Orodha ya nchi TANO ambazo zinamazingira mazuri ya uwekezaje Kati ya nchi 54 zilizoko Africa,

TUJIKITE LEO NA MAMA SAMIA NA SIO VINGINEVYO,
 



Comparative Analysis huwezi kuiepuka,

Ningumu sana kujua kama Rais Samia anafanya vizuri bila kumlinganisha na waliomtangulia akiwemo Hayati Magufuli

Kumlinganisha na Hayati Magufuli sio kumdharau Rais Magufuli hapana ni kujaribu kulinganisha utendaji wao wa kazi,Ndio maana tulimlinganisha Kikwete na Magufuli na haikuwa shida hata kwake Yeye mwenyewe JK,


till now mama is doing better for some areas tumpongeze na tuendelee kumwombea afanye vizuri zaidi,
 
H
_____________________________________

Hivi nchi hii kunachama cha Wapigaji kuliko Chadema?

Mwaka 2015-2020 Chadema ilipata Tshs 326M kwa mwezi,

Kwa miaka 5 ambayo ni miezi 60 Chadema ilikusanya Tsh 19.6 bilioni,

Hebu tuambieni pesa hii iko wapi?

Msitunyooshee CCM vidole mkajisahau ninyi,

CCM bado ni chama imara sana kwa miaka 70 ijayo kwa Ustawi wa Tanzania,

!!TANZANIA HAKUNA KAMA CCM!!
 



Naungana na wewe
 


🤛🏿 🤛🏿
 
Big Up Sana , Tuendelee kumpigania Mama,
Mama Samia ataipaisha hii sana


Tutampigania kufa au kupona huyu Mama,

Leo faini ya boda ni elfu 10 toka elfu 30 halafu mnasema mama ninonino,

Leo bei ya pamba hapa Lamadi ni 1800 mnataka tumpende nani kama sio huyu Mama,
Leo kodi ya ardhi 2,500 tu
Leo kuvuta umeme elfu 27 tu
Tunamtaka mama hadi 2050.
 
Hoja za zamani huyo wa KUDEMKA alikuwa wapi? Alifanya kipi kupinga udhalimu na dhuluma vilivyokithiri nchini? Alikuwa part and parcel ya Serikali haramu ya dhalimu mwendazake. Na mambo ya zamani hayawaathiri Watanzania? Hayaathiri nchi katika Jumuiya ya Kimataifa ambapo heshima ya Tanzania imeporomoka sana hadi Denmark kuamua kufunga ubalozi wao nchini nchi pekee katika Africa waliyoamua kufunga ubalozi?
Hayaathiri uchumi na sekta nyingine mbali mbali muhimu nchini!?
Huyo wa vichokochoko hana rekodi yoyote ya kujivunia na hana uwezo wa kufanya lolote la maana kuleta ahueni kwa Watanzania.
 



Tofauti ya CCM ndio hii, Inabadilika badilika kila wakati,
CCM hii ya Samia ni Tofauti sana na CCM zilizopita,

Watanzani Samia wameshamuelewa,
 


Aaaaah unazingua, Angefanya bila kuwa full. Mandate au hujui VP ni too ceremonial Post,
 
Ceremonial post so you keep your mouth shut even if you see actions which are detrimental to the country?
Aaaaah unazingua, Angefanya bila kuwa full. Mandate au hujui VP ni too ceremonial Post,
 
Kongole sana tunataka biashara zifunguke na watu wajivunie kujiajiri kama kabla ya 2015..

Asijetokea shetani kama yule mwingine
 
Mwenye Mashaka na Samia hana akili.

Huyu Mama kazi anayoifnya imetukuka.
Kesha ratify hadi itifaki ya soko la jumuia ya Afrika baada ya kusua sua kwa miaka nenda Rudi.

Nachomkubali Maza Kazi ya kupayuka kawapa wengine yeye anadili na masuala ya kimya kimya.
 
Kesha ratify hadi itifaki ya soko la jumuia ya Afrika baada ya kusua sua kwa miaka nenda Rudi.

Nachomkubali Maza Kazi ya kupayuka kawapa wengine yeye anadili na masuala ya kimya kimya.


Mama analeta raha sana hasa kwa wanaoipenda nchi yao, Wanaoipenda nchi iende mbele,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…