Pongezi Rais Samia, Tanzania moja ya nchi Afrika zinazovutia kwa uwekezaji 2020/21

Sasa wewe kinakukera nini? Unataka Samia atukanwe na sisi vijana wake tukae kimya?

Mimi huyu mtu namfollow popote alipo nipo
Kuna Njia ya kumsifia kiongozi ili kumjenga kisiasa lakini kuna njia ukimsifia sana kipuuzi, unambomoa! Huyu jamaa anatakiwa kumsifia kihoja si kishabiki. Ukiwa mkomavu kisiasa utanielewa
 
Kuna Njia ya kumsifia kiongozi ili kumjenga kisiasa lakini kuna njia ukimsifia sana kipuuzi, unambomoa! Huyu jamaa anatakiwa kumsifia kihoja si kishabiki. Ukiwa mkomavu kisiasa utanielewa
Sasa unailaumu source ya taarifa au aliyeileta hapa?

Tangu lini Chadema asifie mipango ya CCM?

PALE ULIPOMTETEA MBOWE NIKAJUA WEWE NI NANI,
 
Hongera mama kazi tunaiona na inaendelea
 
Safi sana hii, Tanzania nakupenda sana,

Hakuna Kama Rais Samia😍😍
 
 
Safi sana
 
Tanzania na Samia,

1.Uchumi Juu,

2. Uwekezaji juu

3. Diplomasia juu

4. Amani & Upendo juu

5. Maendeleo juu

6. Demokrasia juu
 
Leo ndio nimeona umuhimu wa Safari za nje za Rais,

Wawekezaji 111 kwa mpigo huku 40 niwawekwzaji wakubwa kabisa,

VIVA SAMIA VIVA||VIVA TANZANIA VIVA
 
 
#happy birthday Tanganyika
 
 
Kama kuna Rais wa Ukweli Tanzania tumepata basi ni huyu mama,

#MAMA KAZIIENDELEE
 
"Kama Katiba ingeruhusu Mhe Samia Suluhu Hassan hakupashwa kuwa Rais wa mihula miwuli pekee,

Huyu Mama walau kwa Uchache angestahili miaka walau 15 "
 
Najaribu kuwaza kwa Sauti kama sio Rais Samia Suluhu leo Tanzania tungekuwa wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…