Pongezi Rais Samia, Tanzania moja ya nchi Afrika zinazovutia kwa uwekezaji 2020/21

Kwa speed hii ya Rais Samia, Tanzania huenda ikaibua mabilionea wapya 100 miaka miwili ijayo,Tufanye kazi kwa bidii zaidi
 
we love you mama
 
"Team JF "

Kama maambukizi ya COVID -19 yanaongezeka siku hadi siku, nilazima kuchanja kwa hiari ili kujinga,

#Kuwa Supa kachanje,
 
"Team JF "

Kama maambukizi ya COVID -19 yanaongezeka siku hadi siku, nilazima kuchanja kwa hiari ili kujinga,

#Kuwa Supa kachanje,
 
Ukiona mabeberu wanakusifia kwa kuvutia wawekezaji ujue unaliwa!! wameona shamba la bibi!! Mahali wanapoweza kunyonya kwa urahisi!! Hii si sifa njema hata kidogo!! Kamwe mabeberu huwa hawakubali win win situation!! Halafu nyumbu wanakuja hapa wanasifia!!
 
Team JF,


MERRY CHRISTMAS AND HAPPY NEW YEAR 2022.

#TUENDELEE KUMUUNGA MKONO RAIS WETU,
 
Hii roho yako ya kimasikini inakupa shida sana,
 
Happy Boxing Day kwa hisani ya Mhe Samia Suluhu Hassan
 
Miradi yote iliyoachwa na Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli Rais Samia Suluhu Hassan anaitekeleza kwa 100%

Sihiyo tu tayari mingine mipya inaendelea na Ujenzi,

Tunawajibu wa kumwombea Mama huyu,
 
#2025Fever itawapotezea muda wenu bure,hakuna wakumuangusha Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi hizi kubwa na nzuri anazozifanya,

#KAZIIENDELEE NA MAMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…