Pongezi TBC kwa Uchambuzi Mahiri wa Siasa! Waichambua CHADEMA very objectively. Huu ni uthibitisho TBC ni TV ya wote

Wanabodi,

Niko hapa Dodoma kuhudhuria mkutano mkuu wa CCM, nimelala bonge la hotel, bonge la chumba, bonge la kitanda, ila sisi watu wa yale mablengeti, nimejikuta nimekosa kabisa usingizi, hivyo 12 :00 asubuhi nika tune TBC kipindi cha Jambo Live.

Leo kuna watangazaji watatu mahiri kabisa, sikuyashika majina yao ila nimeguswa sana na utangazaji wao, umahiri wao, objectivity yao, na kubwa kuliko ni genuinety yao!.

Huyu mtangazaji aliyeongoza jambo ya leo, ana weza kabisa kuendesha kipindi kama Kiti Moto!.

Wameanza kuzungumzia kidogo siasa, wakazungumzia kidogo mkutano mkuu wa CCM, kisha uchaguzi wa Chadema.

Mtangazaji mwendeshaji alitumia style ya maswali ya kiti moto style kuuchambua uchaguzi wa mwenyekiti wa Chadema.

The most interesting part ni jinsi mtangazaji mwendeshaji alivyo husianisha uchaguzi wa mwenyekiti wa chadema na urais wa 2025.

Aliwachambua wagombea wawili wakuu Tundu Lissu na Freeman Mbowe, kisha akawachambua wagombea wote wa urais wa chadema toka kuanza kwa mfumo wa vyama vingi.

Akasema yeyote atakayeshinda uchaguzi wa chadema anakwenda kupambana na Samia wa CCM October kwenye uchaguzi Mkuu.

Mtangazaji kiongozi akawauliza kati ya mpambano wa Samia na Mbowe na Samia na Lissu, upi utakuwa mpambano moto?.

Mchambuzi wa kwanza akaufyata na kusema huwezi kuniingiza kwenye huo mtego, nimeushutukia sijibu kitu!.

Mchambuzi wa pili, akasema mpambano moto ni Samia na Tundu Lissu ndio utaleta hamasa uchaguzi wa rais 2025 kwasababu Tundu Lissu ndie mtu anae trends zaidi kuliko Mbowe kwasababu Mbowe amezoeleka, hana jipya!.

Mchambuzi huyu amesema angependa kuona mchuano wa Samia na Lissu urais 2025.

Hawa vijana wote watatu wamenikosha, mwendeshaji kwa maswali ya uchokozi, mchangiaji mmoja muoga kama kunguru, anachangia kwa nidhamu ya uoga. Mchangiaji mwingine very objective and genuine.

This is very good kwa TBC, Natoa pongezi zangu kwa TBC kwa uchambuzi mahiri kama huu wa Siasa za Bongo kuchambua chama cha upinzani kama Chadema, kuna wakati TBC walikuwa wanaiogopa Chadema kama ukoma!.

Huu ni uthibitisho TBC ya Dr. Rioba ni TV ya Watanzania wote, Vyama Vyote na vyama vyote, hivyo tulifute rasmi lile jina la TBCCM!.

Big Up Dr Ayub Rioba for TBC transfornation from Government Broadcasting Statition into Public Broadcasting Station.

Paskali.
paskali, ni kweli uko serious??
tbc kweli ni ya kuweza kuichambua Chadema bila ya upendeleo kwa ccm? hii inawezekana?pale tbc wengi sana ni Mawakala wa tiss ambao siku zote kabisa za utendaji kazi zao ni kwa kupata maagizo ya kutoka huko ili kuisifia ccm, halafu ndiyo wawe objective?
 
Ingekuwa ni TV ya wote wangewapa platform kunadi sera zao kiushindani na vyama vya ubwabwa siyo kuwananga
 
4R zinatekelezwa vizuri na TBC kwa usimamizi wa Dk. Ryoba. Nimepata kumsikia Mkurugenzi Mkuu TBC akisema. "Zile zama za kupigiwa simu studioni na kuambiwa nini cha kutangaza na nini cha kutotangaza, kwa uongozi wake hakuna na hatokubali upuuzi huo".
Kwa leo kilichonifurahisha ni kuona wale tuilowazoea kuwa Wachambuzi mahiri wa michezo, wameweza kutuchambulia vizuri siasa kwa muktadha huu wa uchaguzi wa sasa na ujao. Hongera sana Mtozi Mhando na jopo lake la uchambuzi.
 
Upo Dodoma kwa hisani yao, lazima uipigie chapuo TBCCM kulipa fadhila za kulipiwa chumba kikubwa hotelini.

Lissu hakwepeki, wala haitaji endorsement kutoka TBCCM.
Hajalipiwa blanket chapa mtu tu ama amekula nauli akakwapuliwa na wajumbe. Didoma inahitaji ulinde chako kwa ukaribu. Watu wanaacha hela yoyote ile kwa uhitaji wa mtu. 😂😂
 
Wanabodi,

Niko hapa Dodoma kuhudhuria mkutano mkuu wa CCM, nimelala bonge la hotel, bonge la chumba, bonge la kitanda, ila sisi watu wa yale mablengeti, nimejikuta nimekosa kabisa usingizi, hivyo 12 :00 asubuhi nika tune TBC kipindi cha Jambo Live.

Leo kuna watangazaji watatu mahiri kabisa, sikuyashika majina yao ila nimeguswa sana na utangazaji wao, umahiri wao, objectivity yao, na kubwa kuliko ni genuinety yao!.

Huyu mtangazaji aliyeongoza jambo ya leo, ana weza kabisa kuendesha kipindi kama Kiti Moto!.

Wameanza kuzungumzia kidogo siasa, wakazungumzia kidogo mkutano mkuu wa CCM, kisha uchaguzi wa Chadema.

Mtangazaji mwendeshaji alitumia style ya maswali ya kiti moto style kuuchambua uchaguzi wa mwenyekiti wa Chadema.

The most interesting part ni jinsi mtangazaji mwendeshaji alivyo husianisha uchaguzi wa mwenyekiti wa chadema na urais wa 2025.

Aliwachambua wagombea wawili wakuu Tundu Lissu na Freeman Mbowe, kisha akawachambua wagombea wote wa urais wa chadema toka kuanza kwa mfumo wa vyama vingi.

Akasema yeyote atakayeshinda uchaguzi wa chadema anakwenda kupambana na Samia wa CCM October kwenye uchaguzi Mkuu.

Mtangazaji kiongozi akawauliza kati ya mpambano wa Samia na Mbowe na Samia na Lissu, upi utakuwa mpambano moto?.

Mchambuzi wa kwanza akaufyata na kusema huwezi kuniingiza kwenye huo mtego, nimeushutukia sijibu kitu!.

Mchambuzi wa pili, akasema mpambano moto ni Samia na Tundu Lissu ndio utaleta hamasa uchaguzi wa rais 2025 kwasababu Tundu Lissu ndie mtu anae trends zaidi kuliko Mbowe kwasababu Mbowe amezoeleka, hana jipya!.

Mchambuzi huyu amesema angependa kuona mchuano wa Samia na Lissu urais 2025.

Hawa vijana wote watatu wamenikosha, mwendeshaji kwa maswali ya uchokozi, mchangiaji mmoja muoga kama kunguru, anachangia kwa nidhamu ya uoga. Mchangiaji mwingine very objective and genuine.

This is very good kwa TBC, Natoa pongezi zangu kwa TBC kwa uchambuzi mahiri kama huu wa Siasa za Bongo kuchambua chama cha upinzani kama Chadema, kuna wakati TBC walikuwa wanaiogopa Chadema kama ukoma!.

Huu ni uthibitisho TBC ya Dr. Rioba ni TV ya Watanzania wote, Vyama Vyote na vyama vyote, hivyo tulifute rasmi lile jina la TBCCM!.

Big Up Dr Ayub Rioba for TBC transfornation from Government Broadcasting Statition into Public Broadcasting Station.

Paskali.
Duuu bado kuna watu wanatazama TBC? Kituo cha propaganda cha ccm.
 
Mzee mwenzangu; kipindi chako cha "KITI MOTO" tunakikumbuka wachache humu, halafu vijana wa enzi hizo ndio wakabadiri jina la yule mnyama na kumwita jina la kipindi chako; njoo na jina jipya kaka, hili la Kitimoto hapana
 
Huu ni uthibitisho TBC ya Dr. Rioba ni TV ya Watanzania wote, Vyama Vyote na vyama vyote, hivyo tulifute rasmi lile jina la TBCCM!.
Bado ni TBCCM.
Mchambuzi wa kwanza akaufyata na kusema huwezi kuniingiza kwenye huo mtego, nimeushutukia sijibu kitu!.

Kaogopa kibarua kisije kuota nyasi.

Niko hapa Dodoma kuhudhuria mkutano mkuu wa CCM, nimelala bonge la hotel, bonge la chumba, bonge la kitanda, ila sisi watu wa yale mablengeti,
Weka Picha Paskali.
 
Update
Baada ya Tundu Lissu kushinda, media zote, zimejikita kwenye kutangaza tuu matokeo na ushindi, TBC ndio TV pekee imetia timu kijijini kwa Lissu, kule Ikungi, ikaongea na mama yake mzazi, dada yake na majirani zake.
Hii inaitwa news divesity.
TBC inaongoza kwa news divesity.
Mambo mengine mengi ambayo TBC inaongoza ni pamoja na
P
 
White Gorgeous women are definitely delicious 😋
The test lies with what pleases the eyes, pleases the heart, if eat it will test delicious, thefore the taste is an atittude of mind. To some including me, white meat is not so tssty and delicious as red meat!.
P
 
Back
Top Bottom