Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
- Thread starter
- #21
Sifa ni duniani, mbinguni ni hesabu tuu na kuwa too busy na wanawali!Sio kuja kusifia huku duniani bwana!
P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sifa ni duniani, mbinguni ni hesabu tuu na kuwa too busy na wanawali!Sio kuja kusifia huku duniani bwana!
Hapana!.Utachukua fomu jimbo la Kawe?
paskali, ni kweli uko serious??Wanabodi,
Niko hapa Dodoma kuhudhuria mkutano mkuu wa CCM, nimelala bonge la hotel, bonge la chumba, bonge la kitanda, ila sisi watu wa yale mablengeti, nimejikuta nimekosa kabisa usingizi, hivyo 12 :00 asubuhi nika tune TBC kipindi cha Jambo Live.
Leo kuna watangazaji watatu mahiri kabisa, sikuyashika majina yao ila nimeguswa sana na utangazaji wao, umahiri wao, objectivity yao, na kubwa kuliko ni genuinety yao!.
Huyu mtangazaji aliyeongoza jambo ya leo, ana weza kabisa kuendesha kipindi kama Kiti Moto!.
Wameanza kuzungumzia kidogo siasa, wakazungumzia kidogo mkutano mkuu wa CCM, kisha uchaguzi wa Chadema.
Mtangazaji mwendeshaji alitumia style ya maswali ya kiti moto style kuuchambua uchaguzi wa mwenyekiti wa Chadema.
The most interesting part ni jinsi mtangazaji mwendeshaji alivyo husianisha uchaguzi wa mwenyekiti wa chadema na urais wa 2025.
Aliwachambua wagombea wawili wakuu Tundu Lissu na Freeman Mbowe, kisha akawachambua wagombea wote wa urais wa chadema toka kuanza kwa mfumo wa vyama vingi.
Akasema yeyote atakayeshinda uchaguzi wa chadema anakwenda kupambana na Samia wa CCM October kwenye uchaguzi Mkuu.
Mtangazaji kiongozi akawauliza kati ya mpambano wa Samia na Mbowe na Samia na Lissu, upi utakuwa mpambano moto?.
Mchambuzi wa kwanza akaufyata na kusema huwezi kuniingiza kwenye huo mtego, nimeushutukia sijibu kitu!.
Mchambuzi wa pili, akasema mpambano moto ni Samia na Tundu Lissu ndio utaleta hamasa uchaguzi wa rais 2025 kwasababu Tundu Lissu ndie mtu anae trends zaidi kuliko Mbowe kwasababu Mbowe amezoeleka, hana jipya!.
Mchambuzi huyu amesema angependa kuona mchuano wa Samia na Lissu urais 2025.
Hawa vijana wote watatu wamenikosha, mwendeshaji kwa maswali ya uchokozi, mchangiaji mmoja muoga kama kunguru, anachangia kwa nidhamu ya uoga. Mchangiaji mwingine very objective and genuine.
This is very good kwa TBC, Natoa pongezi zangu kwa TBC kwa uchambuzi mahiri kama huu wa Siasa za Bongo kuchambua chama cha upinzani kama Chadema, kuna wakati TBC walikuwa wanaiogopa Chadema kama ukoma!.
Huu ni uthibitisho TBC ya Dr. Rioba ni TV ya Watanzania wote, Vyama Vyote na vyama vyote, hivyo tulifute rasmi lile jina la TBCCM!.
Big Up Dr Ayub Rioba for TBC transfornation from Government Broadcasting Statition into Public Broadcasting Station.
Paskali.
Gwajima amekuona?Hapana!.
P
Hajalipiwa blanket chapa mtu tu ama amekula nauli akakwapuliwa na wajumbe. Didoma inahitaji ulinde chako kwa ukaribu. Watu wanaacha hela yoyote ile kwa uhitaji wa mtu. 😂😂Upo Dodoma kwa hisani yao, lazima uipigie chapuo TBCCM kulipa fadhila za kulipiwa chumba kikubwa hotelini.
Lissu hakwepeki, wala haitaji endorsement kutoka TBCCM.
Uzalendo ni kula kwa urefu wa kamba?we ndiyo umepuuzwa, watanzania wenye akili na wazalendo TBC kwao ni km maji, ni kila kitu
Duuu bado kuna watu wanatazama TBC? Kituo cha propaganda cha ccm.Wanabodi,
Niko hapa Dodoma kuhudhuria mkutano mkuu wa CCM, nimelala bonge la hotel, bonge la chumba, bonge la kitanda, ila sisi watu wa yale mablengeti, nimejikuta nimekosa kabisa usingizi, hivyo 12 :00 asubuhi nika tune TBC kipindi cha Jambo Live.
Leo kuna watangazaji watatu mahiri kabisa, sikuyashika majina yao ila nimeguswa sana na utangazaji wao, umahiri wao, objectivity yao, na kubwa kuliko ni genuinety yao!.
Huyu mtangazaji aliyeongoza jambo ya leo, ana weza kabisa kuendesha kipindi kama Kiti Moto!.
Wameanza kuzungumzia kidogo siasa, wakazungumzia kidogo mkutano mkuu wa CCM, kisha uchaguzi wa Chadema.
Mtangazaji mwendeshaji alitumia style ya maswali ya kiti moto style kuuchambua uchaguzi wa mwenyekiti wa Chadema.
The most interesting part ni jinsi mtangazaji mwendeshaji alivyo husianisha uchaguzi wa mwenyekiti wa chadema na urais wa 2025.
Aliwachambua wagombea wawili wakuu Tundu Lissu na Freeman Mbowe, kisha akawachambua wagombea wote wa urais wa chadema toka kuanza kwa mfumo wa vyama vingi.
Akasema yeyote atakayeshinda uchaguzi wa chadema anakwenda kupambana na Samia wa CCM October kwenye uchaguzi Mkuu.
Mtangazaji kiongozi akawauliza kati ya mpambano wa Samia na Mbowe na Samia na Lissu, upi utakuwa mpambano moto?.
Mchambuzi wa kwanza akaufyata na kusema huwezi kuniingiza kwenye huo mtego, nimeushutukia sijibu kitu!.
Mchambuzi wa pili, akasema mpambano moto ni Samia na Tundu Lissu ndio utaleta hamasa uchaguzi wa rais 2025 kwasababu Tundu Lissu ndie mtu anae trends zaidi kuliko Mbowe kwasababu Mbowe amezoeleka, hana jipya!.
Mchambuzi huyu amesema angependa kuona mchuano wa Samia na Lissu urais 2025.
Hawa vijana wote watatu wamenikosha, mwendeshaji kwa maswali ya uchokozi, mchangiaji mmoja muoga kama kunguru, anachangia kwa nidhamu ya uoga. Mchangiaji mwingine very objective and genuine.
This is very good kwa TBC, Natoa pongezi zangu kwa TBC kwa uchambuzi mahiri kama huu wa Siasa za Bongo kuchambua chama cha upinzani kama Chadema, kuna wakati TBC walikuwa wanaiogopa Chadema kama ukoma!.
Huu ni uthibitisho TBC ya Dr. Rioba ni TV ya Watanzania wote, Vyama Vyote na vyama vyote, hivyo tulifute rasmi lile jina la TBCCM!.
Big Up Dr Ayub Rioba for TBC transfornation from Government Broadcasting Statition into Public Broadcasting Station.
Paskali.
Bado ni TBCCM.Huu ni uthibitisho TBC ya Dr. Rioba ni TV ya Watanzania wote, Vyama Vyote na vyama vyote, hivyo tulifute rasmi lile jina la TBCCM!.
Mchambuzi wa kwanza akaufyata na kusema huwezi kuniingiza kwenye huo mtego, nimeushutukia sijibu kitu!.
Weka Picha Paskali.Niko hapa Dodoma kuhudhuria mkutano mkuu wa CCM, nimelala bonge la hotel, bonge la chumba, bonge la kitanda, ila sisi watu wa yale mablengeti,
Kwenye miti hakuna wajenzi!.Weka Picha Paskali.
White Gorgeous women are definitely delicious 😋Kati ya hobies zangu ni traveling, eating good stuff na sleeping mahali pazuri, sio tuu huwa nasifia hoteli nzuri, chumba kizuri, pia husifia chakula kizuri Uliwahi kula vyakula gani kutoka sehemu mbalimbali Duniani ukafaidi?
P
The test lies with what pleases the eyes, pleases the heart, if eat it will test delicious, thefore the taste is an atittude of mind. To some including me, white meat is not so tssty and delicious as red meat!.White Gorgeous women are definitely delicious 😋
Utawaponza wenzio sasa hivi! Watafutie kazi kabisa. REf Tido MhandoSifa ni duniani, mbinguni ni hesabu tuu na kuwa too busy na wanawali!
P