Pongezi TLS Kumpongeza Rais Samia kwa Hatua Alizochukua Ngorongoro, TLS Imeonyesha Professionalism na Sio Unaharakati! Big Up Rais wa TLS

Ila mkuu P, upunguze ukinyonga, hili linawafanya wanaojielewa kushindwa kukuelewa. Lile bandiko lako kuhusu TLS kuwa wanaharakati uliandika mengi sana, jifunze kuwa na breki kidogo
 
luka na tlatlaah wako mahali wana discuss jambo
 
Mvumilie tu huyo mshindi, siku zinavyokwenda mbele utamzoea tu.
 
You just forgot to swallow you are words against TLS and Mwambukusi
Huwezi jua, usikute haya mabandiko yangu mawili

1. Kwanza nilimpongeza na kumshauri kitu Hakuna Ubishi Mwabukusi ni Mwanaharakati, Je TLS Yake Iwe ya Kiharakati, Au Asilete Harakati Zake kwenye TLS Yetu, Ibaki Kuwa Profesheno Body?

1722750065841.png

2. Pili nilimshika sikio rais wa r ndogo kwa kumweleza Rais wa R kubwa atafanya kazi na TLS ya aina gani!. Tujikumbushe Kauli hii ya Rais Samia Atafanya Kazi na TLS ya Aina Gani? Hizi ni Salaam kwa Mwabu,. Swali ni is He A Bow Down Type or a Stand Firm?.
View: https://youtu.be/fZ7MWhPeyko?si=Fxs79jIGmTeZy8cb
Hivyo taarifa hii ya TLS ni kama inatembelea mumo humo kwenye reli!.

Yamesaidia.
P
 
Anakera kwa ujuaji wake huyu, hakuna shambulio binafsi
Duh...!, mi nilidhani, utanishukuru, mabandiko kama haya

1. Kwanza nilimpongeza na kumshauri kitu Hakuna Ubishi Mwabukusi ni Mwanaharakati, Je TLS Yake Iwe ya Kiharakati, Au Asilete Harakati Zake kwenye TLS Yetu, Ibaki Kuwa Profesheno Body?
View attachment 3080746
2. Pili nilimshika sikio rais wa r ndogo kwa kumweleza Rais wa R kubwa atafanya kazi na TLS ya aina gani!. Tujikumbushe Kauli hii ya Rais Samia Atafanya Kazi na TLS ya Aina Gani? Hizi ni Salaam kwa Mwabu,. Swali ni is He A Bow Down Type or a Stand Firm?.
View: https://youtu.be/fZ7MWhPeyko?si=Fxs79jIGmTeZy8cb
Hivyo taarifa hii ya TLS ni kama inatembelea mumo humo kwenye reli!, hivyo yamesaidia.
P
 
CHADEMA watamshambulia na kudai kanunuliwa.
Achs
Brother sijaona popote ukiandika chochote kuhusu huu utekaji wa wanachama na viongozi wa CHADEMA unaoendelea nchini.. Inawezekana unalo andishi lakini limenipita. Kama hakuna je una maslahi yoyote na jambo hili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…