MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
CHADEMA watamshambulia na kudai kanunuliwa.Binafsi nimevutiwa na busara za Raisi wa TLS
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CHADEMA watamshambulia na kudai kanunuliwa.Binafsi nimevutiwa na busara za Raisi wa TLS
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Subir wanakujaCHADEMA watamshambulia na kudai kanunuliwa.
P alishaamua kuwa mnajimu tu.We Pasco hukutakiwa kabisa kuwa Wakili, you fit better being mwenezi wa kachama kadogo kasiasa.
No wonder uli supp miaka kadhaa.
Ila mkuu P, upunguze ukinyonga, hili linawafanya wanaojielewa kushindwa kukuelewa. Lile bandiko lako kuhusu TLS kuwa wanaharakati uliandika mengi sana, jifunze kuwa na breki kidogoNi kawaida kwa jiwe waliolikataa waashi kuja kufanywa kuwa jiwe kuu la pembeni!.
Haya mambo ya ku supp mbona ni kuaibishana?, niliisha fafanua hili jambo mara kibao!, na kwa taarifa yako kwani unaijua LL.B yangu?, vitu vingine achaneni navyo tusije tukasema humu tukaonekana tuna braag!.
P
Wakikosoa wanaitwa wanaharakati,wakisifia wanaonekana wenye taaluma.
Tanzania huwa haiishi vichekesho na uchawa.
Wanabodi,
Nikiwa member wa TLS, nimefarijika na taarifa hii ya TLS.
Tunaipongeza Serikali kwa kuchukua hatua za awali kwa kutuma mawaziri waandamizi na kuzungumza na wananchi pamoja na tamko lake kupitia maelezo ya Mawaziri husika la kurejeshwa kwa huduma za kijamii zilizositishwa katika eneo la Ngorongoro na tamko lake la kuridhia kusitishwa kwa tangazo la kufuta vijiji na vitongoji katika eneo la Tarafa ya Ngorongoro na kutangazwa kuanza zoezi la uboreshaji kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Aidha tunapongeza tamko la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Rais Dr. Samia Suluhu Hassan la kukutana na wawakilishi halali wanaotokana na mapendekezo ya wananchi wa jamii ya Kimasai wa Ngorongoro.
Soma Pia:
- TLS Yatoa Tamko Kuhusu Maandamano ya Wananchi wa Ngorongoro, Yataka Haki Zao Ziheshimiwe
- Rais Samia Aagiza urejeshwaji wa huduma za kijamii Ngorongoro
Nimeipongeza taarifa hii kwasababu baada ya Mwabukusi kuchaguliwa rais wa TLS,
1. Kwanza nilimpongeza na kumshauri kitu Hakuna Ubishi Mwabukusi ni Mwanaharakati, Je TLS Yake Iwe ya Kiharakati, Au Asilete Harakati Zake kwenye TLS Yetu, Ibaki Kuwa Profesheno Body?
View attachment 3080746
2. Pili nilimshika sikio rais wa r ndogo kwa kumweleza Rais wa R kubwa atafanya kazi na TLS ya aina gani!. Tujikumbushe Kauli hii ya Rais Samia Atafanya Kazi na TLS ya Aina Gani? Hizi ni Salaam kwa Mwabu,. Swali ni is He A Bow Down Type or a Stand Firm?.
View: https://youtu.be/fZ7MWhPeyko?si=Fxs79jIGmTeZy8cb
Hivyo taarifa hii ya TLS ni kama inatembelea mumo humo kwenye reli!.
Pongezi rais Mwabukusi
Pongezi TLS.
Mungu Ibariki Tanzania
Paskali

Huwezi jua, usikute haya mabandiko yangu mawiliYou just forgot to swallow you are words against TLS and Mwambukusi
Ccm mbona Mama ndio anaongea na tunamsikiliza umewaza kweli kuhusu hili mkuu au..TLS haina msemaji au idara ya mawasiliano kwa umma hadi Rais mwenyewe ndo awe anatoa taarifa kwa umma?
Anakera kwa ujuaji wake huyu, hakuna shambulio binafsiHili ni shambulizi binafsi, tumjadili kwenye andiko lake, supplimentary sio issue kubwa, unaweza kula demu wa Supervisor ukalimwa sup.
Duh...!, mi nilidhani, utanishukuru, mabandiko kama hayaAnakera kwa ujuaji wake huyu, hakuna shambulio binafsi
Huyo bro ni bonge ya bendera fuata upepo, na chawa asiyejiamini.si ulisema jamaa ni mwanaharakti na kwamba hataimudu TLS? Ndio maana nasema tuwe tunabakiza maneno ya akiba
Alidhani tumesahau....sema Mzee yuko vyedi kwenye maandishi, hana uvivuHuyo bro ni bonge ya bendera fuata upepo, na chawa asiyejiamini.
P alikuwa vizuri sana, naona umri unavyojongea na weledi unapungua taratibuAlidhani tumesahau....sema Mzee yuko vyedi kwenye maandishi, hana uvivu
Acha uongo fitina na uzandikiCHADEMA watamshambulia na kudai kanunuliwa.
AchsCHADEMA watamshambulia na kudai kanunuliwa.