DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Nimeona Taarifa Ya Utenguzi wa Mkurugenzi wa Mafia.
Kiukweli Nimefarijika sana na Nimeona Kweli haki imetendeka na Imeonekana Ikitendeka..
Ni wazi kuwa Nchi imepata Viongozi waadilifu Na hasa Miongoni mwao Napenda kumtaja bila kuogopa na nikitembea Kifua Mbele Dkt. Gwajima D.
Kiukweli kabisa Sijawahi kutilia Mashaka uwezo wake na hasa Nimekuwa nina Imani naye Tangu akiwa DMO singida.
Safi sana na Kongole kwako.
Nimependa Response Yako Umepokea Taarifa ndani ya masaa 24 na umeifanyia kazi ndani ya Masaaa 24..
Hakika wewe ni Definition ya Uongozi
NB: Mimi sio mtu wa Kusifia sana ila kwa Hili niacheni nisifie maana Naona Wizara imepata waziri.
Pia soma

- Kiongozi wa Halmashauri Mafia adaiwa kumbaka Dada wa kazi. Je, Utenguzi alifanya Rais unahusiana na tukio hili?
- Rais Samia atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia, Kassim Seif Ndumbo