PONGEZI: Utenguzi wa Mkurugenzi Mafia Ili kupisha Uchunguzi, Pongezi ziende kwa Dkt. Dorothy Gwajima. Kiukweli kwenye hili amejituma sana

PONGEZI: Utenguzi wa Mkurugenzi Mafia Ili kupisha Uchunguzi, Pongezi ziende kwa Dkt. Dorothy Gwajima. Kiukweli kwenye hili amejituma sana

Umeandika vema. Umekosea padogo tu....akili zoteeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ziko kwenye uchaguzi. Hulka ya CCM itawalekela kuzimu , motoni, jahanamu kwa daima kufikiri kufanya dhuluma ya uchaguzi!

Erythrocyte take note of this, hawa si wema chaguzi zijazo, wameshapanga nani achukue wapi. JF rules tunaziheshimu short of that tunawajua wengi tu humu!
😂😂😂😂 Usiogope!
 
Bony kafanya Kitu Bora sana kwa Kufichua uovu huo ila sifa zinaenda kwa Gwajima kwa sababu amejua KuAct haraka sana na kuchukua hatua..

Kuna viongozi wengi sana wanalalamikiwa ila Huwa hawachukui hatua yoyote
Nafikiri haukumtendea haki Bw. Boniphace Jacob ambaye ndiye first Whistleblower kwenye sakata hili. Ulipaswa kuutambua mchango wake, kama ni kutoa pongezi basi ungetoa kwa wote wawili pamoja na huyo Waziri Dkt. Gwajima.
 
Hivi ndivyo Kiongozi wa serikali anapaswa kuenenda, nakupongeza Sana Dr Dorothy Gwajima na ni lazima tukutafutie Jimbo 2025

Waziri Dr Gwajima amemshukuru kwa ahsante mjumbe wa kamati kuu ya Chadema na Meya Mstaafu wa Ubungo mh Boniface Jacob kwa kumtag Baada ya kupata Taarifa ya DED kumbaka dada wa Kazi wilayani Mafia

Mawasiliano yamefanyika ukurasani X

Dunia ni Kijiji
View attachment 2968326
Nimekubali mziki wake

Ova
 
Mhe. Gwajima anapata kwwli muda wa kuhudumia ndoa yake!

Anapiga sana kazi,

Nikikumbuka vibwagizo byake enzi za Corona nacheka sana.

Ongera sana Mheshimiwa.
 
Back
Top Bottom