PONGEZI: Utenguzi wa Mkurugenzi Mafia Ili kupisha Uchunguzi, Pongezi ziende kwa Dkt. Dorothy Gwajima. Kiukweli kwenye hili amejituma sana

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Usiogope!
 
Bony kafanya Kitu Bora sana kwa Kufichua uovu huo ila sifa zinaenda kwa Gwajima kwa sababu amejua KuAct haraka sana na kuchukua hatua..

Kuna viongozi wengi sana wanalalamikiwa ila Huwa hawachukui hatua yoyote
Nafikiri haukumtendea haki Bw. Boniphace Jacob ambaye ndiye first Whistleblower kwenye sakata hili. Ulipaswa kuutambua mchango wake, kama ni kutoa pongezi basi ungetoa kwa wote wawili pamoja na huyo Waziri Dkt. Gwajima.
 
Nimekubali mziki wake

Ova
 
Mhe. Gwajima anapata kwwli muda wa kuhudumia ndoa yake!

Anapiga sana kazi,

Nikikumbuka vibwagizo byake enzi za Corona nacheka sana.

Ongera sana Mheshimiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…