Pongezi za Halima Mdee, Zitto na ACT Wazalendo, namuona Mdee aliibukia ACT 2025

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
10,904
Reaction score
26,184
Bado wanauswahiba na zito na bado Halima Mdee ananguvu kisiasa hasa kwa upande wa kina mama hapa nchini hususani Kawe.

Yeye na kundi lake wakiibukia wazalendo na wakamomaa wanaweza kuwa chama chenye nguvu zaidi hapa Tanzania maana huyu atahama na Bulaya,matiko na wengine wengi, CHADEMA wanalo la kujifunza hapa.

USSR

20230220_092621.jpg
 
Yaan kwa Taifa hili Tanzania kuptia demokrasia hatutoboa leo wala kesho , watu wanaangalia maslai binafs sana hao covid-19 baada ya kulamba asali leo wanawez jifanya kuw chadema ni chama kibaya kwa baathi ya mambo

Tutakuja kujielewa hadi pale ruling part itapogawanyika vipande viwili ndio tutapat mwangaz kdogo
 
Mkuu USSR , asante kupongeza Halima Mdee, naunga mkono hoja, na mimi niliisha mpongeza Halima Mdee pale mwanzo alipokataa ujinga wa chama chake kususia viti maalum "Mzoea vya kunyonga vya kuchinja Haviwezi". Hongera Halima Mdee na Makamanda wote kwa kugomea wito wa kienyejienyeji

Kiukweli kabisa, Halima Mdee is a very big asset, in fact she is a precious jewel na ameisha kuwa The Voices From Within: "Mahakamani Watashindwa Tena!" Sababu ni Mawakili! Jee Tanzania Tuna Mawakili wa Calibre ya Murtaza Lakha?Jitokezeni Kusaidia! na hata wakishinda kesi, watabaki Chadema kwasababu tuu ya kuhemea ubunge, lakini kamwe hawatapewa ushirikiano na Chadema, hivyo wanaangalia na kuandaa a fallback direction, japo CCM itawahitaji, mashujaa wa opposition at heart hawatajiunga CCM!. Some wataomba msamaha Chadema na kusamehewa, some watatimkia CCM, makamanda Halima, Bulaya na Matiko watajiunga ACT Wazalendo, na amini usiamini Kawe tunamrudisha kama kuokota embe dodo chini ya mwembe!, Bulaya na Matiko pia wanarejesha majimbo yao!. The biggest looser ni Chadema!. Niliwashauri lakini and it's not too late wayamalize nje ya Mahakama!. CHADEMA kubalini matokeo na m-survive, or shupazeni shingo. You go to hell 6ft under Hao Makamanda 19 ni mashujaa, kuendelea Ubunge wao
P
 
Huyu anakula fedha za umma akijua fika hajachaguliwa na Chadema! sasa huyu malaya wa kisiasa anashauri nini? Malaya ni malaya tu, malaya wa kisiasa lakini.
Sawa tu na lile shoga lililokimbilia Canada likatijiita kimbizi la kisiasa kumbe linataka likaolewe huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu anakula fedha za umma akijua fika hajachaguliwa na Chadema! sasa huyu malaya wa kisiasa anashauri nini? Malaya ni malaya tu, malaya wa kisiasa lakini.
Ubaya au uzuri wa siasa, haijarishi mtu ni mbaya au mzuri. Ni swala la mtu kuweza kutumia mdomo wake vizuri kwenye majukwaa. Ukiangalia ata zito hayupo kwa ajili ya wananchi bali kwa ajili ya maisha yake.
 
Yaan kwa Taifa hili Tanzania kuptia demokrasia hatutoboa leo wala kesho , watu wanaangalia maslai binafs sana hao covid-19 baada ya kulamba asali leo wanawez jifanya kuw chadema ni chama kibaya kwa baathi ya mambo

Tutakuja kujielewa hadi pale ruling part itapogawanyika vipande viwili ndio tutapat mwangaz kdogo
Hakuna mahali wanasema CHADEMA ni chama kibaya.

Vumilia tu bwashee Chadema kwa sasa haijitambui
 
she was a good politician, lakini vipande 30 vya fedha......... kuondoka kwake ni kwa maana ana kwa vile wanabaki waliotayari kufia nchi hii
Eti kufia nchi hii. Kwa taarifa yako wenzako wameapa kufia Canada, Ubelgiji na Marekani.

Wewe popoma endelea kuimba mapambio uchwara
 
Bado wanauswahiba na zito na bado Halima Mdee ananguvu kisiasa hasa kwa upande wa kina mama hapa nchini hususani Kawe.

Yeye na kundi lake wakiibukia wazalendo na wakamomaa wanaweza kuwa chama chenye nguvu zaidi hapa Tanzania maana huyu atahama na Bulaya,matiko na wengine wengi, CHADEMA wanalo la kujifunza hapa.

USSR

Siasa sio uadui. Acha wapongezane.
 
Huyu anakula fedha za umma akijua fika hajachaguliwa na Chadema! sasa huyu malaya wa kisiasa anashauri nini? Malaya ni malaya tu, malaya wa kisiasa lakini.
Chadema imejaa majangili huku mnamtukana mdee na kumuita msaliti mbowe alitoka jela break ya kwanza Ikulu, Lissu kakutana na mama belgium bila ata ushauri na wenzake nini waliongea huko ndani ata haijaeleweka mpaka leo, karudi zake Tz lakin ata wiki 2 hajapata amerudi kwao belgium eti kaitwa na madaktari, ukweli ni kwamba Chadema iko vipande vipande, mbowe ameacha kabisa kudai katiba mpya siju bei aliyofikia ilikuwa ni kiasi gani

Upinzani Tz bado unayumba sana
 
Yaan kwa Taifa hili Tanzania kuptia demokrasia hatutoboa leo wala kesho , watu wanaangalia maslai binafs sana hao covid-19 baada ya kulamba asali leo wanawez jifanya kuw chadema ni chama kibaya kwa baathi ya mambo

Tutakuja kujielewa hadi pale ruling part itapogawanyika vipande viwili ndio tutapat mwangaz kdogo
Hata hawo kina Lissu na mbowe wote washaramba asali, chadema imepwaya sana hatuoni tena commitment ya chama nimeshangaa sana mtu kama mbowe sasa hatoki Ikulu akimsema maalim seif sana
 
Mada inaongelea ACT lakini kutokana na umuhimu wa CHADEMA imebidi muisungumzie. Mna Kiri kwa maneno yenu CHADEMA ipo juu.
 
Chadema imejaa majangili huku mnamtukana mdee na kumuita msaliti mbowe alitoka jela break ya kwanza Ikulu, Lissu kakutana na mama belgium bila ata ushauri na wenzake nini waliongea huko ndani ata haijaeleweka mpaka leo, karudi zake Tz lakin ata wiki 2 hajapata amerudi kwao belgium eti kaitwa na madaktari, ukweli ni kwamba Chadema iko vipande vipande, mbowe ameacha kabisa kudai katiba mpya siju bei aliyofikia ilikuwa ni kiasi gani

Upinzani Tz bado unayumba sana

Rais mwenyewe kasema alimuomba mbowe waongee siku alipotoka akakubali, Sasa kosa la mbowe ni lipi?. Mama kaenda ubelgiji kaomba kuongea na Lissu, kosa la Lissu lipo wapi?
 
Mkuu USSR , asante kupongeza Halima Mdee, naunga mkono hoja, na mimi niliisha mpongeza Halima Mdee pale mwanzo alipokataa ujinga wa chama chake kususia viti maalum "Mzoea vya kunyonga vya kuchinja Haviwezi". Hongera Halima Mdee na Makamanda wote kwa kugomea wito wa kienyejienyeji

Kiukweli kabisa, Halima Mdee is a very big asset, in fact she is a precious jewel na ameisha kuwa The Voices From Within: "Mahakamani Watashindwa Tena!" Sababu ni Mawakili! Jee Tanzania Tuna Mawakili wa Calibre ya Murtaza Lakha?Jitokezeni Kusaidia! na hata wakishinda kesi, watabaki Chadema kwasababu tuu ya kuhemea ubunge, lakini kamwe hawatapewa ushirikiano na Chadema, hivyo wanaangalia na kuandaa a fallback direction, japo CCM itawahitaji, mashujaa wa opposition at heart hawatajiunga CCM!. Some wataomba msamaha Chadema na kusamehewa, some watatimkia CCM, makamanda Halima, Bulaya na Matiko watajiunga ACT Wazalendo, na amini usiamini Kawe tunamrudisha kama kuokota embe dodo chini ya mwembe!, Bulaya na Matiko pia wanarejesha majimbo yao!. The biggest looser ni Chadema!. Niliwashauri lakini and it's not too late wayamalize nje ya Mahakama!. CHADEMA kubalini matokeo na m-survive, or shupazeni shingo. You go to hell 6ft under Hao Makamanda 19 ni mashujaa, kuendelea Ubunge wao
P
Wewe pasco na Halima Mdee akili zenu zinafanana, wote mnaishi kwa tumbo, mna njaa sana.

Mshauri sasa Halima Mdee ajiunge na ACT, na sio kuung'ang'ania ubunge wa 'chupi' za kijani.
 
Hakuna mahali wanasema CHADEMA ni chama kibaya.

Vumilia tu bwashee Chadema kwa sasa haijitambui

Eti kufia nchi hii. Kwa taarifa yako wenzako wameapa kufia Canada, Ubelgiji na Marekani.

Wewe popoma endelea kuimba mapambio uchwara

Kuwa CCM hakukupi Hali ya kuutukana watu. Punguza dharau.
 
Hakuna mahali wanasema CHADEMA ni chama kibaya.

Vumilia tu bwashee Chadema kwa sasa haijitambui

Wewe unayejitambua umefanya Nini? Fanya wewe, vyama vipo vingi, ila roho zenu mbaya zimekalia kuinanga CHADEMA bila sababu ya msingi.
 
Mkuu USSR , asante kupongeza Halima Mdee, naunga mkono hoja, na mimi niliisha mpongeza Halima Mdee pale mwanzo alipokataa ujinga wa chama chake kususia viti maalum "Mzoea vya kunyonga vya kuchinja Haviwezi". Hongera Halima Mdee na Makamanda wote kwa kugomea wito wa kienyejienyeji

Kiukweli kabisa, Halima Mdee is a very big asset, in fact she is a precious jewel na ameisha kuwa The Voices From Within: "Mahakamani Watashindwa Tena!" Sababu ni Mawakili! Jee Tanzania Tuna Mawakili wa Calibre ya Murtaza Lakha?Jitokezeni Kusaidia! na hata wakishinda kesi, watabaki Chadema kwasababu tuu ya kuhemea ubunge, lakini kamwe hawatapewa ushirikiano na Chadema, hivyo wanaangalia na kuandaa a fallback direction, japo CCM itawahitaji, mashujaa wa opposition at heart hawatajiunga CCM!. Some wataomba msamaha Chadema na kusamehewa, some watatimkia CCM, makamanda Halima, Bulaya na Matiko watajiunga ACT Wazalendo, na amini usiamini Kawe tunamrudisha kama kuokota embe dodo chini ya mwembe!, Bulaya na Matiko pia wanarejesha majimbo yao!. The biggest looser ni Chadema!. Niliwashauri lakini and it's not too late wayamalize nje ya Mahakama!. CHADEMA kubalini matokeo na m-survive, or shupazeni shingo. You go to hell 6ft under Hao Makamanda 19 ni mashujaa, kuendelea Ubunge wao
P

Huna moral authority ya kusema lolote, maana wewe mwenyewe kisiasa ni failure, lakini kila siku kuisema CHADEMA. Uligombea Ubunge ukapata kura moja ya aibu, nilidhani lingekuwa funzo kwako kutokudhihaki wengine na kuelewa political envioroment ilivyo Tanzania na kuwapongeza CHADEMA kwa kuweza kuhimili vishindo.
 
Back
Top Bottom