Hapo umefeli ACT ni kama EFF ya South Africa ila Chadema ni kama DA ya sauzi au ODM ya Kenya yaani chama mbadala chenye mizizi nchi nzima ambayo kuing'oa ni ngumu.
Kumbuka ACT Ina wapiga kura laki 1 pekee 2015 na 2020 licha ya uwepo wa Maalim mgombea wao Urais hakufika hata kura laki 1!!! Ila Chadema licha ya kwamba walipewa Jimbo Moja ila kura za wagombea ubunge zilifika million 3 ikimaanisha tayari wagombea wake Wana mtaji mkubwa.
So Mdee aligombea kawe atakua na mtaji wa kura elfu 10 hivi huku mgombea wa Chadema atakua na kura sio chini ya elfu 50 za kuanzia. Kilichompa ubunge Mdee sio umaarufu wake Bali umaarufu wa Chadema.
Huyo
Zitto mwenyewe huko kigoma alizidiwa kura na Chadema Sasa kama tu Hana political base huko kwake Nini kinakupa assurance kuwa atawasaidia Hawa wasaliti wapate ubunge?!
Poor analysis!! Uliwajaza hivi hivi wale wamama wa viti maalum waliokumbilia Nccr ila sidhani hata unajua wako wapi Leo!!