Pongezi za Halima Mdee, Zitto na ACT Wazalendo, namuona Mdee aliibukia ACT 2025


Halima Mdee anahangaika tu, Mara abusu picha ya Magufuli, Mara ampongeze Zitto, amekosa pa kushikia. Waende ACT wakafie huko na Zitto, hawataki kutoka CHADEMA lakini hawaitaki CHADEMA.
 
Wewe uligombea wapi ukapata

USSR
 
Huyu anakula fedha za umma akijua fika hajachaguliwa na Chadema! sasa huyu malaya wa kisiasa anashauri nini? Malaya ni malaya tu, malaya wa kisiasa lakini.
Chadema huchagua nini!?
 
Ndoto za mchana... Hawata pata hata kura nne..
 
LISSU alisema wazi kbs kua sio mkubwa kuliko CDM wala hana umaarufu kuliko CDM sababu... Unapata umaarufu kupitia taasis ya CDM na sio vinginevyo!! Hivyo bas mdee alikua na nguvu na maarufu sabab ya CDM likewise kwa zito, reference angalia umaarufu wa zito akiwa CDM na mdee akiwa CDM!! Ukiingia Mitandaon ndo mbaya zaid even sapoti au engagement kweny hoja zao ni ndogo na ni zipo negative san toka kwa wananchi!!
 
Huyu anakula fedha za umma akijua fika hajachaguliwa na Chadema! sasa huyu malaya wa kisiasa anashauri nini? Malaya ni malaya tu, malaya wa kisiasa lakini.
Notion za kibaguzi si jawabu la political embargo kwa nchi yetu
 
Unataka kutuambia kilichokuwa kinashinda Kawe ni jina la Halima Mdee binafsi, na wala hapakuwepo na nguvu ya chama chake? unakosea.

Time will tell, but amini nakwambia; hao wanawake kwa ujuaji wao walioufanya, waende huko ACT kisha wakagombee majimbo yao waliyokuwepo bila kuwepo jina la Chadema kwenye karatasi za kupigia kura, mbele ya picha na majina yao, watakiona kitakachowapata.

Huwezi kuifananisha nguvu ya ACT na Chadema field bara, tusidanganyane, hao kina Halima wakijaribu kufanya hivyo, itakuwa ni wao ndio wakibebe chama chao, na wala sio kubebwa na nguvu ya chama walichotoka, ukumbuke kule kushinda kwao kwa kishindo ilikuwepo nguvu ya chama chao, leo hawana, wako na majina yao pekee.
 
Ndugu USSR,

Kwako Zittow na Act yake ndo chama makini ukilinganisha na CDM,

Ukaona inafaa kiwapokea MDEE na co.

Nilidhani ulikuwa na hoja kumhoji ndugu Ecrythrocyte,

Kumbe ni wale wale mnaovizia mfupa uanguke kama fisi upite nao.

Shame on you.
 
Kajiunge nao chap ya Chadema waachie wenyewe
 
Rais mwenyewe kasema alimuomba mbowe waongee siku alipotoka akakubali, Sasa kosa la mbowe ni lipi?. Mama kaenda ubelgiji kaomba kuongea na Lissu, kosa la Lissu lipo wapi?
Ata hapo mkuu unataka tochi? Ivi sa100 atake kuonana na Lissu lakini na mbowe kama watu hawajapita mlango wa nyuma kutayarisha mambo
 
kumbe huwa anapita humu?
 
Act imepitia ya chadema
 
She was a good politician, lakini vipande 30 vya fedha......... kuondoka kwake ni kwa maana ana kwa vile wanabaki waliotayari kufia nchi hii
Jembe tu ndio alikuwa tayari na amekuwa tayari kuifia nchi yake.
 
Sijawahi kuona gazeti la uhuru au radio uhuru inafuatilia habari za chadema kuliko za ccm, waige kaka zako hao.
 
Ni haki yake kwenda chama chochote maana CDM hahitajiki.
 
Chawa katika ubora wenu
 
Haya maisha bwana.
Huyu Halima enzi zile alikuwa anaongoza kumchukia zitto akimponda sana kuwa msaliti eti leo amebadili gear angani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…