Mbona anayeumia zaidi ni mzanzibari?Huu muungano fake uvunjwe haraka unatuumiza wabara
Kwa vile Muungano haukupata ridhaa ya Wananchi ni muda sasa umefika tuuamua kama kweli tunautaka muungano au hatuutaki. Kama tunautaka basi tuamue ni muungano wa aina gani ....!!Kwa mujibu wa zile articles of the union, muungano wetu sio mkataba, not a contract, ni makubaliano, an agreement na ulidhamiriwa uwe ni muungano wa milele!, hakuna any provisions za kuuvunja muungano!. Je, Wajua Kuwa Tanzania Hatuna Mkataba wa Muungano?. Kilichopo ni Makubaliano Tuu ya Muungano?
P
Anaumia kwa lipi?
Muungano kwani huu wa lazimaKwa vile Muungano haukupata ridhaa ya Wananchi ni muda sasa umefika tuuamua kama kweli tunautaka muungano au hatuutaki. Kama tunautaka basi tuamue ni muungano wa aina gani ....!!
Hata huko UK, Wascotland walipozidisha kelele ..... Wananchi wa Scotland walipewa nafasi ya kuaamua kama wanautaka muungano au la ingawa wamekuwa ndani ya muungano kwa zaidi ya miaka 300.
Great minds...Wanabodi,
Loe nchi yetu tumeadhimisha miaka 60 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar, na kuwa nchi moja ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Muungano wetu ni muungano adimu na muungano adhimu, kwasababu hapa duniani hakuna muungano mwingine wowote kama huu muungano wetu. Ni muungano wa nchi mbili kuungana na kuunda nchi moja ya JMT, yenye nchi mbili ndani yake, Tanzania na Zanzibar, wenye marais wawili, rais wa JMT na Rais wa Zanzibar, wenye Katiba mbili, katiba ya JMT na Katiba ya Zanzibar, wenye mabunge mawili, Bunge la JMT na Baraza la Wawakilishi, lenye mahakama mbili, mahakama kuu ya Tanzania na Mahakama kuu ya Zanzibar. Kwa maoni yangu, muungano wa aina hii kudumu kwa miaka 60, itoshe, sasa twende kwenye muungano kamili wa nchi moja, serikali moja na rais mmoja!.
Kuungana kwa TANU na ASP
Vyama vya TANU na ASP vilipoungana ile 1977, sii wengi humu walikuwa wamezaliwa!, wengi humu wamezaliwa, wameikuta CCM, hawakuikuta TANU na ASP, hivyo hawajui kwanini TANU na ASP viliungana, na viliungana ili iweje?.
Mimi ni mtu wa 60s, hivyo ile 1977, TANU na ASP zilipoungana nilikuwa darasa la tatu, kijijini Itonjanda, nikikaa kwa bibi mzaa Baba, Bibi Wakawombwe, (RIP) baada ya Baba Mzee Mayalla(RIP) kuhusika na yale mambo fulani ya Mwanza ya 1976!.
Sababu ya TANU na ASP kuungana, ni kuelekea kwenye serikali moja!. Baba wa taifa, Mwalimu Nyerere alisema huu muungano wa vyama vya TANU na ASP na kuzaliwa chama kipya, Chama cha Mapinduzi, CCM, ni mwanzo wa safari ya kuondoka kwenye serikali mbili, kuelekea kwenye serikali moja!. Jee ndoto hii ya Mwalimu Nyerere, kwa Tanzania kuwa nchi moja ya JMT yenye serikali moja na rais mmoja, itakuja kutimia?.
Watanzania wanahitaji sana kuelimishwa kuhusu huu muungano wetu adimu na adhimu, tena ni Rais Samia, ndie kiongozi wa kwanza wa juu aliyetoa ruhusa watu waachwe huru kujadili muungano. Baada ya muungano, nchi zote mbili zilitoweka, hakuna nchi ya Tanganyika wala hakuna nchi ya Zanzibar, bali nchi ya Tanzania ni nchi moja ya JMT yenye sehemu mbili, Tanzania Bara iliyokuwa Tanganyika na Tanzania Visiwani au Tanzania Zanzibar iliyokuwa Zanzibar.
Elimu ya Uraia Kuhusu Muungano wetu adimu na adhimu!.
Duniani kuna miungano ya aina mbili Kuu,
1. Miungano ya union, nchi mbili au zaidi zinaungana kuunda nchi moja. Zile nchi zote zinakufa na inazaliwa nchi moja mpya.
2. Miungano ya federation, ni nchi mbili au zaidi zinaungana na kuunda nchi moja, ila zile nchi zote zinakuwa na serikali ya muungano, Federal Government na State Government, kila nchi ina utawala wake wa ndani.
Muungano wetu ni very unique, ndio maana unaitwa muungano adimu na adhimu, kwasababu ni muungano pekee duniani ambao upande mmoja ni muungano wa union kwa nchi mbili kuungana kuunda nchi moja ya JMT, na upande wa pili ni muungano wa federation wenye serikali mbili, marais wawili, mabunge mawili na mahakama mbili.
Muungano wetu kimataifa ni muungano wa union, Tanzania kimataifa ni nchi moja ya JMT, yenye serikali moja ya JMT, chini ya rais mmoja wa JMT, ambaye ni mkuu wan chi, mkuu wa serikali na amiri jeshi mkuu.
Lakini Kitaifa, nchi ya Tanzania ni nchi moja ya JMT yenye sehemu mbili, Tanzania Bara na Tanzania Visiwani au Tanzania Zanzibar, yenye katiba mbili, katiba ya JMT, na katiba ya Zanzibar, yenye serikali mbili, serikali ya JMT na serikali ya Zanzibar, SMZ, yenye marais wawili, rais wa JMT na rais wa Zanzibar
Mkanganyiko wa Katiba.
Kama nilivyosema kimataifa Tanzania ni nchi moja ya JMT, hakuna mkanganyiko wowote wa kimataifa kuhusu Tanzania.
Lakini Kitaifa kuna mkanganyiko wa katiba kati ya katiba ya JMT na katiba ya Zanzibar.
Kwa mujibu wa katiba ya JMT, ya mwaka 1977, Tanzania ni nchi moja ya JMT yenye sehemu mbili, Tanzania Bara na Tanzania Visiwani au Tanzania Zanzibar. Zanzibar sio nchi bali ni sehemu ya JMT yenye utawala wake wa ndani.
Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984, inaiita Zanzibar ni nchi, ni moja ya nchi mbili zinazounda JMT!. Kitendo cha katiba ya Zanzibar kuuita Zanzibar ni nchi, kinawakanganya Watanzania kudhani kuwa nchi ya Tanganyika ndio pekee iliyokufa ila nchi ya Zanzibar ipo haikufa.
Naomba niwahakikishie Tanzania ni nchi moja ya JMT, ile nchi inayotajwa na katiba ya Zanzibar kuwa ni nchi ya Zanzibar, sii kweli kuwa Zanzibar ni nchi, bali ni jina tuu, hayo mabadiliko ya katiba ya Zanzibar kujiita nchi, kimuungano ni mabadiko batili, ila, kwa vile mabadiliko hayo ni kwaajili ya Zanzibar tuu, na hayatambuliwi na katiba ya JMT, serikali ya JMT, imeamua kuyapuuza!, lakini kufuatia hizi kelele, tutapuuza mpaka lini?. Si ni bora twende kwenye serikali moja, haya yote yaishe?.
Hitimisho
Kwa vile Rais Samia, anakwenda kutupatia katiba mpya, nashauri hili la mkanganyika wa katiba kati ya katiba ya JMT na Katiba ya Zanzibar, pia litarekebishwa, na kwa maoni yangu, dawa pekee ya uhakika na ya kudumu ambayo ni mwarobaini wa kuzimaliza kero zote za muungano, ni kwenda kwenye serikali moja. Nimalizie na hili swali, je, Tanzania sasa tumefika wakati wa kutimiza ndoto ya Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, ya uzalendo wa kweli wa JMT, wa kwenda kwenye nchi moja, yenye serikali moja na rais mmoja?
Hongera kwa miaka 60 ya Muungano wetu adimu na adhimu,
Sasa twende kwenye nchi moja, serikali moja na rais mmoja!.
Mungu Ibariki Tanzania.
Paskali
Rejea za mwandishi kuhusu muungano na serikali moja.
- Kama kweli nia ya dhati ni kuimarisha Muungano, then "Twende kwenye Serikali Moja!"
- Je, umefika wakati kutimiza Uzalendo wa kweli wa kwenda kwenye Serikali moja?
- Chonde Chonde Rais Kikwete: Msimamo wa CCM wa Serikali Mbili ndio utauvunja Muungano
- Tahadhari ya hatari: CCM Imepania Kufanya Kinyume cha Maumbile!
Naunga mkono hoja, kuhusu kuitishwa kwa kura ya maoni, watu waulizwe wanataka muungano wa aina gani, ila sii kweli kuwa muungano haukupata ridhaa ya wananchi, Tanganyika tuliridhia, Bunge letu tulifanya ratification ila Zanzibar ndio haikuridhia, ila Karume alitoa tamko kwa wanabalozi kuwa Zanzibar imeridhia, ila ni kweli mwanzo Zanzibar iliburuzwa kisha ikaridhia nyenyewe. Baada ya tamko la "Muungano kama koti, likikubana unalivua", unajua kilichotokea!, na ile kuchafuka kwa hali ya kisiasa ya Zanzibar, unajua kilichotokea, muungano utalindwa kwa gharama yoyote!.Kwa vile Muungano haukupata ridhaa ya Wananchi ni muda sasa umefika tuuamua kama kweli tunautaka muungano au hatuutaki. Kama tunautaka basi tuamue ni muungano wa aina gani ....!!
Hata huko UK, Wascotland walipozidisha kelele ..... Wananchi wa Scotland walipewa nafasi ya kuaamua kama wanautaka muungano au la ingawa wamekuwa ndani ya muungano kwa zaidi ya miaka 300.
Suali hilo kamuulize mwenyewe kwani bado yuko hai , ila Mimi namlaumu kwa kukubali kutumiwa na Nyoka Nyerere kuipindua serikali iliyochaguliwa na watuAnaumia kwa lipi?
Naunga mkono hoja, kuhusu kuitishwa kwa kura ya maoni, watu waulizwe wanataka muungano wa aina gani, ila sii kweli kuwa muungano haukupata ridhaa ya wananchi, Tanganyika tuliridhia, Bunge letu tulifanya ratification ila Zanzibar ndio haikuridhia, ila Karume alitoa tamko kwa wanabalozi kuwa Zanzibar imeridhia, ila ni kweli mwanzo Zanzibar iliburuzwa kisha ikaridhia nyenyewe. Baada ya tamko la "Muungano kama koti, likikubana unalivua", unajua kilichotokea!, na ile kuchafuka kwa hali ya kisiasa ya Zanzibar, unajua kilichotokea, muungano utalindwa kwa gharama yoyote!.
Muungano ni kama ndoa, Mwanamke kama hakutaki, mwache!. Usimbake!. Muungano wa bila upande mmoja kuridhia ni sawa na ubakaji. Ila aliyebakwa, ameendelea kuishi na mbakaji, akitoa huduma zote, hivyo anahesabika ni kuridhia by performance.
Japo Zanzibar haiku ratified muungano, lakini imetekeleza muungano, hivyo ni imeridhia impliedly. Je, wajua kuwa Zanzibar haikuridhia Muungano? Ina Maana Gani?
Tanzania hatuna sheria ya kura ya maoni, Zanzibar mnayo, pigeni!. Wanzanzibar amueni moja, ama acheni kelele za muungano!, ama pigeni Kura ya Maoni, muamue moja
P.
Sawa mkuuSuali hilo kamuulize mwenyewe kwani bado yuko hai , ila Mimi namlaumu kwa kukubali kutumiwa na Nyoka Nyerere kuipindua serikali iliyochaguliwa na watu
Naunga mkono hoja, kuhusu kuitishwa kwa kura ya maoni, watu waulizwe wanataka muungano wa aina gani, ila sii kweli kuwa muungano haukupata ridhaa ya wananchi, Tanganyika tuliridhia, Bunge letu tulifanya ratification ila Zanzibar ndio haikuridhia, ila Karume alitoa tamko kwa wanabalozi kuwa Zanzibar imeridhia, ila ni kweli mwanzo Zanzibar iliburuzwa kisha ikaridhia nyenyewe. Baada ya tamko la "Muungano kama koti, likikubana unalivua", unajua kilichotokea!, na ile kuchafuka kwa hali ya kisiasa ya Zanzibar, unajua kilichotokea, muungano utalindwa kwa gharama yoyote!.
Muungano ni kama ndoa, Mwanamke kama hakutaki, mwache!. Usimbake!. Muungano wa bila upande mmoja kuridhia ni sawa na ubakaji. Ila aliyebakwa, ameendelea kuishi na mbakaji, akitoa huduma zote, hivyo anahesabika ni kuridhia by performance.
Japo Zanzibar haiku ratified muungano, lakini imetekeleza muungano, hivyo ni imeridhia impliedly. Je, wajua kuwa Zanzibar haikuridhia Muungano? Ina Maana Gani?
Tanzania hatuna sheria ya kura ya maoni, Zanzibar mnayo, pigeni!. Wanzanzibar amueni moja, ama acheni kelele za muungano!, ama pigeni Kura ya Maoni, muamue moja
P.
Honorable learned Adv P. I salute you with hereunder challenges to your reactions:Naomba kuheshimu mawazo yako lakini muungano upo!.
Muungano wetu politically ni union, wa nchi moja, serikali moja na rais mmoja!. Hapa hakuna contradiction yoyote!
Hatuna hitaji la muungano wowote wa security kwasababu security ni union matter, Zainzibar sio dola na haina dola!
Naunga mkono hoja, kuhusu kuitishwa kwa kura ya maoni, watu waulizwe wanataka muungano wa aina gani, ila sii kweli kuwa muungano haukupata ridhaa ya wananchi, Tanganyika tuliridhia, Bunge letu tulifanya ratification ila Zanzibar ndio haikuridhia, ila Karume alitoa tamko kwa wanabalozi kuwa Zanzibar imeridhia, ila ni kweli mwanzo Zanzibar iliburuzwa kisha ikaridhia nyenyewe. Baada ya tamko la "Muungano kama koti, likikubana unalivua", unajua kilichotokea!, na ile kuchafuka kwa hali ya kisiasa ya Zanzibar, unajua kilichotokea, muungano utalindwa kwa gharama yoyote!.
Muungano ni kama ndoa, Mwanamke kama hakutaki, mwache!. Usimbake!. Muungano wa bila upande mmoja kuridhia ni sawa na ubakaji. Ila aliyebakwa, ameendelea kuishi na mbakaji, akitoa huduma zote, hivyo anahesabika ni kuridhia by performance.
Japo Zanzibar haiku ratified muungano, lakini imetekeleza muungano, hivyo ni imeridhia impliedly. Je, wajua kuwa Zanzibar haikuridhia Muungano? Ina Maana Gani?
Tanzania hatuna sheria ya kura ya maoni, Zanzibar mnayo, pigeni!. Wanzanzibar amueni moja, ama acheni kelele za muungano!, ama pigeni Kura ya Maoni, muamue moja
P.
Hapa unahitaji kidogo kujua elimu ya uraia, wabunge ndio wawakilishi halali wa wananchi, ridhio la mikataba ya kimataifa, ratification, inafanywa na Bunge na sio wananchi!, hivyo Muungano uliridhiwa rasmi na Bunge la Tanganyika, ila kwa Zanzibar, aliyeridhia ni mtu mmoja, Rais Karume.Mkuu, kumbuka pia huku bara walioridhia ni Wabunge wa TANU na siyo wananchi. Ni sawa na sasa useme wananchi tumeridhia Mkataba na Waarabu wa DPW wakati ni Tulia na watu wake wametumika.
Hapa unahitaji kidogo kujua elimu ya uraia, wabunge ndio wawakilishi halali wa wananchi, ridhio la mikataba ya kimataifa, ratification, inafanywa na Bunge na sio wananchi!, hivyo Muungano uliridhiwa rasmi na Bunge la Tanganyika, ila kwa Zanzibar, aliyeridhia ni mtu mmoja, Rais Karume.
Hata mkataba wa DPW, kuridhiwa na Bunge ndio utaratibu, tatizo la mkataba ule, sio mkataba ni makubaliano, Bunge halikutakiwa kuridhia makubaliano hayo. Japo Bunge Limeridhia, DPW Kuendesha Bandari Zetu, ni Makubaliano Tu, Tukithibisha Kuna Matatizo, Tunarekebisha Mkataba wa HGA, Kazi Nzuri Iendelee!
P
Hakuridhia kwa maandishi, aliridhia kwa kauli tuu, video na audio zipo. Je, wajua kuwa Zanzibar haikuridhia Muungano? Ina Maana Gani?Umeandika, nakunukuu
ila kwa Zanzibar, aliyeridhia ni mtu mmoja, Rais Karume.
mwisho wa kunukuu
Swali
Una ushahidi wa maandishi kuwa Karume aliridhia ??
Hapa unahitaji kidogo kujua elimu ya uraia, wabunge ndio wawakilishi halali wa wananchi, ridhio la mikataba ya kimataifa, ratification, inafanywa na Bunge na sio wananchi!, hivyo Muungano uliridhiwa rasmi na Bunge la Tanganyika, ila kwa Zanzibar, aliyeridhia ni mtu mmoja, Rais Karume.
Hata mkataba wa DPW, kuridhiwa na Bunge ndio utaratibu, tatizo la mkataba ule, sio mkataba ni makubaliano, Bunge halikutakiwa kuridhia makubaliano hayo. Japo Bunge Limeridhia, DPW Kuendesha Bandari Zetu, ni Makubaliano Tu, Tukithibisha Kuna Matatizo, Tunarekebisha Mkataba wa HGA, Kazi Nzuri Iendelee!
P
Hivi unaposema Tanzania hatuna Sheria ya kura maoni, Zanzibar mnayo, pigeni UNAMAANA GANI?Naunga mkono hoja, kuhusu kuitishwa kwa kura ya maoni, watu waulizwe wanataka muungano wa aina gani, ila sii kweli kuwa muungano haukupata ridhaa ya wananchi, Tanganyika tuliridhia, Bunge letu tulifanya ratification ila Zanzibar ndio haikuridhia, ila Karume alitoa tamko kwa wanabalozi kuwa Zanzibar imeridhia, ila ni kweli mwanzo Zanzibar iliburuzwa kisha ikaridhia nyenyewe. Baada ya tamko la "Muungano kama koti, likikubana unalivua", unajua kilichotokea!, na ile kuchafuka kwa hali ya kisiasa ya Zanzibar, unajua kilichotokea, muungano utalindwa kwa gharama yoyote!.
Muungano ni kama ndoa, Mwanamke kama hakutaki, mwache!. Usimbake!. Muungano wa bila upande mmoja kuridhia ni sawa na ubakaji. Ila aliyebakwa, ameendelea kuishi na mbakaji, akitoa huduma zote, hivyo anahesabika ni kuridhia by performance.
Japo Zanzibar haiku ratified muungano, lakini imetekeleza muungano, hivyo ni imeridhia impliedly. Je, wajua kuwa Zanzibar haikuridhia Muungano? Ina Maana Gani?
Tanzania hatuna sheria ya kura ya maoni, Zanzibar mnayo, pigeni!. Wanzanzibar amueni moja, ama acheni kelele za muungano!, ama pigeni Kura ya Maoni, muamue moja
P.
Kiukweli nakuelewa sana kuliko unavyodhaniaElimu hiyo unayonipa ninaifahamu tayari. Labda hujaelewa point yangu.
As long as hivyo ndivyo katiba inavyosema, ni halali, hadi ibadilishwe.Ni kweli kwa katiba yetu hii ya CCM Wabunge ndiyo Wawakilishi halali wa Wananchi. Je ni halali Wabunge kuendelea kutuamulia kwenye mambo makubwa kama hayo...!?
Ni kweli, na nakuunga mkonoTatizo ni kwamba katiba yetu haiwapi wananchi mamlaka ya kujiamulia mambo yao wenyewe. Mamlaka yapo kwenye kikundi cha watu wachache. Worse enough hata kuchaguliwa kwao ni kimangushi tu .... wanapachikana kama wanavyotaka wenyewe.
Kwa vile sisi bado hatuna sheria ya kura ya maoni, hatuwezi kupiga kura kuuliza hilo, lakini kwavile Zanzibar, sheria ya kura ya maoni mnayo, kwanini msipige kura nyinyi na kuamua?. Niliwashauri hapa Wanzanzibar amueni moja, ama acheni kelele za muungano!, ama pigeni Kura ya Maoni, muamue mojaMfano mzuri wa kumaliza utata kama Wananchi bado wanaridhia muungano au la ni kufanya kama kile walichokifanya kule Scotland, UK. Tuliona Wananchi wake walikubaliwa kupiga kura kuona kama bado wanataka kuendelea na muungano wa miaka zaidi ya 300. Mfano mwingine ni UK yenyewe. Wananchi wake walipiga kura kuaamua kama bado wanata kuendelea na EU au la .... majibu wote tunayajua.
Tanzania hatuna sheria ya kura ya maoni!, serikali yetu ikitaka kufanya jambo lolote inafanya tuu bila kuwauliza wananchi wenye nchi, lakini Zanzibar, wao wanayosheria ya kura ya maoni, wakitaka kufanya jambo kubwa, wanawauliza Wazanzibari.Hivi unaposema Tanzania hatuna Sheria ya kura maoni, Zanzibar mnayo, pigeni UNAMAANA GANI?
Tanzania ndio nchi, halafu Zanzibar ni nchi ndani ya nchi!. Zanzibar wanaweza kupiga kura ya maoni na wakaamua, tatizo ni uamuzi huo huishia Chumbe, Tanzania hatuutambui, Tanzania hatuitambui katiba ya Zanzibar, wala hatuitambui GNU!.Au unamaanisha Tanzania ndiyo Tanganyika au Zanzibar haipo Tanzania?