Ponjoro wa Kinondoni nimepenya, Aliyenipa jina Anaishi kama digidigi

Ponjoro wa Kinondoni

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2024
Posts
3,771
Reaction score
10,311
Nimeandaa nyamachoma festival siku ya jumatatu, natamani mgeni rasmi awe yule PhD holder aliyenibatiza jina la Ponjoro wa Kinondoni.

Akija atatusimulia experience ya kono la baunsa.

Ndugu wana JF nitawawakilisha vyema kumtetea Rais Samia bungeni pamoja na ndugu Abdul ili wasishambuliwe. Nataka mama aishi kwa raha, pia wabunge tupate plate number maalumu ili tukiwa tunapita magari yatupishe tusikae kwenye foleni na WAGANGA NJAA.
 
Nimeandaa nyamachoma festival siku ya jumatatu, natamani mgeni rasmi awe yule PhD holder aliyenibatiza jina la Ponjoro wa Kinondoni.

Akija atatusimulia experience ya kono la baunsa.

Ndugu wana JF nitawawakilisha vyema kumtetea Rais Samia bungeni pamoja na ndugu Abdul ili wasishambuliwe. Nataka mama aishi kwa raha, pia wabunge tupate plate number maalumu ili tukiwa tunapita magari yatupishe tusikae kwenye foleni.
Ponjoro nikikuamkia hapa utanuka kinyesi na utakuwa vipande vipande
 
Nimeandaa nyamachoma festival siku ya jumatatu, natamani mgeni rasmi awe yule PhD holder aliyenibatiza jina la Ponjoro wa Kinondoni.

Akija atatusimulia experience ya kono la baunsa.

Ndugu wana JF nitawawakilisha vyema kumtetea Rais Samia bungeni pamoja na ndugu Abdul ili wasishambuliwe. Nataka mama aishi kwa raha, pia wabunge tupate plate number maalumu ili tukiwa tunapita magari yatupishe tusikae kwenye foleni.
Ponjoro wa Kinondoni unajua unaishi on borrowed time???? Huyo unayedhani anaishi kwa kujificha kafichwa na Mungu na Kisasi cha Mungu aliye hai hakitakuachq salama ewe muuza dona. Nikupe tu mfano. Hakuna mjinga na mpumbavu mjivuni kama alivyokuwa Doto James au Kalemani. Ila leo ubunge kwisha kwa aibu kwa kalemani na anaonekana kama mbwa tu. Ila aliwaona watu kama mavi hahah ila leo hahaha. So usitambe ponjoro. Mtafute Gwajiboy uombe msahama yaishe uachane na laana ya Mungu
 
Nimeandaa nyamachoma festival siku ya jumatatu, natamani mgeni rasmi awe yule PhD holder aliyenibatiza jina la Ponjoro wa Kinondoni.

Akija atatusimulia experience ya kono la baunsa.

Ndugu wana JF nitawawakilisha vyema kumtetea Rais Samia bungeni pamoja na ndugu Abdul ili wasishambuliwe. Nataka mama aishi kwa raha, pia wabunge tupate plate number maalumu ili tukiwa tunapita magari yatupishe tusikae kwenye foleni.
Nyamachoma itakuwa wapi Maana Tarimba Plaza hapatoshi??
 
Nimeandaa nyamachoma festival siku ya jumatatu, natamani mgeni rasmi awe yule PhD holder aliyenibatiza jina la Ponjoro wa Kinondoni.

Akija atatusimulia experience ya kono la baunsa.

Ndugu wana JF nitawawakilisha vyema kumtetea Rais Samia bungeni pamoja na ndugu Abdul ili wasishambuliwe. Nataka mama aishi kwa raha, pia wabunge tupate plate number maalumu ili tukiwa tunapita magari yatupishe tusikae kwenye foleni.
Hongera Ponjoro😀
 
Back
Top Bottom