Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
- Thread starter
- #21
Natumia sana.Vipi mirungi Usha acha kutumia

Nimepita, niliwahonga.wajumbe tumekukata
Umeonae? Stress za kujitakia za nini!?Achana nao, wamejitakia wenyewe.
Sisi tuendelee kupata vibwagizo vya nchi yetu nzuri
Karibu ndani ya moyo wangu mrembo, njoo nikuhonge kodi za walalahoi.Ila Ponjoro 😂😂😂
halafu mbona hii id kama yule mwarabu tapeli wa bandari zetuNimepita, niliwahonga.
Yupi huyo?halafu mbona hii id kama yule mwarabu tapeli wa bandari zetu
yule shekh mwenye id ya dp worldYupi huyo?
😂😂Sa mbona hutakalia kiti hata hivyo.....Nimeandaa nyamachoma festival siku ya jumatatu, natamani mgeni rasmi awe yule PhD holder aliyenibatiza jina la Ponjoro wa Kinondoni.
Akija atatusimulia experience ya kono la baunsa.
Ndugu wana JF nitawawakilisha vyema kumtetea Rais Samia bungeni pamoja na ndugu Abdul ili wasishambuliwe. Nataka mama aishi kwa raha, pia wabunge tupate plate number maalumu ili tukiwa tunapita magari yatupishe tusikae kwenye foleni na WAGANGA NJAA.
Nilimtetea kampeni meneja wangu.😂😂Sa mbona hutakalia kiti hata hivyo.....
Kupita ilikuwa lzm SI ulitetea mtt wa rais asitekwe au unajizina data
Hii id ipewe tuzo iko creative balaa haiboi haipoiNimeandaa nyamachoma festival siku ya jumatatu, natamani mgeni rasmi awe yule PhD holder aliyenibatiza jina la Ponjoro wa Kinondoni.
Akija atatusimulia experience ya kono la baunsa.
Ndugu wana JF nitawawakilisha vyema kumtetea Rais Samia bungeni pamoja na ndugu Abdul ili wasishambuliwe. Nataka mama aishi kwa raha, pia wabunge tupate plate number maalumu ili tukiwa tunapita magari yatupishe tusikae kwenye foleni na WAGANGA NJAA.
Kwanza nipe kabisa mwaliko wa nyamachoma festival yako nifaidi matunda ya ubunge wako kabla hujapewa plate namba maalum.Ndiyomaana tunasema mchague CCM tuendelee kuwaletea vituko zaidi ndugu zangu.
Ntakupa mwaliko kwa sharti la kuja na mheshimiwa Harakaharaka ili tumhoji kwanini anataka kutuchonganisha na walipa kodi.Kwanza nipe kabisa mwaliko wa nyamachoma festival yako nifaidi matunda ya ubunge wako kabla hujapewa plate namba maalum.
🤣 🤣 🤣 🔊Nimeandaa nyamachoma festival siku ya jumatatu, natamani mgeni rasmi awe yule PhD holder aliyenibatiza jina la Ponjoro wa Kinondoni.
Akija atatusimulia experience ya kono la baunsa.
Ndugu wana JF nitawawakilisha vyema kumtetea Rais Samia bungeni pamoja na ndugu Abdul ili wasishambuliwe. Nataka mama aishi kwa raha, pia wabunge tupate plate number maalumu ili tukiwa tunapita magari yatupishe tusikae kwenye foleni na WAGANGA NJAA.
🤣 🤣 🤣 🔊Wakinikata nampigia Abdul anaongea na mama, october tunatiki. Kauli mbiu yetu ni ile ile, no reform no election.
Ukifika bungeni tupiganie tupate plate numbers binafsi za bodaboda.Huna mengi wala baya kama uotaji wa ndevu zako zisizo na ushirikiano.Nimeandaa nyamachoma festival siku ya jumatatu, natamani mgeni rasmi awe yule PhD holder aliyenibatiza jina la Ponjoro wa Kinondoni.
Akija atatusimulia experience ya kono la baunsa.
Ndugu wana JF nitawawakilisha vyema kumtetea Rais Samia bungeni pamoja na ndugu Abdul ili wasishambuliwe. Nataka mama aishi kwa raha, pia wabunge tupate plate number maalumu ili tukiwa tunapita magari yatupishe tusikae kwenye foleni na WAGANGA NJAA.
Kwa hiyo kumbe wajumbe na watu wao ni waganga njaa sio.Nimeandaa nyamachoma festival siku ya jumatatu, natamani mgeni rasmi awe yule PhD holder aliyenibatiza jina la Ponjoro wa Kinondoni.
Akija atatusimulia experience ya kono la baunsa.
Ndugu wana JF nitawawakilisha vyema kumtetea Rais Samia bungeni pamoja na ndugu Abdul ili wasishambuliwe. Nataka mama aishi kwa raha, pia wabunge tupate plate number maalumu ili tukiwa tunapita magari yatupishe tusikae kwenye foleni na WAGANGA NJAA.
Nimeandaa nyamachoma festival siku ya jumatatu, natamani mgeni rasmi awe yule PhD holder aliyenibatiza jina la Ponjoro wa Kinondoni.