Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Hii nchi tamu sana! Ukiwa na stress umetaka mwenyewe.Nimeandaa nyamachoma festival siku ya jumatatu, natamani mgeni rasmi awe yule PhD holder aliyenibatiza jina la Ponjoro wa Kinondoni.
Akija atatusimulia experience ya kono la baunsa.
Wakinikata nampigia Abdul anaongea na mama, october tunatiki. Kauli mbiu yetu ni ile ile, no reform no election.Ahaaa nasikia utakatwa na kamati kuu
Aisee! Ponjoro umejua kutuondolea upungufu wa vicheko na tabasamu.Wakinikata nampigia Abdul anaongea na mama, october tunatiki. Kauli mbiu yetu ni ile ile, no reform no election.
Kuna wengine wamejifanya wajuaji sasa wanaishi kama digidigi na wengine wanasubiri kitanzi!Hii nchi tamu sana! Ukiwa na stress umetaka mwenyewe.
Ponjoro nikikuamkia hapa utanuka kinyesi na utakuwa vipande vipandeNimeandaa nyamachoma festival siku ya jumatatu, natamani mgeni rasmi awe yule PhD holder aliyenibatiza jina la Ponjoro wa Kinondoni.
Akija atatusimulia experience ya kono la baunsa.
Ndugu wana JF nitawawakilisha vyema kumtetea Rais Samia bungeni pamoja na ndugu Abdul ili wasishambuliwe. Nataka mama aishi kwa raha, pia wabunge tupate plate number maalumu ili tukiwa tunapita magari yatupishe tusikae kwenye foleni.
Umejificha wapi Gwajima? Au unakula yule kondoo wako?Ponjoro nikikuamkia hapa utanuka kinyesi na utakuwa vipande vipande
Asante sasa ni wakati wa kula kodi zenu kwa miaka 5.Aliyekubatiza mbona atakuwa alikubatiza na maji machache kuliko inavyotakiwa? Hongera kwa kupita kwenye chujio la pili
Ponjoro wa Kinondoni unajua unaishi on borrowed time???? Huyo unayedhani anaishi kwa kujificha kafichwa na Mungu na Kisasi cha Mungu aliye hai hakitakuachq salama ewe muuza dona. Nikupe tu mfano. Hakuna mjinga na mpumbavu mjivuni kama alivyokuwa Doto James au Kalemani. Ila leo ubunge kwisha kwa aibu kwa kalemani na anaonekana kama mbwa tu. Ila aliwaona watu kama mavi hahah ila leo hahaha. So usitambe ponjoro. Mtafute Gwajiboy uombe msahama yaishe uachane na laana ya MunguNimeandaa nyamachoma festival siku ya jumatatu, natamani mgeni rasmi awe yule PhD holder aliyenibatiza jina la Ponjoro wa Kinondoni.
Akija atatusimulia experience ya kono la baunsa.
Ndugu wana JF nitawawakilisha vyema kumtetea Rais Samia bungeni pamoja na ndugu Abdul ili wasishambuliwe. Nataka mama aishi kwa raha, pia wabunge tupate plate number maalumu ili tukiwa tunapita magari yatupishe tusikae kwenye foleni.
Nyamachoma itakuwa wapi Maana Tarimba Plaza hapatoshi??Nimeandaa nyamachoma festival siku ya jumatatu, natamani mgeni rasmi awe yule PhD holder aliyenibatiza jina la Ponjoro wa Kinondoni.
Akija atatusimulia experience ya kono la baunsa.
Ndugu wana JF nitawawakilisha vyema kumtetea Rais Samia bungeni pamoja na ndugu Abdul ili wasishambuliwe. Nataka mama aishi kwa raha, pia wabunge tupate plate number maalumu ili tukiwa tunapita magari yatupishe tusikae kwenye foleni.
Hongera PonjoroπNimeandaa nyamachoma festival siku ya jumatatu, natamani mgeni rasmi awe yule PhD holder aliyenibatiza jina la Ponjoro wa Kinondoni.
Akija atatusimulia experience ya kono la baunsa.
Ndugu wana JF nitawawakilisha vyema kumtetea Rais Samia bungeni pamoja na ndugu Abdul ili wasishambuliwe. Nataka mama aishi kwa raha, pia wabunge tupate plate number maalumu ili tukiwa tunapita magari yatupishe tusikae kwenye foleni.
Usishangilie sana, tuna nafasi ya kuwapa CHAUMMA. Au tukalikata kule kwenye kikao cha mwishoAsante sasa ni wakati wa kula kodi zenu kwa miaka 5.
wajumbe tumekukataAsante sasa ni wakati wa kula kodi zenu kwa miaka 5.
Achana nao, wamejitakia wenyewe.Kuna wengine wamejifanya wajuaji sasa wanaishi kama digidigi na wengine wanasubiri kitanzi!
Ndiyomaana tunasema mchague CCM tuendelee kuwaletea vituko zaidi ndugu zangu.Hii nchi tamu sana! Ukiwa na stress umetaka mwenyewe.