Ponjoro wa Kinondoni nimepenya, Aliyenipa jina Anaishi kama digidigi

😂😂Sa mbona hutakalia kiti hata hivyo.....
Kupita ilikuwa lzm SI ulitetea mtt wa rais asitekwe au unajizina data
 
Hii id ipewe tuzo iko creative balaa haiboi haipoi
 
Kwanza nipe kabisa mwaliko wa nyamachoma festival yako nifaidi matunda ya ubunge wako kabla hujapewa plate namba maalum.
Ntakupa mwaliko kwa sharti la kuja na mheshimiwa Harakaharaka ili tumhoji kwanini anataka kutuchonganisha na walipa kodi.
 
🤣 🤣 🤣 🔊
 
Ukifika bungeni tupiganie tupate plate numbers binafsi za bodaboda.Huna mengi wala baya kama uotaji wa ndevu zako zisizo na ushirikiano.
 
Kwa hiyo kumbe wajumbe na watu wao ni waganga njaa sio.
 
Nasoma comment za wadau ila kila mtu anauliza la kwake ... mara ponjoo umeacha bangi ,mwingine milungi ,mara madawa. Nami nauliza mbona ponjoro wewe unatumia kila kilevi.?
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…