Poor Brain FT MS R wimbo unaitwa Sijiwezi

Huo wimbo nilikutungia ili uniimbie MIMI na sio huyo Ms R....

UMENIKERA UMENIKERA UMENIKERA UMENIKERAAAAA

Wimbo nikutungie mimi, hela ya kurekodi nikupe mimi, producer na director niwe mimi HALAFU wimbo umuimbie huyo CHAKUBANGA MTOKA PABAYA...

Naona umechoka kulelewa......nitakata mirija yote ya MATUMIZI.
 
Wizoooo pulizi bana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nimefanya yote haya ili upunguze mambo yako..
Tatizo una mambo mengi alafu hujari
 




Gharama za video kwa Director Kenny zote ni juu yangu kijana unajua πŸ€—
 
Woohoo πŸŽ‰ πŸŽ‰ πŸŽ‰ πŸŽ‰ oooh my Gad..
Sasa hapo ishakwisha ngoja tuone director mkubwa atasemaje BK BICHWA KOMWE - πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Vedeo ntaitendea haki hutojutia...πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Gharama za video kwa Director Kenny zote ni juu yangu kijana unajua πŸ€—
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽ‰πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
Dr asante sana ..
Sina mengi ila ni furaha ilioje aiseeeee kama napata sapport kwa mtu mkubwa kama wewe
 
Wizoooo wizoooo
😭😭 kumbe kuna watu unawapenda tofauti na mimi!! Upendo wote niliokuoneshaa!! Kweli!!??

Leo hii unanifanyia hivi mimi 😭😭😭 Kwa lipi...

Haya angalia ana nini kunizidi, mbona wowowo ninalo, shepu ninayo, uzuri ninao na maokoto ninayo! Umekosa nini kwangu? Eeeeh? nakuuliza...
 


Director wa nyimbo maarufu nchini SIJIWEZI ambaye ni BICHWA KOMWE - amesema kua wakati wa shooting ya nyimbo alishangazwa na mambo mengi sana....



Kwa upande mwingine,alijaribu kugusia kwa location manager proton pump ambaye alichagua video ikafanyikie zanzibar.



Hali ambayo ikaizua mzozo mkubwa sana kwani Ms R alishindwa kabisa kukaa kwenye boti hivo kazi. Ilikua ngumu sana..



Kwa upande wake director BICHWA KOMWE - alisema "" Ms R alinisumbua sana mpaka nikawaza hii kazi bora video qeen angekua Nyamwila255 ila nashukuru kazi imeisha salama . "



DR HAYA LAND atoa dau nono baada ya kusikiliza ngoma anasema yupo tayari kughalamia kiasi chochote kile
 
Hapana tatzo bichwa wewe ubadiliki huo mdomo wako aisee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…