Poor Brain FT MS R wimbo unaitwa Sijiwezi

Kimewaka πŸ”₯
 
Bomboclat aka bomboclot ni rush kubwa, motherfucker, or uchafu wa kule chini wa mwanamke and the likes

Wahariri wamepitishaje hilo neno?
Mmmmh mkuu hili neno ni kama msimu hvo halina nguvu kwa wachambuzi kule basata ni sawa na mtu aseme MAKUzi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™πŸ™πŸ™
 
We falaπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸΎ
 


King of Pop Mpaji Mungu amekataa waziwazi mwaliko wa msanii chipukizi Poor Brain kwenye studio zao PBM zilizopo Mbezi Dar es saalam, Tanzania.

β€’Akijibu kuhusu kukataa kufanya wimbo na Poor Brain Mpaji Mungu alisema ""kila msanii ana uhuru wa kufanya wimbo na yeyote anayetaka kufanya naye kazi lakini linapokuja suala la pesa huwa sina huruma na mtu.""

Wakati wakizindua nyimbo hiyo siku chache zilizopita, Mpaji Mungu alidokeza kuwa atafurahi sana kama atalipwa $4000 kama nyota mwenzake wa bongo fleva akitaka hiyo collabo.

Hata hivyo amejitokeza tajiri Vincenzo Jr anatamani awe meneja ili aweze kupeleka ngoma mjini ""Nimeamua kusapport kazi ya kijana mwenzangu, nitahakikisha anapata usimamizi mzuri "".

Umesha-imagine meneja mkubwa kama Vincenzo akisimamia hii ngoma live...
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽ‰
 
We falaπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸΎ
Ooooooh nilijua tuu lazima utakuja kunisema πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…