Wewe maliza kila kituTutabadili chorus na Bridge kwenye demo. Tafuta mtu wa kupiga back voice
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji24][emoji24] kumbe kuna watu unawapenda tofauti na mimi!! Upendo wote niliokuoneshaa!! Kweli!!??
Leo hii unanifanyia hivi mimi [emoji24][emoji24][emoji24] Kwa lipi...
Haya angalia ana nini kunizidi, mbona wowowo ninalo, shepu ninayo, uzuri ninao na maokoto ninayo! Umekosa nini kwangu? Eeeeh? nakuuliza...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie ndo producer, naamzaje kukosekanaaa. Lol
ππππππππ Kuna shida gani kwani mkuu mbona gafula
ππππππππππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie ndo producer, naamzaje kukosekanaaa. Lol
Watu mna degree ya unafiki ,ππππππππππDiamond ajipange sanaaa tena awe makini msanii wetu wa Jf ni moto wa kuotea mbali , hapa nahisi akirudisha mifugo jioni ataandika kibao kingine mana kuna nyimbo na kibao hiki kibaoπ π π
MamboPotea kabisa
Naomba audioMkuu ni issue serious ulizani natania πππππ
Ngoja ni i zoomSapport yako mkuu ngoma ipo yutubu kule πππππ
π naelewa mchango wako kwenye tasnia.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie ndo producer, naamzaje kukosekanaaa. Lol
Heshima yako Director πKwahiyo hunitaki tena
Kivipintakua na mwili wa simba bwan
Link kwa bio mbona aidio tayr nisha weka hapNaomba audio
Like na commentNgoja ni i zoom
Inategemea ume andika vipi..Nimeitafta youtube nimeikosa
Huuu ni ukorofi ππππ naelewa mchango wako kwenye tasnia.