kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Hiyo ndio mechi ya ndugu wawili mechi mbovu kuwahi kushuhudiwa mechi ya mipango mpira unapigwa wanaurudisha kwa mfungaji kipa anajirusha ushahidi bila...krosi inapigwa mabeki wanajitenga mfungaji amewachwa peke yake malengo yametimia msifunge mengi mawili yanatosha wasielewe kama mechi tumepanga aibu kubwa kwa soka la bongo matusi yanakaribishwa mwigulu hersi na mwigulu fanyeni mpango muinunue na tabora united...tulitegemea usajili mkubwa dhamira nikutoa upinzani kama azam kumbe usajili mkubwa ni kumsindikiza kibaka huku unapiga kelele kuwazuga wengine....Hussein Massanza anaipongeza GSM badala ya azam tv...mechi mbovu haistaili kuwa ya ligi kuu!