Poor game, Fixing match ,90 minutes Shots on target 0

Hiyo ndio mechi ya ndugu wawili mechi mbovu kuwahi kushuhudiwa mechi ya mipango mpira unapigwa wanaurudisha kwa mfungaji kipa anajirusha ushahidi bila...krosi inapigwa mabeki wanajitenga mfungaji amewachwa peke yake malengo yametimia msifunge mengi mawili yanatosha wasielewe kama mechi tumepanga aibu kubwa kwa soka la bongo matusi yanakaribishwa mwigulu hersi na mwigulu fanyeni mpango muinunue na tabora united...tulitegemea usajili mkubwa dhamira nikutoa upinzani kama azam kumbe usajili mkubwa ni kumsindikiza kibaka huku unapiga kelele kuwazuga wengine....Hussein Massanza anaipongeza GSM badala ya azam tv...mechi mbovu haistaili kuwa ya ligi kuu!
Match fixing inaanzia kwa kolo na ndio timu inayoongoza kwa kupata ushindi wa magumashi,, kuanzia mechi na Dodoma, Azam, pamba, Jkt, tabora zote hizo ulinyakua point ngapi ambazo ukustahili? Kaa kimya pia Kuna sanduku la maoni liko pale tff alisema Msemaji wenu baada ya kupora ushindi wa Dodoma,,tutafika tu na mtatoa milio ya panyabuku mpaka akili ziwakae sawa
 
Pccb wana jambo huku
 
Jumatatu - Timu nyingi zikicheza na Yanga huwa dhaifu

Jumanne - Wanakaa kileleni kama status za WhatsApp

Jumatano - Yanga imeshuka kiwango msimu huu

Alhamis - GSM anaharibu LIGI

Ijumaa - Msimu huu ni ubaya ubwela

Jumamosi - Bado tunajenga timu
Kiukweli kila wakiiwaza ile point moja wanayoongozaga nayo kundi halafu wakikumbuka kuna tarehe 08 basi jasho linawatoka. 🤣
 
Match fixing inaanzia kwa kolo na ndio timu inayoongoza kwa kupata ushindi wa magumashi,, kuanzia mechi na Dodoma, Azam, pamba, Jkt, tabora zote hizo ulinyakua point ngapi ambazo ukustahili? Kaa kimya pia Kuna sanduku la maoni liko pale tff alisema Msemaji wenu baada ya kupora ushindi wa Dodoma,,tutafika tu na mtatoa milio ya panyabuku mpaka akili ziwakae sawa
Mechi mbovu sana nasikitika wapenzi wa soka la bongo na wallace anayejitahidi kuifanya ligi itambulikane ni heri azam asionyeshe tena maana aibu huko kwenye mataifa mengine ligi yetub wanaiona ni kituko heri ligi daraja la kwanza ina mvuto yanga wanainajisi ligi!
 
Nimekuuliza mechi fixing zenu vipi zilikuwa halali mbona aukubweka kama unavyobweka Leo? Ulikuwa unakenua tu uku ukisema ubaya ubwela sasa kinachokuliza kitu Gani?
 
Match gani?weka ushahidi!
 
Jumatatu - Timu nyingi zikicheza na Yanga huwa dhaifu

Jumanne - Wanakaa kileleni kama status za WhatsApp

Jumatano - Yanga imeshuka kiwango msimu huu

Alhamis - GSM anaharibu LIGI

Ijumaa - Msimu huu ni ubaya ubwela

Jumamosi - Bado tunajenga timu
Kwa hiyo jumapili kumbe huwa wanapumzika...
 
Match gani?weka ushahidi!
Mechi ya Dodoma lile goli lilikuwa halali? Mechi na Azam yale magoli ya offside yalikuwa halali? Mechi na Jkt je? Mechi na pamba goli walilolifunga lilikuwa na shida Gani? We unadhani Kila mtu ni kipofu,,mnavyopata point basi na yanga atazipata hivyo hivyo akuna kucheka na kima kwasasa,
 
Tayari mipango inasukwa kumnunua yoyote anayepanda daraja mwakani. Si unaona walivyoiwahi Pamba?

Baada ya miaka 3 hadi 5, 85% ya timu zote zitakuwa chini ya GSM. Huo ndiyo mpango unaoandaliwa na hivyo ndiyo jinsi unatekelezwa.
 
Simba hashindi mechi kindezi ni kiume machozi jasho na damu ....Duuh pole sana tunataka timu inayokwenda kushindana kimataifa sio inanunua mechi kwenda kushiriki tu inazibia timu zenye uwezo anakwenda na bendera ya nchi hawakilishi singida na jangwani!
 
Na Simba atanunuliwa mazima baada ya kununuliwa kwa misimu mitatu sasa kinachofata ni biashara ya jumla jumla kwaiyo kwenye iyo 85% Simba ndani!
 
Tunaona inashinda kwa machozi ya wakina Tatu malogo ni machozi aswaa🤣🤣
 
Na Simba atanunuliwa mazima baada ya kununuliwa kwa misimu mitatu sasa kinachofata ni biashara ya jumla jumla kwaiyo kwenye iyo 85% Simba ndani!
Una kipaji, mtafute Coy Mzungu
 
Back
Top Bottom