kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Duh! Kumbe ndo ilivyo pole sana bwana kipara, hebu tema mate tuwachape!!!Hiyo ndio mechi ya ndugu wawili mechi mbovu kuwahi kushuhudiwa mechi ya mipango mpira unapigwa wanaurudisha kwa mfungaji kipa anajirusha ushahidi bila...krosi inapigwa mabeki wanajitenga mfungaji amewachwa peke yake malengo yametimia msifunge mengi mawili yanatosha wasielewe kama mechi tumepanga aibu kubwa kwa soka la bongo matusi yanakaribishwa mwigulu hersi na mwigulu fanyeni mpango muinunue na tabora united...tulitegemea usajili mkubwa dhamira nikutoa upinzani kama azam kumbe usajili mkubwa ni kumsindikiza kibaka huku unapiga kelele kuwazuga wengine....Hussein Massanza anaipongeza GSM badala ya azam tv...mechi mbovu haistaili kuwa ya ligi kuu!
HeheheParacetamol ni sh 100 tu
Tunataka soka halali sio la mipango kila mmoja anaelewa ndio maana wakifika kafu kusiko na mipango ya mwigulu wala mexime ni vichapo tu..tunataka bingwa wa kuiwakilisha nchi sio bingwa wa kushiriki na kudizaini jezi nyingi za mashindano ya caf then hazivaliwi maana wanatoka mapema!hizi kelele sio ngeni na huja pale tu ligi ikiongozwa na yanga!
Ndo maneno yao tushawazoeaJumatatu - Timu nyingi zikicheza na Yanga huwa dhaifu
Jumanne - Wanakaa kileleni kama status za WhatsApp
Jumatano - Yanga imeshuka kiwango msimu huu
Alhamis - GSM anaharibu LIGI
Ijumaa - Msimu huu ni ubaya ubwela
Jumamosi - Bado tunajenga timu
Basi! basi! yatapita tu usiumie sana!!!Tunataka soka halali sio la mipango kila mmoja anaelewa ndio maana wakifika kafu kusiko na mipango ya mwigulu wala mexime ni vichapo tu..tunataka bingwa wa kuiwakilisha nchi sio bingwa wa kushiriki na kudizaini jezi nyingi za mashindano ya caf then hazivaliwi maana wanatoka mapema!
Tunataka mechi za mpira sio mipango na ujanja!Basi! basi! yatapita tu usiumie sana!!!
Mimi na mtoa mada hatuelew tusaidie kaka tumeshavurugwaShoot on target 0 halafu ubao unasoma 2:1. Unajua kwanza maana ya shot on target?
Wacha aongeze tozo apate kuinunua na tabora united....Madelu ni miongoni mwa matapeli waliowahi kutokea nchi hii