Poor game, Fixing match ,90 minutes Shots on target 0

Walivyoishia robo wakaleta nini? Yanga iyo michuano ya wakinamama kavaa medali but Simba ata iyo medali anaiangalia kwenye tv
Haijalishi wameleta nini, kwani wewe unashirikii hili ulete medali? Hapa tukubaliane tu unajivunia medali ya mashindano ya kina mama.
 
Ahahaha kweli maisha yanaenda Kasi sana,,unatuletea picha za miaka 50 iliyopita? Medali ziko wapi hapo?
Najua ulikuwa hujazaliwa wakati tunashuhudia pira la viwango bado uto walikuwa wasindikizaji mpaka wana azimwa wachezaji na simba je ulikuwa wapi?
 
Haijalishi wameleta nini, kwani wewe unashirikii hili ulete medali? Hapa tukubaliane tu unajivunia medali ya mashindano ya kina mama.
Ni sawa sasa mkae kimya kulinganisha michuano mnayoshiriki na wenzenu klabu bingwa waliyoshiriki,,kule klabu bingwa uwezi kukuta timu zenye uwezo kama wa kiluvya united ya Tandale
 
NIna hakika kama simba angeshiriki klabu bingwa safari angecheza fainali timu nyingi ni dhaifu!
 
Najua ulikuwa hujazaliwa wakati tunashuhudia pira la viwango bado uto walikuwa wasindikizaji mpaka wana azimwa wachezaji na simba je ulikuwa wapi?
Kawaonyeshe kolo wenzako kwamba mwaka 1980 tulicheza fainali ya shirikisho kwaiyo tutambe nayo iyo picha🤣🤣
 
kwa hiyo ukiposheyentwa ✋ kulikuwa na fixing
 
NIna hakika kama simba angeshiriki klabu bingwa safari angecheza fainali timu nyingi ni dhaifu!
Wacha weee,,,Simba hii hii ya wakina mutale na mukwala? Simba hii hii ya kusubilia tatu malogo atoe bonus ya magoli ya offside? Simba hii hii ya kusubilia marefa wakina Hans mabena waongeze dk 20 ili mpate goli au nyingine?
 
Hiyo hiyo inamkanda mwarabu kwa mkapa ikiwa uto siku moja kabla kakwama kwa waarabu!
 
Naona umeishiwa maneno!
Si unatamba na robo tuonyeshe iyo medali ya robo misimu 4 unayosema,,kama aipo basi ujue ni sawa na mwanafunzi anayeferi form six ataendelea kutambulika kwa cheti chake cha form four,,nadhani umenielewa point yangu
 
Umeishiwa maneno sidhani kama kuna medali za robo....muhimu kila mmoja ameshuhudia mechi mbovu kuliko zote tangu ligi kuu ilipoanzishwa hata mechi ya tabora united waliyocheza pungufu dhidi ya azam chamazi ilikuwa bora!
 
Umeishiwa maneno sidhani kama kuna medali za robo....muhimu kila mmoja ameshuhudia mechi mbovu kuliko zote tangu ligi kuu ilipoanzishwa hata mechi ya kitayosa waliyocheza pungufu ilikuwa bora!
🤣🤣🤣 Basi usitambe na kufika robo wakati ni sawa na kazi Bure ungetamba kama ungefika fainali angalau ukapata kamedali but robo ni kuferi tu unakuwa sawa na ata aliyeishia hatua za awali tu
 
Mtizamo wako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…