Kafrican
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 7,251
- 7,037
bei ya nyama iliopikwa/chomwa au beer hupandishwa au kushukidhwa kulingana na mahali unapo ikulia... kama ni mahali ambapi mwenye bar/restaurant/club/hotel analipa kodi ya juu; basi atapandisha bei ya nyama au beer , kama ako location nzuri yenye wateja, atapandisha bei... kwa mfano kuna club zengine tusker ni 300ksh na kuna club zengine tusker ni 170ksh na ukifika kwa supermarket Tusker ni 160ksh.... kama we ni mgeni na uende club inayouza tusker 300ksh utafikiria Kenya nzima Tusker ni 300ksh kumbe sivyo... So kama unataka kujua bei halisi ya nyama enda butchury ukanunue! alafu ndo ulinganishe na bei ya TzNilikuwa kawangare leo. Nimekula nyama choma na tusker.
Nyama ni bei sana ukilinganisha na TZ.. why???
Nimetoka hapo junction mall nyuma kuna hostel za masister wa katoliki nitalala hapa.
Rafiki yangu mkikuyu anaitwa F...... mareali leo nitampelekea moto hdi ajiwashie feni