Poor services in Kenyan shopping malls.

Poor services in Kenyan shopping malls.

Nilikuwa kawangare leo. Nimekula nyama choma na tusker.
Nyama ni bei sana ukilinganisha na TZ.. why???
Nimetoka hapo junction mall nyuma kuna hostel za masister wa katoliki nitalala hapa.

Rafiki yangu mkikuyu anaitwa F...... mareali leo nitampelekea moto hdi ajiwashie feni
bei ya nyama iliopikwa/chomwa au beer hupandishwa au kushukidhwa kulingana na mahali unapo ikulia... kama ni mahali ambapi mwenye bar/restaurant/club/hotel analipa kodi ya juu; basi atapandisha bei ya nyama au beer , kama ako location nzuri yenye wateja, atapandisha bei... kwa mfano kuna club zengine tusker ni 300ksh na kuna club zengine tusker ni 170ksh na ukifika kwa supermarket Tusker ni 160ksh.... kama we ni mgeni na uende club inayouza tusker 300ksh utafikiria Kenya nzima Tusker ni 300ksh kumbe sivyo... So kama unataka kujua bei halisi ya nyama enda butchury ukanunue! alafu ndo ulinganishe na bei ya Tz
 
Mtembeze lolo hadi hapate mimba ya mgongo. Huyo dada yake mtu fulani humu.
 
Nafikiri mzungu amemuacha sasa yuko hoi.
Toka uanze kazi yakupika changaa umekuwa mlevi kupindukia
To all southern fellows on this thread, please understand the difference between a shopping mall and a supermarket chain.
Tuskys, Nakumatt and Carrefour izo ni supermarket brands/chains that are ussually the anchor tenant. The shopping Mall is the building that houses the supermarket, together with other businesses.

Sasa unaeza ukarekebisha mada appropriately.
Mada nijuu ya shopping malls na so called chain supermarkets. Umewahi kuta duka la bidhaa za ndani huko.
 
sasa huyu jamaa anatuletea udaku wa Tuskeys supermarket kana kwamba si vidada tumeketi pale vijiweni tuki sengenya watu ambao hawatuhusu
Mbona unaongea kwa hisia kali. Huamini unachokiona.?? 😀😀 Mnajisifia ujinga nakutuona mafala😀 Check out @e_nyamai2’s Tweet:
 
hahaa utahema sana bro, kienglish na waswahili wapi na wapi, acha watiririke na uharo wao tuu!
Who cares about english. Kingereza kimewasaidia vipi kupata ajira hapô Kenya ?? 😀😀
2018-05-21_12.28.24.jpg
2018-05-21_12.28.24.jpg
 
You must be a monumental dullard not to know the difference between a supermarket and a shopping mall.
None of those are complaints against any shopping mall.
And as I keep saying. You go looking for faults, you'll find them. You can Google all the complaints Americans have against Walmart.
Upumbavu ni pale Mkenya anapojilinganisha na America😀😀 Nairobi CBD
2018-05-21_12.35.16.jpg
 
Tuskys supermarket imeshinda global business award tu juzi. Just because watu wawili watatu wamecomplain on social media ndo inafanya uhare kwa kufungua hii useless thread. Hujui hata tofauti ya mall na supermarket, no one should take you seriously.
Hapo ndipo wakenya huwaona mafala wa Dunia. Wakikuyu aliye waloga alisha kufa.
 
bei ya nyama iliopikwa/chomwa au beer hupandishwa au kushukidhwa kulingana na mahali unapo ikulia... kama ni mahali ambapi mwenye bar/restaurant/club/hotel analipa kodi ya juu; basi atapandisha bei ya nyama au beer , kama ako location nzuri yenye wateja, atapandisha bei... kwa mfano kuna club zengine tusker ni 300ksh na kuna club zengine tusker ni 170ksh na ukifika kwa supermarket Tusker ni 160ksh.... kama we ni mgeni na uende club inayouza tusker 300ksh utafikiria Kenya nzima Tusker ni 300ksh kumbe sivyo... So kama unataka kujua bei halisi ya nyama enda butchury ukanunue! alafu ndo ulinganishe na bei ya Tz
Kawangare wanaishi madosi ??
 
Hapo ndipo wakenya huwaona mafala wa Dunia. Wakikuyu aliye waloga alisha kufa.
Wewe hujui hata shopping mall ni nini, mshamba wewe ndio maana mlikua mnatuambia sijui Dar pekee ikona travelator in this region. Ushamba na culture shock ndo inawasumbua.
 
Wewe hujui hata shopping mall ni nini, mshamba wewe ndio maana mlikua mnatuambia sijui Dar pekee ikona travelator in this region. Ushamba na culture shock ndo inawasumbua.
😀😀😀 Nionyeshe travelator hapo JKIA. Am waiting😀😀 Ukiipata naondoka humu JF. Show me the Travelator at JKIA. Please nasubiria. Hapo kenya hiyo sio travelator ni elevator ndo ipo JKIA😀😀 Kumbe kichapo cha travelator JKIA bado kina kusumbua😀😀😀
 
Karibu ulaya.
Asante mkuu.
Nyie mpo civilised sanaaa.
Bravo.

Nilipanda city hopper kuja huku ngong road.

Raha mustarehe watu wamepanga foleni wazee kwa watoto.

Hadi raha.
Nikatakabi ile BRT ya darisalama iletwe Nairobi.
Kama umezoea public transport za Nairobi ukija kimara pale kupanda brt unaweza ukasema umeingia mjinwa mashetani na manyani na wanyama.

Baunsa anamsukuna mtoto, kijana anamsukuma mzee. Wtf.

Ngoja nikale bia leo hapo mama ngina street.
 
😀😀😀 Nionyeshe travelator hapo JKIA. Am waiting😀😀 Ukiipata naondoka humu JF. Show me the Travelator at JKIA. Please nasubiria. Hapo kenya hiyo sio travelator ni elevator ndo ipo JKIA😀😀 Kumbe kichapo cha travelator JKIA bado kina kusumbua😀😀😀
Kwani lazima iwe JKIA ndio maana nasema nyie ni washamba just full of culture shock. West Gate mall ikona travelator and it's not a big deal. Ushamba itawamaliza, somethings are so petty to be noticed in the 21st century.
 
Upumbavu ni pale Mkenya anapojilinganisha na America😀😀 Nairobi CBDView attachment 784214

Unajua maana ya kujilinganisha?
Kutojua kiingereza ni balaa tupu. Mungu saidia hawa bongolala.

Nilisema kwamba tetesi (complaints) si jambo geni, mfano kwenye Google zimejaa za Walmart.
Kama nia yako ukiamka ni kutafuta makosa, utaipata.

Sasa wewe bongowazi ulienda Twitter uka search complaints za Tuskys. Unatarajia duka linalohudumia mamilioni ya watu kila mwaka, kila mtu afurahie?

Vile vile ungetafuta compliments (yaani comments za waliofurahia service), utapata mingi.
 
Back
Top Bottom