Poor services in Kenyan shopping malls.

Poor services in Kenyan shopping malls.

mulisaaa

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2017
Posts
6,969
Reaction score
7,027
Kumekuwa na ulimbukeni wa wakikuyu humu ndani kutuletea hadithi za shopping malls. Ukweli ni kwamba kila mkenya analalamika juu ya huduma wanazopata kwenye hizo shopping malls.
Wakenya wamekuwa wakitumikwishwa kama mbwa kwenye hizo shopping malls na ma boss zao. Pia customer care ni sufuri. Saa nyingine unaweza kwenda usikute bidhaa.
Kiufupi wakenya nikama mbuzi aliyefungwa kamba kupelekwa malishoni ndani ya nchi yao. Wanatumikishwa kupata poor services kutokana nakutokuwa na alternative. Tofauti sana na Tanzania.
Check out @rebeccaluyali’s Tweet: Check out @Kihara_John’s Tweet: Check out @onlyshidays’s Tweet:
 
Sasa rudia venye umesema bila kulia😀😀😀 Mr
IMG_20180505_115248.jpg
 
hii ngombe ya tandale inapumua moto leo...hasira kampanda..povu kamwaga duh!!
 
Nilikuwa kawangare leo. Nimekula nyama choma na tusker.
Nyama ni bei sana ukilinganisha na TZ.. why???
Nimetoka hapo junction mall nyuma kuna hostel za masister wa katoliki nitalala hapa.

Rafiki yangu mkikuyu anaitwa F...... mareali leo nitampelekea moto hdi ajiwashie feni
 
Game,Checkers, Carrefour and Chandarana.
 
Nilikuwa kawangare leo. Nimekula nyama choma na tusker.
Nyama ni bei sana ukilinganisha na TZ.. why???
Nimetoka hapo junction mall nyuma kuna hostel za masister wa katoliki nitalala hapa.

Rafiki yangu mkikuyu anaitwa F...... mareali leo nitampelekea moto hdi ajiwashie feni
Bei ya nyama LDC countries is always lower than other developed nations...masikini wakiwa wengi wananyamazishwa na chakula cha bei nafuu.
 
sasa huyu jamaa anatuletea udaku wa Tuskeys supermarket kana kwamba si vidada tumeketi pale vijiweni tuki sengenya watu ambao hawatuhusu
 
To all southern fellows on this thread, please understand the difference between a shopping mall and a supermarket chain.
Tuskys, Nakumatt and Carrefour izo ni supermarket brands/chains that are ussually the anchor tenant. The shopping Mall is the building that houses the supermarket, together with other businesses.

Sasa unaeza ukarekebisha mada appropriately.
 
hahaa utahema sana bro, kienglish na waswahili wapi na wapi, acha watiririke na uharo wao tuu!
 
To all southern fellows on this thread, please understand the difference between a shopping mall and a supermarket chain.
Tuskys, Nakumatt and Carrefour izo ni supermarket brands/chains that are ussually the anchor tenant. The shopping Mall is the building that houses the supermarket, together with other businesses.

Sasa unaeza ukarekebisha mada appropriately.
my sentiments exactly.
ndio maana nyuzi nyingi za wabongolala nashindwa kuzielewa
 
Kumekuwa na ulimbukeni wa wakikuyu humu ndani kutuletea hadithi za shopping malls. Ukweli ni kwamba kila mkenya analalamika juu ya huduma wanazopata kwenye hizo shopping malls.
Wakenya wamekuwa wakitumikwishwa kama mbwa kwenye hizo shopping malls na ma boss zao. Pia customer care ni sufuri. Saa nyingine unaweza kwenda usikute bidhaa.
Kiufupi wakenya nikama mbuzi aliyefungwa kamba kupelekwa malishoni ndani ya nchi yao. Wanatumikishwa kupata poor services kutokana nakutokuwa na alternative. Tofauti sana na Tanzania.
Check out @rebeccaluyali’s Tweet: Check out @Kihara_John’s Tweet: Check out @onlyshidays’s Tweet:

You must be a monumental dullard not to know the difference between a supermarket and a shopping mall.
None of those are complaints against any shopping mall.
And as I keep saying. You go looking for faults, you'll find them. You can Google all the complaints Americans have against Walmart.
 
Tuskys supermarket imeshinda global business award tu juzi. Just because watu wawili watatu wamecomplain on social media ndo inafanya uhare kwa kufungua hii useless thread. Hujui hata tofauti ya mall na supermarket, no one should take you seriously.
 
Nilikuwa kawangare leo. Nimekula nyama choma na tusker.
Nyama ni bei sana ukilinganisha na TZ.. why???
Nimetoka hapo junction mall nyuma kuna hostel za masister wa katoliki nitalala hapa.

Rafiki yangu mkikuyu anaitwa F...... mareali leo nitampelekea moto hdi ajiwashie feni
Karibu ulaya.
 
Back
Top Bottom