Poorest countries in the World!

Lkn ukiangalia hakuna tofuati kubwa kihivyo kati TZ na Kenya, ukiangalia hizo takwimu, wote sisi ni nchi masikini tena sana tu, hivyo tushirikiane kutoka hapa badala ya kuleta Picha za estate za foreigners ambazo hata hatuzimiliki!

Duuu KAMA ni hivyo basi NCHI ZETU zinahitaji jitihada za ZIADA. YAANI HAMNA ALIYEFIKA PER CAPITA YA 10,000. Kasoro Botswana, Namibia. Sub Sahara Africa ndo shida, hakuna ALIYEFIKA 5,000. Kazi kubwa ipo mbele YETU.
 
Duuu KAMA ni hivyo basi NCHI ZETU zinahitaji jitihada za ZIADA. YAANI HAMNA ALIYEFIKA PER CAPITA YA 10,000. Kasoro Botswana, Namibia. Sub Sahara Africa ndo shida, hakuna ALIYEFIKA 5,000. Kazi kubwa ipo mbele YETU.


Mimi kinachoniudhi na kunikera ni watu Wakenya kutwa nzima kuiita TZ yetu nchi masikini, wakati hata Kenya yenyewe ni nchi masikini pia, tena sana tu, ukiwasikia wakiongea utasema labda Kenya ina 10 000 USD kumbe wametuzidi kwa USD 260 tu, lkn ajabu wanafikiri wana haki ya kuiita Tanzania yetu masikini na yao ni tajiri!
 
Mimi naongea kuhusu systems sio countries. Capitalistic system, socialistic system na hybrid system iliyochanganya zote mbili. Sina haja ya kucompare Kenya na U.S.A. Ninacompare Capitalistic na socialistic sysytems huku nikitoa advantage na disadvantage ya hizo systems
 

Umeeleza vizuri tangu ile post yako ya awali. Kwa UPANDE wetu sisi Afrika mfumo bora kwetu ni ule unaofuatwa na China. China ilikaa SANA kwenye socialism, ambayo ilisaidia SANA kuwa IMARA kisiasa. Lkn ilipoboresha MFUMO wake wa socialism na kuongeza vionjo vya free market economy. Hivyo mfumo wao wa UCHUMI unaitwa socialistic market economy. Ni ujamaa lkn wenye vionjo vya soko huria. Mfumo huu nahisi ni bora sana kwa NCHI ZETU.
 
Nakubaliana na wewe kabisa infact hivyo ndivyo nilivyoelezea hapo awali. Uko sahihi.
 

Kwenye Uzi huu nadhani mtazamo wangu utabadirika SANA na mijadara ya hapa. Kiufupi kwenye region hakuna economic giant. Wote tuna struggle.
Duuu SIJUI tutafikia waliko wenzetu wa Botswana na Namibia siku moja!!!? Hata tukifika waliko Angola inatosha!!!
 
Na hii ndio cancer ya bongo zenu ' ni nchi gani mtu mmoja ndio anazalisha mali na kuwafanya wananchi wote wawe tajiri? Usipojipigania mwenyewe lazima ufe hakuna mtu wa kukuwekea pesa mfukoni na kila siku JPM anasema asiefanya kazi afe

Kaa hapo ukitegemea mwanaume mwenzio akutajirishe wakati umezungukwa na fursa kila kona
 
Ni ujinga kushabikia sera mbovu za kukuza uchumi, mazingira yasiyo rafiki ya kibiashara, kodi zisizo kubwa Na kichwa Wala miguu kisa tu wewe ni shabiki wa CCM.
Mbaya zaidi huna elements za biashara ndani yako.
Tuache wafanyabiashara Na wachumi tuongee, nyie wanakwaya wa TOT subirini kuimba kwenye mbio za mwenge
 
Hata kwenye map tupo pamoja
 
Tanzania zaidi ya %65 ni wa kulima na wafugaji na JPM alivyoingia tu madarakani akaanza na kufuta kodi kwa shughuli zinazowagusa wananchi wa kawaida na wengi zaidi.

SERIKALI YAFUTA TOZO ZAIDI YA 80,ADA 139 KATIKA MAZAO YA KILIMO | Magazeti ya leo| Tanzania News |Tanzania Today

Ni kodi zipi unazoingelea wewe?
 
Kabla ya JPM ni lini tulishika hii number? Ongea kwa fact sababu nitakudhalilisha hapa sinaga mipasho kama bawacha mimi

Tanzania yapaa kiuchumi, yaingia tano bora Afrika - Bongo5.com
 
Mazingira yapi yasiyo mazuri na kwa biashara zipi..? Biashara za kitapeli pale bandarini hazipo wala za ukwepaji kodi

Biashara za utakatishaji pesa chafu za madawa ya kulevya na nyara za Taifa hazipo

Kwa taarifa yako tu sasa Tanzania is the best in Africa in attracting more investments and has the favorable environment for investors

Tanzania Ranked Highly in Investment Report
 

Ahaaa haaa haaa
Aksante kwa fact and figures from credible authority.
 


Huyo jamaa ni mpiga dili!
 
Labda ningesema inflation. Hivi kushuka kwa thamani ya pesa kiuchumi inamaanisha nini? Mimi sio mchumi ila ninataka mchumi anijibu. Hata hivyo mimi ni mtanzania lakini wakenya wametuacha mbili kiuchumi.
 
Labda ningesema inflation. Hivi kushuka kwa thamani ya pesa kiuchumi inamaanisha nini? Mimi sio mchumi ila ninataka mchumi anijibu. Hata hivyo mimi ni mtanzania lakini wakenya wametuacha mbili kiuchumi.


Hapa siyo TZ vs Kenya, siyo dhumuni la mada, ukitaka mipasho ya Kenya vs TZ iko mingi unaweza jiunga huko!
 
That socialism perception you're having is the one that is wrongly depicted by mainstream capitalistic medias.
Everybody has to work in socialism, not relying on someone else working. Its pros outweigh the cons, specifically serikalini.
 
naona Eq. Guinea, Botswana and Gabon.... wao wanajitahidi.
 
East Africa ina KAZI SANA. Maana hamna hata aliyeko zaidi ya 5,000.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…