Poorest countries in the World!

Poorest countries in the World!

Lkn ukiangalia hakuna tofuati kubwa kihivyo kati TZ na Kenya, ukiangalia hizo takwimu, wote sisi ni nchi masikini tena sana tu, hivyo tushirikiane kutoka hapa badala ya kuleta Picha za estate za foreigners ambazo hata hatuzimiliki!

Duuu KAMA ni hivyo basi NCHI ZETU zinahitaji jitihada za ZIADA. YAANI HAMNA ALIYEFIKA PER CAPITA YA 10,000. Kasoro Botswana, Namibia. Sub Sahara Africa ndo shida, hakuna ALIYEFIKA 5,000. Kazi kubwa ipo mbele YETU.
 
Mimi kinachoniudhi na kunikera ni watu Wakenya kutwa nzima kuiita TZ yetu nchi masikini, wakati hata Kenya yenyewe ni nchi masikini pia, tena sana tu, ukiwasikia wakiongea utasema labda Kenya ina 10 000 USD kumbe wametuzidi kwa USD 260 tu, lkn ajabu wanafikiri wana haki ya kuiita Tanzania yetu masikini na yao ni tajiri!
 
Huwezi kulinganisha Kenya na USA, USA ni wealthy country kwa vipimo vyote na Kenya siyo wealthy country bali ni poor country kama TZ tu, hivyo hata hao masikini ambao unawaita ni masikini USA ukiwaleta Kenya wanakuwa ni upper class.

Hivyo kutumia mfano wa USA kuelezea Kenya, siyo sahihi kwani USA iko level nyingine kabisa.
Mimi naongea kuhusu systems sio countries. Capitalistic system, socialistic system na hybrid system iliyochanganya zote mbili. Sina haja ya kucompare Kenya na U.S.A. Ninacompare Capitalistic na socialistic sysytems huku nikitoa advantage na disadvantage ya hizo systems
 
Umeeleza vizuri tangu ile post yako ya awali. Kwa UPANDE wetu sisi Afrika mfumo bora kwetu ni ule unaofuatwa na China. China ilikaa SANA kwenye socialism, ambayo ilisaidia SANA kuwa IMARA kisiasa. Lkn ilipoboresha MFUMO wake wa socialism na kuongeza vionjo vya free market economy. Hivyo mfumo wao wa UCHUMI unaitwa socialistic market economy. Ni ujamaa lkn wenye vionjo vya soko huria. Mfumo huu nahisi ni bora sana kwa NCHI ZETU.
 
Nakubaliana na wewe kabisa infact hivyo ndivyo nilivyoelezea hapo awali. Uko sahihi.
 
Mimi kinachoniudhi na kunikera ni watu Wakenya kutwa nzima kuiita TZ yetu nchi masikini, wakati hata Kenya yenyewe ni nchi masikini pia, tena sana tu, ukiwasikia wakiongea utasema labda Kenya ina 10 000 USD kumbe wametuzidi kwa USD 260 tu, lkn ajabu wanafikiri wana haki ya kuiita Tanzania yetu masikini na yao ni tajiri!

Kwenye Uzi huu nadhani mtazamo wangu utabadirika SANA na mijadara ya hapa. Kiufupi kwenye region hakuna economic giant. Wote tuna struggle.
Duuu SIJUI tutafikia waliko wenzetu wa Botswana na Namibia siku moja!!!? Hata tukifika waliko Angola inatosha!!!
 
Lakini sisi mkuu wetu anasema ameleta viwanda, lakini Bujibuji havioni.
Mkuu anasema ametengeneza nafasi za ajira, lakini Bujibuji haoni watu wakiajiriwa.
Mkuu anasema ameboresha mazingira ya kufanyia biashara, lakini Bujibuji anaona biashara zinafungwa, Na wafanyabiashara wa mipakani wanahanishia biashara zao nje ya nchi.
Mkuu anasema sarafu yetu imeimarika, Bujibuji anaona USD 1 ikiuza kwa 2300/-
Mkuu anasema ameboresha maisha, Bujibuji anaona Watanzania wakilia hali kuwa ngumu zaidi, hadi misemo ya kukuza Na kukazwa imeibuka
Na hii ndio cancer ya bongo zenu ' ni nchi gani mtu mmoja ndio anazalisha mali na kuwafanya wananchi wote wawe tajiri? Usipojipigania mwenyewe lazima ufe hakuna mtu wa kukuwekea pesa mfukoni na kila siku JPM anasema asiefanya kazi afe

Kaa hapo ukitegemea mwanaume mwenzio akutajirishe wakati umezungukwa na fursa kila kona
 
Ni ujinga kushabikia sera mbovu za kukuza uchumi, mazingira yasiyo rafiki ya kibiashara, kodi zisizo kubwa Na kichwa Wala miguu kisa tu wewe ni shabiki wa CCM.
Mbaya zaidi huna elements za biashara ndani yako.
Tuache wafanyabiashara Na wachumi tuongee, nyie wanakwaya wa TOT subirini kuimba kwenye mbio za mwenge
 
Hizo real estates zinamilikiwa na Wakenya ni chache tu ndio zinamilikiwa na foreigners. Tatizo ni kuwa percentage ya mabwenyenye Kenya ni ndogo sana na percentage ya masikini iko juu. Shida ni capitalistic system ambapo gap kati ya matajiri na masikini itazidi kupanuka. Infact huko U.S.A, gap kati ya matajiri na masikini imepanuka zaidi hata kushinda Kenya. Huko U.S.A one percent of the Americans (Akina Bill Gates and Warren Buffet na wengine) wanamiliki zaidi ya asilimia tisini ya mali ya kibinafsi (yaani private wealth.) Kwa hivyo tatizo ni system ya uchumi wa capitalism. Socialism inaweza suluhisha baadhi ya haya matatizo. Lakini tatizo ni kwamba socialism inafanya watu kuwa lazy kwa sababu hakuna mtu anataka kulima shamba la jamii halafu jirani yako aje kuvuna mazao eti kwa sababu shamba linamilikiwa na jamii. Kwa hivyo capitalism ni mbaya lakini socialism is not the solution, tutafute system nyingine tofauti kabisa wa uchumi. Best system ingekuwa ni kuchukuwa wealth redistribution ya socialism na kuchanganya na private ownership ya capitalism kama vile some scandinavian countries zimefanya. Education and health ni free huko lakini pia watu wanaweza miliki nyumba na mashamba. Lakini inawabidi walipe tax ya zaidi ya 60% ili kuweza kuprovide free social services kama health and education. Kwa hivyo kila system ina advantage na disadvantage yake, inategemea ni gani wananchi wamechagua.
Hata kwenye map tupo pamoja
Poorest-countries-in-the-world-ranking-map.jpg
 
Ni ujinga kushabikia sera mbovu za kukuza uchumi, mazingira yasiyo rafiki ya kibiashara, kodi zisizo kubwa Na kichwa Wala miguu kisa tu wewe ni shabiki wa CCM.
Mbaya zaidi huna elements za biashara ndani yako.
Tuache wafanyabiashara Na wachumi tuongee, nyie wanakwaya wa TOT subirini kuimba kwenye mbio za mwenge
Tanzania zaidi ya %65 ni wa kulima na wafugaji na JPM alivyoingia tu madarakani akaanza na kufuta kodi kwa shughuli zinazowagusa wananchi wa kawaida na wengi zaidi.

SERIKALI YAFUTA TOZO ZAIDI YA 80,ADA 139 KATIKA MAZAO YA KILIMO | Magazeti ya leo| Tanzania News |Tanzania Today

Ni kodi zipi unazoingelea wewe?
 
Ni ujinga kushabikia sera mbovu za kukuza uchumi, mazingira yasiyo rafiki ya kibiashara, kodi zisizo kubwa Na kichwa Wala miguu kisa tu wewe ni shabiki wa CCM.
Mbaya zaidi huna elements za biashara ndani yako.
Tuache wafanyabiashara Na wachumi tuongee, nyie wanakwaya wa TOT subirini kuimba kwenye mbio za mwenge
Kabla ya JPM ni lini tulishika hii number? Ongea kwa fact sababu nitakudhalilisha hapa sinaga mipasho kama bawacha mimi

Tanzania yapaa kiuchumi, yaingia tano bora Afrika - Bongo5.com
 
Ni ujinga kushabikia sera mbovu za kukuza uchumi, mazingira yasiyo rafiki ya kibiashara, kodi zisizo kubwa Na kichwa Wala miguu kisa tu wewe ni shabiki wa CCM.
Mbaya zaidi huna elements za biashara ndani yako.
Tuache wafanyabiashara Na wachumi tuongee, nyie wanakwaya wa TOT subirini kuimba kwenye mbio za mwenge
Mazingira yapi yasiyo mazuri na kwa biashara zipi..? Biashara za kitapeli pale bandarini hazipo wala za ukwepaji kodi

Biashara za utakatishaji pesa chafu za madawa ya kulevya na nyara za Taifa hazipo

Kwa taarifa yako tu sasa Tanzania is the best in Africa in attracting more investments and has the favorable environment for investors

Tanzania Ranked Highly in Investment Report
 
Ahaaa haaa haaa
Aksante kwa fact and figures from credible authority.
 
Mazingira yapi yasiyo mazuri na kwa biashara zipi..? Biashara za kitapeli pale bandarini hazipo wala za ukwepaji kodi

Biashara za utakatishaji pesa chafu za madawa ya kulevya na nyara za Taifa hazipo

Kwa taarifa yako tu sasa Tanzania is the best in Africa in attracting more investments and has the favorable environment for investors

Tanzania Ranked Highly in Investment Report

Huyo jamaa ni mpiga dili!
 
Labda ningesema inflation. Hivi kushuka kwa thamani ya pesa kiuchumi inamaanisha nini? Mimi sio mchumi ila ninataka mchumi anijibu. Hata hivyo mimi ni mtanzania lakini wakenya wametuacha mbili kiuchumi.
 
Hapa siyo TZ vs Kenya, siyo dhumuni la mada, ukitaka mipasho ya Kenya vs TZ iko mingi unaweza jiunga huko!
 
Hizo real estates zinamilikiwa na Wakenya ni chache tu ndio zinamilikiwa na foreigners. Tatizo ni kuwa percentage ya mabwenyenye Kenya ni ndogo sana na percentage ya masikini iko juu. Shida ni capitalistic system ambapo gap kati ya matajiri na masikini itazidi kupanuka. Infact huko U.S.A, gap kati ya matajiri na masikini imepanuka zaidi hata kushinda Kenya. Huko U.S.A one percent of the Americans (Akina Bill Gates and Warren Buffet na wengine) wanamiliki zaidi ya asilimia tisini ya mali ya kibinafsi (yaani private wealth.) Kwa hivyo tatizo ni system ya uchumi wa capitalism. Socialism inaweza suluhisha baadhi ya haya matatizo. Lakini tatizo ni kwamba socialism inafanya watu kuwa lazy kwa sababu hakuna mtu anataka kulima shamba la jamii halafu jirani yako aje kuvuna mazao eti kwa sababu shamba linamilikiwa na jamii. Kwa hivyo capitalism ni mbaya lakini socialism is not the solution, tutafute system nyingine tofauti kabisa wa uchumi. Best system ingekuwa ni kuchukuwa wealth redistribution ya socialism na kuchanganya na private ownership ya capitalism kama vile some scandinavian countries zimefanya. Education and health ni free huko lakini pia watu wanaweza miliki nyumba na mashamba. Lakini inawabidi walipe tax ya zaidi ya 60% ili kuweza kuprovide free social services kama health and education. Kwa hivyo kila system ina advantage na disadvantage yake, inategemea ni gani wananchi wamechagua.
That socialism perception you're having is the one that is wrongly depicted by mainstream capitalistic medias.
Everybody has to work in socialism, not relying on someone else working. Its pros outweigh the cons, specifically serikalini.
 
naona Eq. Guinea, Botswana and Gabon.... wao wanajitahidi.
 
East Africa ina KAZI SANA. Maana hamna hata aliyeko zaidi ya 5,000.
 
Back
Top Bottom