Poorest countries in the World!

Kwahiyo tujifariji Kenya kutuzidi nafasi 4 tu!!!?[emoji23]
Dah! Umaskini wa fikra ni umaskini mbaya kuliko aina zote
 
Kwahiyo tujifariji Kenya kutuzidi nafasi 4 tu!!!?[emoji23]
Dah! Umaskini wa fikra ni umaskini mbaya kuliko aina zote


Ni wapi nimesema tujifariji?
 
Nadhani wadau mmeelewa NAFASI YA AFRIKA MASHARIKI KWENYE UCHUMI WA DUNIA.
 

Mkuu hizi ni pesa za siku moja, wiki moja, mwezi mmoja. Hakuna tofauti kubwa.
 
Siyo TZ vs Kenya, hili siyo lengo la Mada yangu kwanza ni kinyume chake, ukiangalia ni tofauti ya USD 270 tu, hivyo sisi wote (TZ na Kenya) bado ni nchi masikini sana!

Ni aibu sana kwa liinchi lote hilo lenye kila aina ya raslimali kujivunia eti kila mwananchi wake ameachwa nyuma na Mkenya kwa dola 270 (Tshs 594,000), fahamu mpo hapo mlipo kwa ajili ujamaa uliwalemaza kiakili mkaishia kuwa mivivu balaa. Nchi yenu hiyo (kwanza ni muungano wa mataifa mawili) mlifaa kuwa mnachezea kwenye ligi ya juu tena kwa kuiacha Kenya mbali (kainchi ketu kadogo halafu nusu yake kame tupu).

Ukubwa wa 945,000 km za mraba, hapo inabidi uunganishe Kenya, Uganda na Rwanda ndio ulinganishe na ukubwa wa Tanzania, halafu ardhi yote yenye rotuba, hamna ukame wowote.
Nchi yenu haijawahi kupata majanga makubwa kama matetemeko ya ardhi, magonjwa ya mlipuko kama ebola, mafuriko na vimbunga au ukame.
Kwa miaka yote tangu uhuru haijawahi kupigana vita vya wenyewe kwa wenyewe.
Eneo la bahari lenye ukubwa wa 1,424 km

Mataifa kama Uganda, Rwanda, Burundi, Zambia, Malawi, D. R. Congo yanategemea bandari yenu
Ziwa Victoria ambalo ni la tatu kwa ukubwa duniani na la kwanza Afrika, mumechukua sehemu kubwa
maziwa mengine makubwa kama Tanganyika na Nyasa na mengine madogo madogo
Mito ndio usitaje, yamejaa kotekote
Nchi yenu ndio ya nne kwa uzalishaji dhahabu Afrika
Migodi ya almasi lukuki
Tanzanite ipo kwenu tu
Orodha ya madini ni ndefu chuma, makaa ya mawe, madini ya Uranium, madini mengi ya graphite, madini ya nickel, madini ya niobium
Nchi ya tatu duniani kwa kuwa na hifadhi kubwa ya magadi soda duniani
Nchi ya kwanza Afrika na ya pili duniani kwa kuwa na vivutio vingi vya utalii
Mna gesi ya asili ya Carbon Dioxide (CO2)

Yaani bora niishie hapo maana orodha ni ndefu mno hadi inalewesha, kuna mengi sijayataja

Lakini la kushangaza mpo bado mnatajwa kama LDC, maskini wa kutupwa, omba omba wenu wamejaa Kenya, nchi yenu pekee ndio Afrika yenye raia wake wanavuka mpaka kwenda kuwa omba omba. Uvivu uliopitliza, ni aibu sana mkifungua nyuzi kama hizi za kujifariji.
 


Unarudi kule kule kama wenzako, hii Mada haihusu TZ vs Kenya, zipo nyingi na kutohsa kuhusu huo ujinga unaweza kujiunga huko na kubishania umaskini, bali ina lengo la kufungua watu macho na kuona jinsi tulivyokuwa nyuma kama Waafrika, sasa mambo ya TZ sijui ni kubwa hayana nafasi siyo lengo la hii Mada!
 

Nipo hapo ulipo na bila shaka nina uhakika umeipata sindano yangu full dose.
 

Mimi ni Mtanzania, lakini nakubaliana na wewe, Tanzania bado hatujui kutumia rasilimali zetu.

Tuna kila kitu bandari, bahati nzuri, mito, Madini, ardhi, watu, lakini uwezo wetu wa kufikiri na kutumia hizi resources zetu bado ni mdogo sana.

Tungekuwa vizuri tungekuwa among top 10 in the world.

.
 
Hizi takwimu huwa sizielewi kabisa
mie nikienda Kenya huwa naona umasikini wakupindukia level moja na DRC
Naposema umasikini namaanisha umasikini kweli
Nimepitia vijiji Kenya watu wana umasikini wakutupwa
Lkn ukiangalia hakuna tofuati kubwa kihivyo kati TZ na Kenya, ukiangalia hizo takwimu, wote sisi ni nchi masikini tena sana tu, hivyo tushirikiane kutoka hapa badala ya kuleta Picha za estate za foreigners ambazo hata hatuzimiliki!
Wewe mtanzania wacha kudanganya wenzako!! propaganda ya CCM, eti estate ya foreigners!!! tembea Kenya ama ishi Kenya ujionee mwenyewe! Estates are lived in by Kenyans., better build and organized across the country where kuna modern estates., tembea Eldoret in estates, Kisumu, Nakuru, Kitale, Nanyuki Mombasa, Nairobi, Thika, Kiambu, Machakos county na kadhalika., what yiu dont have, then fanya utafiti.., stop consoling yourself and CCM failures with Kenya.
 


Sawa lkn bado ni moja kati ya nchi masikini sana Duniani kama TZ tu, sasa hizo estate zinasaidia nini?
 
 

Brother here we are discussing issues holistically, not in isolated incidences. Do you know that in sub Sahara Africa, only 5 countries have the pci greater than 5,000/=. So please stop giving here lame and fake excuses that Kenya has no resources.
 
Sawa lkn bado ni moja kati ya nchi masikini sana Duniani kama TZ tu, sasa hizo estate zinasaidia nini?
Sawa lkn bado ni moja kati ya nchi masikini sana Duniani kama TZ tu, sasa hizo estate zinasaidia nini?
Those information about countries lack sufficient facts I tell you. You can not even tell me that 90% ya Dar ni slum!!!., that's not true. I thought Philipines is very poor based on what I read in the net na BBC n other sources, pathetic slums, poverty worse than Africa!! but ukienda uko ujionee!! tembea hadi mashambani in Philipines., miji zao, ndio kuna masikini lakini maendeleo na hali ya wengi ni poa kushinda vile reports zinasema na vile internet inaonhyesha. I thought Kenya tuko sawa kuwashinda kulingana na vile ilikua nimeona kwa reports n media. Kaka tembea na uishi Kati ya jamii tofauti za Kenya., what you are stating about Kenya ati majority is not true, hio na kuakikishia.
 


Sielewi unachomaanisha, ni kwamba unapinga hizo takwimu au ni vipi? Kwamba Kenya imekuwa unfairly treated kwenye hizo takwimu?
Isitoshe lengo langu halikuwa Kenya bashing la hasha, bali kuonyesha hali halisi ya sisi kama Waafrika na jinsi gani tulivyokuwa bado tuko nyuma kiuchumi kulinganisha na wengine, sasa kukataa hilo halitatusaidia!
 
I don't just take in reports, hadi nidhibitishe., kuna many factors that influence results ya utafiti; kuna politics, biased or insufficient facts, erroneous or wrong sampling, na kadhalika. Kile unachosema kuhusu wingi wa hali ya maisha ama umaskini Kenya na kupinga, ndio kuna umasikini lakini sio vile unasema ama kudhania. Watanzania wengi wako na picha isiyo sahihi kuhusu Kenya, wengine wanafikiri waKenya wanawachukia, wala si ukweli, ni propaganda ya wanasiasa wenyu.
Nakubaliana na wewe sub Saharan Africa has a long way to go, lakini what is happening in Ethiopia, Kenya, Tz na Rwanda in east Africa in terms of developmental projects, tuko kwenye right track. If we can implement robo tatu ya hizo projects., East Africa will lead Africa.
 

Brother think again. Tuko right truck wakati HATA 5,000 hatujafika. One wenzetu wa Botswana, Namibia na hata Angola wako average 15k.
 
Brother here we are discussing issues holistically, not in isolated incidences. Do you know that in sub Sahara Africa, only 5 countries have the pci greater than 5,000/=. So please stop giving here lame and fake excuses that Kenya has no resources.

I was only bursting your bubbles, and making you be aware we could see right through your pity consolations herein.
 
Brother think again. Tuko right truck wakati HATA 5,000 hatujafika. One wenzetu wa Botswana, Namibia na hata Angola wako average 15k.
We are making progress, kwa upanfe wako ni nini unacho ona kinaweza kuzuiya Tanzania kubadilika? sion jambo gumu, bora miundo mbinu iwekwe sawa nchi haina budi wala kupaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…