Poorest countries in the World!

Poorest countries in the World!

I was only bursting your bubbles, and making you be aware we could see right through your pity consolations herein.

For that note mimi nina mtazamo tofauti kabisa kwenye jukwaa hili. HAMNA economic giant in this region. Wote tuko below 5k. Wakati kina Botswana Namibia na hata Angola wako na average 15k. Very sad.
 
We are making progress, kwa upanfe wako ni nini unacho ona kinaweza kuzuiya Tanzania kubadilika? sion jambo gumu, bora miundo mbinu iwekwe sawa nchi haina budi wala kupaa.

We tried at our level best halafu unakuwa below 5k. Very disappointing.
 
For that note mimi nina mtazamo tofauti kabisa kwenye jukwaa hili. HAMNA economic giant in this region. Wote tuko below 5k. Wakati kina Botswana Namibia na hata Angola wako na average 15k. Very sad.

Wewe hapo una kila sababu za kuhuzunika na kuhisi aibu maana hayo mataifa yote uliyotaja ambayo yamewaacha karibu mara tano yanategemea raslimali ambazo zipo kwenu kwa wingi. Tofauti na Kenya, hayo mataifa ni mineral based economies

- Botswana, Angola na Namibia ni top producers of diamond - ambayo mpo nayo ya kumwaga, Ghana ndio top producers of gold, hii pia kwenu mnaweza hata kuoga nayo.

Sisi Kenya, we are a service economy, yaani kujituma ndani ya haka kainchi ketu kadogo na nusu yake kame tupu, hivyo we are not doing badly though not there yet, but it's amazing how we have gotten this far.
 
Botswana ni matajiri kuliko China[emoji23][emoji23], wanaangalia vigezo vipi tafadhali kizingu sijui...
 
Botswana ni matajiri kuliko China[emoji23][emoji23], wanaangalia vigezo vipi tafadhali kizingu sijui...

Botswana ina watu chini ya milioni 2 tu wakati China ina watu zaidi ya Bilioni 1.3, isitoshe Botswana pamoja na Urusi ni nchi zinazoongoza Duniani kwa kutoa Almasi, hivyo ukichukuwa population yao ukagawa na exports za almasi unapata namba kubwa, isitoshe Wachina wamejaa Botswana lkn hkn Mbotswana anakwenda kuzamia China au hata hapa kwetu Bongo ushawahi kukutana na raia wa Botswana au Namibia anabangaiza?

Hapo hawaongelei ukubwa wa Uchumi bali kipato cha watu ktk nchi husika!
 
Botswana ina watu chini ya milioni 2 tu wakati China ina watu zaidi ya Bilioni 1.3, isitoshe Botswana pamoja na Urusi ni nchi zinazoongoza Duniani kwa kuzalisha Almasi, hivyo ukichukuwa population yao ukagawa na exports za almasi unapata namba kubwa, isitoshe Wachina wamejaa Botswana lkn hkn Mbotswana anakwenda kuzamia China au hata hapa kwetu Bongo ushawahi kukutana na raia wa Botswana au Namibia anabangaiza?

Hapo hawaongelei ukubwa wa Uchumi bali kipato cha watu ktk nchi husika!
Pumba tupu kalishie kuku
 
Wewe hapo una kila sababu za kuhuzunika na kuhisi aibu maana hayo mataifa yote uliyotaja ambayo yamewaacha karibu mara tano yanategemea raslimali ambazo zipo kwenu kwa wingi. Tofauti na Kenya, hayo mataifa ni mineral based economies

- Botswana, Angola na Namibia ni top producers of diamond - ambayo mpo nayo ya kumwaga, Ghana ndio top producers of gold, hii pia kwenu mnaweza hata kuoga nayo.

Sisi Kenya, we are a service economy, yaani kujituma ndani ya haka kainchi ketu kadogo na nusu yake kame tupu, hivyo we are not doing badly though not there yet, but it's amazing how we have gotten this far.

Una jaribu ku formulate excuses nyiingi, lkn zinagoma. Please note, our endowment abundance has nothing to do with your LCD. Maana badala ya kueleza why your pci is below 5k, unaanza kuorodhesha WHAT is Tanzania possessing. Brother the pci is below 5k. Hizo kelele hazisaidii. Raslimali mlizo nazo ni nyingi kuwafanya msiwe kwenye ldc.
 
Sijaelewa hii ranking ambayo Gabon na Botwsana zinaizidi China. Hicho kigezo sijakielewa kabisa
 
Sijaelewa hii ranking ambayo Gabon na Botwsana zinaizidi China. Hicho kigezo sijakielewa kabisa
nchi kuwa developed tunaangalia factor nyingi ila kubwa ni GDP igawanye na population.

chukua ya Gabon na Botswana zigawanye na population yao kisha uchukue ya China ugawanye na population yao.
 
Duuu KAMA ni hivyo basi NCHI ZETU zinahitaji jitihada za ZIADA. YAANI HAMNA ALIYEFIKA PER CAPITA YA 10,000. Kasoro Botswana, Namibia. Sub Sahara Africa ndo shida, hakuna ALIYEFIKA 5,000. Kazi kubwa ipo mbele YETU.
population tatizo hizo botswana na namibia idadi ya watu wake hawafiki hata 3M
 
Mimi kinachoniudhi na kunikera ni watu Wakenya kutwa nzima kuiita TZ yetu nchi masikini, wakati hata Kenya yenyewe ni nchi masikini pia, tena sana tu, ukiwasikia wakiongea utasema labda Kenya ina 10 000 USD kumbe wametuzidi kwa USD 260 tu, lkn ajabu wanafikiri wana haki ya kuiita Tanzania yetu masikini na yao ni tajiri!
sisi na kenya tupo kwenye nchi zenye uchumi wa kati
 
Huenda jinsi pesa yao ilivyo na thamani kushinda yetu na uchumi tupo nyuma kiasi hicho. Simple maths, we are 20 steps behind kenya
Ingekuwa thamani ya pesa ndio kipimo cha utajiri wa nchi basi Kuwait ingekua namba 1 duniani. Dinari ya nchi hio inasomeka zaidi ya 4000 kwenye exchange na pesa ya madafu. Yen moja ya Japan kwa exchange ya shilingi haifiki 200. Yuan ya China haifiki 500 ya madafu. Utachekesha ukisema hizo nchi ni masikini.
 
Unalinganisha vitu vinavyofanana mf East Africa Tz Kenya na Uganda ni kipimo cha shilingi. Kenya Tz then Uganda na kiuchumi ni hivyo. Yen kwacha ni vingine. Japo wanaangalia income per capita
 
Una jaribu ku formulate excuses nyiingi, lkn zinagoma. Please note, our endowment abundance has nothing to do with your LCD. Maana badala ya kueleza why your pci is below 5k, unaanza kuorodhesha WHAT is Tanzania possessing. Brother the pci is below 5k. Hizo kelele hazisaidii. Raslimali mlizo nazo ni nyingi kuwafanya msiwe kwenye ldc.
Naomba kukuweka sawa. Kulingana na world bank, kigezo cha kuwa middle income ni kwamba nchi lazima ifikishe $1,250 gdp per capita. Ila sisi tulishafikisha hiyo 2013. Tanzania sasa hivi mko around $1,100, kwa hivyo next year au 2020 ndio mtafikisha $1,250 ili muwe middle income. Kwa hivyo kazi bado kwenu ipo. Mambo ya $5,000 haijalishi kwa sababu si lazima nchi iwe na gdp per capita ya $5,000 ndio iwe middle income. Sisi sote tutafika $5,000 polepole pengine miaka ishirini ijayo. Kwa sasa Kenya tuko around $1,600 na tunazidi kusonga mbele.
 
Duuu lkn pamoja na hayo. Bado region ina struggle. Hata Tanzania ina zaidi ya 2.5k mbona bado iko ldc. Anyways the region need to do more.
 
Mimi ni Mtanzania, lakini nakubaliana na wewe, Tanzania bado hatujui kutumia rasilimali zetu.

Tuna kila kitu bandari, bahati nzuri, mito, Madini, ardhi, watu, lakini uwezo wetu wa kufikiri na kutumia hizi resources zetu bado ni mdogo sana.

Tungekuwa vizuri tungekuwa among top 10 in the world.

.
eti chini ya magufuli tupo kwenye right truck,huwa unasoma hata hali ya uchumi wa tanzania kwa sasa kweli au unaongea kufurahisha
 
Back
Top Bottom