TECNO Tanzania
Senior Member
- Jul 6, 2016
- 192
- 217
Simu mpya toleo la POP 7 imeweka rekodi ya mauzo baada ya kuuzika simu zaidi ya 5000 ndani ya muda wa mwezi mmoja kwanzia ilivyo ingia sokoni. Hii inaonesha jinsi gani mapokezi ya toleo hili la POP 7 yamekuwa ya kishindo kikubwa. Toleo la POP 7 limeundwa kwa ajili ya wapambanaji wote wanao amini katika Ubora.
Ambapo watu wengi wamevutiwa zaidi na uwezo wa simu hii hasa kwenye uhifadhi data, Muundo na muonekano wa nje ambapo tole hili linapatikana kwenye rangi tatu (Black, Light Blue na Light Purple), Ukubwa wa Battery lenye uwezo wa 5000mAh, Camera nzuri, Kioo kikubwa kinacho kuwezesha kuaangalia mahudhi mbali mbali, Ulinzi ulioboreshwa wa njia mbili na processor kubwa inayo leta utendaji mzuri wa simu bila ya kukwama kwama.
Toleo la POP 7 limekuwa liki uliziwa sana hasa mtaani, madukani na kwenye mitandao ya kijamii hii inaonesha kuwa toleo la POP 7 limekuja kivingine likiwaa limeboreshwa zaidi katika kila pande, ndo maana wapambanaji wote wanao amini katika ubora wame amua kuchagua simu hii kuwa chaguo leo bora
Mbali na kuwa na sifa nyingi za kumvutia mteja, Pindi ununuapo toleo la POP 7 utapata ofa ya 75GB za bure kutoka Airtel na pia utapatiwa Headphone papo kwa hapo.
Takwimu zinaonyesha zaidi ya simu 2000 zimeuzwa Dar es salaam pekee ikifatiwa na mikoa ya Arusha, Mwanza, Dodoma ikiwa jumla zaidi ya simu 3000 zimeuzwa kwenye mikoa hiyo.
Tembelea sasa maduka ya TECNO kujipatia simu yako.
Piga namba hii kwa mawasiliano zaidi 0744545254/0678035208.