kizaizai
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 5,651
- 6,966
Sio bongo fleva, tulikuwa tunaimba nyimbo za akina Da Brat na Salt n Pepa enzi hizo.Hajawahi kuimba Bongo fleva kwahiyo wala isikusumbue Mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio bongo fleva, tulikuwa tunaimba nyimbo za akina Da Brat na Salt n Pepa enzi hizo.Hajawahi kuimba Bongo fleva kwahiyo wala isikusumbue Mkuu.
Halafu utaenda kunawa bila Sabuni kisha unaanza kula na ukimaliza kula ndipo una nawa na sabuni...Unayapenga njiani, unayapangusa kwa mikono yote na bado ukikutana na watu unasalimiana nao kwa kushikana mikono. Na wakati wa kuagana mtashikana tena mikono na kuitikisa mara kadhaa kabla ya kila mmoja kuondoka.