Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hili swala la drug overdose linaniumizaga sana kichwa.Alaf jamaa alikuwa anamavazi ya ajabuajabu.sijui ndo wanaitwaga metrosexualUpdate; kafa sababu ya drug overdose, flu ni geresha tu sababu ya publicity
Unaukumbuka huu wimbo wake?
Watu wanakufa na mafua tu, wakati wengine huku yakikupata unayapenga njiani huku ukikimbia kuwahi mzigoni, wote binadamu ila tupo tofauti sana. R.I.P.
Kwa hiyo hiyo common haijafika huku bado, Mungu apishilie mbali hata hii mild pia itokomee.Hii inayotusumbua sisi ni common cold,yenyewe ni mild tu
Flu(influenza) is a more complicated viral diseases whose symptoms are severe ukilinganisha na common cold
Kwa hiyo hiyo common haijafika huku bado, Mungu apishilie mbali hata hii mild pia itokomee.
Bieber alitakiwa kuandika kwa kiswahili ndio tujue kama amemkandia au la.Kwenye huo ujumbe mi sioni alipomkandia. Kichwa cha habari na huo ujumbe WA Bieber Ni tofauti.
Kusema ukweli mimi ni mpenzi wa music lakini huyu jamaa sikuwahi mfahamu, labda nimesikia nyimbo zake lakini sijui kama ndio kaimba yeye.