Pop Superstar, Prince Rogers Nelson dies at 57

Pop Superstar, Prince Rogers Nelson dies at 57

RIP Prince
Baadhi ya nyimbo alizowatungia wasanii wengine....
  • Nothing compares 2 u - Sinead O'Connor
  • When you were mine - Cyndi Lauper
  • I feel for you - Chaka Khan
 
Update; kafa sababu ya drug overdose, flu ni geresha tu sababu ya publicity
 
Update; kafa sababu ya drug overdose, flu ni geresha tu sababu ya publicity
hili swala la drug overdose linaniumizaga sana kichwa.Alaf jamaa alikuwa anamavazi ya ajabuajabu.sijui ndo wanaitwaga metrosexual
 
Sometimes it snows in April
Sometimes I feel so bad, so bad
Sometimes I wish life was never ending,
and all good things, they say, never last

Prince (Prince Rogers Nelson)

*7 juni 1958 - † 21.Aril 2016
!​
 
Justin Bieber ametawala tena vichwa vya habari huko Marekani baada ya kutoa maneno yenye utata kuhusu marehemu Prince. Justin Bieber amenukuliwa kwenye ukarasa wake wa Instagram akidai kwamba Prince hakuwa mkali kivile na kuchafua hali ya hewa kwa mashabiki wa Prince ulimwinguni.

Screenshot_2016-04-23-01-52-28.png Screenshot_2016-04-23-01-52-28.png
Screenshot_2016-04-23-01-52-28.png
 
ndo hasara za kuwa maarufu na tajiri katika umri mdogo, unaona wakubwa si kitu kwako.[emoji87] [emoji87]
 
Prince alikuwa na ngoma yake inaitwa When Doves Cry.
Baadae Gunewine akaicopy huu wimbo najua Msukuma wa Mbezi Juu anaupenda pia.
Nakutakia mapumziko mema ya mwisho wa juma Nyani Ngabu
 
Watu wanakufa na mafua tu, wakati wengine huku yakikupata unayapenga njiani huku ukikimbia kuwahi mzigoni, wote binadamu ila tupo tofauti sana. R.I.P.

Hii inayotusumbua sisi ni common cold,yenyewe ni mild tu

Flu(influenza) is a more complicated viral diseases whose symptoms are severe ukilinganisha na common cold
 
Hii inayotusumbua sisi ni common cold,yenyewe ni mild tu

Flu(influenza) is a more complicated viral diseases whose symptoms are severe ukilinganisha na common cold
Kwa hiyo hiyo common haijafika huku bado, Mungu apishilie mbali hata hii mild pia itokomee.
 
Kwa hiyo hiyo common haijafika huku bado, Mungu apishilie mbali hata hii mild pia itokomee.

Mafua tunayougua sisi kila mara tunakunywa coldril au piriton ndio hiyo common cold ambayo sio rahisi kuua mtu otherwise awe na shida nyingine nyingine

Ila hiyo flue ndio yenye matatizo.Kumbuka mfano wa swine flu ilivyotutingisha

RIP msanii
 
Kwenye huo ujumbe mi sioni alipomkandia. Kichwa cha habari na huo ujumbe WA Bieber Ni tofauti.
Bieber alitakiwa kuandika kwa kiswahili ndio tujue kama amemkandia au la.
 
Kusema ukweli mimi ni mpenzi wa music lakini huyu jamaa sikuwahi mfahamu, labda nimesikia nyimbo zake lakini sijui kama ndio kaimba yeye.
 
Kusema ukweli mimi ni mpenzi wa music lakini huyu jamaa sikuwahi mfahamu, labda nimesikia nyimbo zake lakini sijui kama ndio kaimba yeye.

Hajawahi kuimba Bongo fleva kwahiyo wala isikusumbue Mkuu.
 
Back
Top Bottom