Pop Superstar, Prince Rogers Nelson dies at 57

Imeripotiwa kuwa Prince alikua na AIDS miezi sita kabla ya kifo chake, alipata HIV miaka ya 90. Flu ya majuzi ili damage afya yake ZAIDIkwakua kinga yake ilishuka sana. Alikataa matibabu ya ukimwi akidi atapona kwa kusali tu. RIP.
 
Unayapenga njiani, unayapangusa kwa mikono yote na bado ukikutana na watu unasalimiana nao kwa kushikana mikono. Na wakati wa kuagana mtashikana tena mikono na kuitikisa mara kadhaa kabla ya kila mmoja kuondoka.
Halafu utaenda kunawa bila Sabuni kisha unaanza kula na ukimaliza kula ndipo una nawa na sabuni...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…