The Dictator
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 4,475
- 12,281
Mwenyezi Mungu amjaalie nafuu ya mapema na hatimae uponyaji wa changamoto hiyo ya kiafya, Amen 🙏View attachment 3690224
Vatican imethibitisha rasmi kuwa Papa Leo XIV amegunduliwa kuwa na saratani ya pafu (lung cancer) kufuatia upasuaji uliofanyika Jumanne, Oktoba 13, 2026.
Wakati wa upasuaji huo, madaktari walifanikiwa kuondoa sehemu ya chini ya pafu lake la kulia (lower lobe) baada ya vipimo kudhibitisha uwepo wa uvimbe wenye seli za saratani.
Taarifa kutoka Vatican ilieleza kuwa upasuaji ulifanyika kwa mafanikio makubwa bila kuwa na matatizo yoyote.
::- Siku chache zilizopita, Papa Leo alitangaza kwa waumini kuwa alikutwa na uvimbe mdogo kwenye pafu lake wakati wa uchunguzi wa kawaida wa afya, jambo lililopelekea kupangwa kwa upasuaji huo wa kuondoa uvimbe huo.
Mambo mengine ni genetic ya mtu tu haina ulazima iwe na uhusiano na mambo ya vyakula au environmental factorsHongera kwao wazungu kwa maendeleo makubwa ya matibabu.
Ingekuwa huku kwetu!!!
Hata hivyo sijui makadinali pale Vatican sana kula nini, ni wachache sana ambao hawaumwi!
Umenikumbusha filamu ya the Godfather, hua wanakuaga na vita kubwa sana hawa watu, vita ya ndani na vita ya nje zote kwa pamoja.Vatican imethibitisha rasmi kuwa Papa Leo XIV amegunduliwa kuwa na saratani ya pafu (lung cancer) kufuatia upasuaji uliofanyika Jumanne, Oktoba 13, 2026.
Umri umeenda, lazima waumwe. Hiyo ni kawaida.Hongera kwao wazungu kwa maendeleo makubwa ya matibabu.
Ingekuwa huku kwetu!!!
Hata hivyo sijui makadinali pale Vatican sana kula nini, ni wachache sana ambao hawaumwi!
Hayo mambo ya kuombea uvimbe uyeyuke ni huku nchi maskini ambapo watu hawamudu pesa za matibabu na pia hawajaelimika,watu wangekuwa wanamudu matibabu,hakuna mtu angeenda kuombewa uvimbe uyeyuke.Huyu ni mkuu wa kanisa, hajaombewa uvimbe uyeyuke, wameitwa madaktari, wakachunguza. Sasa wewe unayedhani ni kondoo kuliko Papa ukipata uvimbe nenda kakemewe ili uvimbe uyeyuke.
Mkuu, kuna watu wapo brain washed uwezo wa kutibu malaria anao ila analeta mchungaji aombee mpaka mtu anazidiwa ndo akili inamkaa sawa.Hayo mambo ya kuombea uvimbe uyeyuke ni huku nchi maskini ambapo watu hawamudu pesa za matibabu na pia hawajaelimika,watu wangekuwa wanamudu matibabu,hakuna mtu angeenda kuombewa uvimbe uyeyuke.
Anakuwa brainwashed kutokana na mazingira aliyopo/aliyokulia. Mtu anakua toka yuko mtoto anapewa stori za uchawi na kulogwa lazima aombewe hata kama ana malaria .Mkuu, kuna watu wapo brain washed uwezo wa kutibu malaria anao ila analeta mchungaji aombee mpaka mtu anazidiwa ndo akili inamkaa sawa.
Yes, ni moja ya sababu.Anakuwa brainwashed kutokana na mazingira aliyopo/aliyokulia. Mtu anakua toka yuko mtoto anapewa stori za uchawi na kulogwa lazima aombewe hata kama ana malaria .
Kuombe ni kwa waafrika tu mkuu.Huyu ni mkuu wa kanisa, hajaombewa uvimbe uyeyuke, wameitwa madaktari, wakachunguza. Sasa wewe unayedhani ni kondoo kuliko Papa ukipata uvimbe nenda kakemewe ili uvimbe uyeyuke.
Unadhani hakuna watu walioombewa magonjwa na wakapona kwa muujiza? Hivi juzi tu mamia ya watu nchi ya Pakistani wameponywa magonjwa katika mkutano wa Injili, kwa akili yako unadhani muislamu raia wa Pakistani anaweza kutunga uongo kuwa ameponywa ugonjwa na YesuHuyu ni mkuu wa kanisa, hajaombewa uvimbe uyeyuke, wameitwa madaktari, wakachunguza. Sasa wewe unayedhani ni kondoo kuliko Papa ukipata uvimbe nenda kakemewe ili uvimbe uyeyuke.
Papa hawezi kuwa kondoo😅 yeye ndio mchungaji wa hao kondoo mazuzu😅Huyu ni mkuu wa kanisa, hajaombewa uvimbe uyeyuke, wameitwa madaktari, wakachunguza. Sasa wewe unayedhani ni kondoo kuliko Papa ukipata uvimbe nenda kakemewe ili uvimbe uyeyuke.
Sisi ndo tuna imani zaidi siyo? Hahaha.Kuombe ni kwa waafrika tu mkuu.