Kwanini BAKWATA hawamiliki vyuo na hospital kubwa kama TEC/wakatoliki na KKKT?Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Leo, amelaani tabia ya baadhi ya viongozi wa dini kutumia mamlaka na ushawishi wao kwa waumini kuhalalisha migogoro na migawanyiko ndani ya mataifa yao.
Leo, ambaye ni Papa wa kwanza kutoka nchini Marekani, ameyasema hayo kupitia ujumbe wa kurasa nne uliotolewa kuelekea Maadhimisho ya Siku ya Amani Duniani ya Kanisa Katoliki, yanayolenga kusisitiza umuhimu wa kulinda, kuimarisha, na kudumisha amani katika jamii.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Desemba 18, 2025, Papa Leo amesema kumekuwa na baadhi ya viongozi wa dini wanaotumia kigezo cha sera za uzalendo, kama nyenzo ya kupandikiza chuki miongoni mwa waumini kitendo ambacho amekiita ni kufuru, au dhambi kubwa inayomdharau na kumtukana Mungu.
"Kwa bahati mbaya, imekuwa jambo la kawaida zaidi kuivuta lugha ya imani katika vita vya kisiasa, kubariki utaifa, na kuhalalisha vurugu na mapambano ya silaha kwa jina la dini," amesema Papa.
Amesema waumini lazima wajue kukanusha kikamilifu, mafundisho na maelekezo yote ya viongozi wa dini ambao wamekuwa na tabia hii, ili kuondoa uwezekano wa kutokea kwa migogoro ndani ya Taifa
===
Je Fr Kitima wa TEC anakwenda kinyume na mafundisho na miongozo ya Pope Leo XIV?
Anaye leta udini ni Samuya na kikundi chake cha mashehe ubwabwa.Mkuu bishana na Pope Leo XIV mimi ni messenger tu! Ukitaka link kutoka Vatican News nitaleta, ila iko kwa English language. Sijui kama utaelewa
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Leo, amelaani tabia ya baadhi ya viongozi wa dini kutumia mamlaka na ushawishi wao kwa waumini kuhalalisha migogoro na migawanyiko ndani ya mataifa yao.
Leo, ambaye ni Papa wa kwanza kutoka nchini Marekani, ameyasema hayo kupitia ujumbe wa kurasa nne uliotolewa kuelekea Maadhimisho ya Siku ya Amani Duniani ya Kanisa Katoliki, yanayolenga kusisitiza umuhimu wa kulinda, kuimarisha, na kudumisha amani katika jamii.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Desemba 18, 2025, Papa Leo amesema kumekuwa na baadhi ya viongozi wa dini wanaotumia kigezo cha sera za uzalendo, kama nyenzo ya kupandikiza chuki miongoni mwa waumini kitendo ambacho amekiita ni kufuru, au dhambi kubwa inayomdharau na kumtukana Mungu.
"Kwa bahati mbaya, imekuwa jambo la kawaida zaidi kuivuta lugha ya imani katika vita vya kisiasa, kubariki utaifa, na kuhalalisha vurugu na mapambano ya silaha kwa jina la dini," amesema Papa.
Amesema waumini lazima wajue kukanusha kikamilifu, mafundisho na maelekezo yote ya viongozi wa dini ambao wamekuwa na tabia hii, ili kuondoa uwezekano wa kutokea kwa migogoro ndani ya Taifa
===
Je Fr Kitima wa TEC anakwenda kinyume na mafundisho na miongozo ya Pope Leo XIV?
Tija ya taasisi ya dini ni kua na hospital kubwa na vyuo vikuu?Kwanini BAKWATA hawamiliki vyuo na hospital kubwa kama TEC/wakatoliki na KKKT?
Nini kifanye kuisaidia BAKWATA kuwa taasisi yenye tija kwa waislamu?
Kwanini serikali haiwapi BAKWATA bilioni 400 kila mwaka kama inavyowapa TEC?
Kwanini serikali ilikataa waislamu wasijiunge na OIC?
Lini serikali ya CCM itawaruhusu waislamu kuwa na mahakama ya kadhi?
Kwanini Mufti wa Zanzibar anateuliwa na Raisi wa Zanzibar wakati TEC, KKKT, Wasabato na Waanglikana wanajichagulia wenyewe viongozi wao?
Ndugu hizo ndio hoja za sisi waislamu........
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Leo, amelaani tabia ya baadhi ya viongozi wa dini kutumia mamlaka na ushawishi wao kwa waumini kuhalalisha migogoro na migawanyiko ndani ya mataifa yao.
Leo, ambaye ni Papa wa kwanza kutoka nchini Marekani, ameyasema hayo kupitia ujumbe wa kurasa nne uliotolewa kuelekea Maadhimisho ya Siku ya Amani Duniani ya Kanisa Katoliki, yanayolenga kusisitiza umuhimu wa kulinda, kuimarisha, na kudumisha amani katika jamii.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Desemba 18, 2025, Papa Leo amesema kumekuwa na baadhi ya viongozi wa dini wanaotumia kigezo cha sera za uzalendo, kama nyenzo ya kupandikiza chuki miongoni mwa waumini kitendo ambacho amekiita ni kufuru, au dhambi kubwa inayomdharau na kumtukana Mungu.
"Kwa bahati mbaya, imekuwa jambo la kawaida zaidi kuivuta lugha ya imani katika vita vya kisiasa, kubariki utaifa, na kuhalalisha vurugu na mapambano ya silaha kwa jina la dini," amesema Papa.
Amesema waumini lazima wajue kukanusha kikamilifu, mafundisho na maelekezo yote ya viongozi wa dini ambao wamekuwa na tabia hii, ili kuondoa uwezekano wa kutokea kwa migogoro ndani ya Taifa
===
Je Fr Kitima wa TEC anakwenda kinyume na mafundisho na miongozo ya Pope Leo XIV?
Kitima hajachochea chuki, aliongea ukweli na hiyo ndo kazi ya kanisa. Wale walosema watakata watu vichwa huo ujumbe wa papa uliwalenga waoKiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Leo, amelaani tabia ya baadhi ya viongozi wa dini kutumia mamlaka na ushawishi wao kwa waumini kuhalalisha migogoro na migawanyiko ndani ya mataifa yao.
Leo, ambaye ni Papa wa kwanza kutoka nchini Marekani, ameyasema hayo kupitia ujumbe wa kurasa nne uliotolewa kuelekea Maadhimisho ya Siku ya Amani Duniani ya Kanisa Katoliki, yanayolenga kusisitiza umuhimu wa kulinda, kuimarisha, na kudumisha amani katika jamii.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Desemba 18, 2025, Papa Leo amesema kumekuwa na baadhi ya viongozi wa dini wanaotumia kigezo cha sera za uzalendo, kama nyenzo ya kupandikiza chuki miongoni mwa waumini kitendo ambacho amekiita ni kufuru, au dhambi kubwa inayomdharau na kumtukana Mungu.
"Kwa bahati mbaya, imekuwa jambo la kawaida zaidi kuivuta lugha ya imani katika vita vya kisiasa, kubariki utaifa, na kuhalalisha vurugu na mapambano ya silaha kwa jina la dini," amesema Papa.
Amesema waumini lazima wajue kukanusha kikamilifu, mafundisho na maelekezo yote ya viongozi wa dini ambao wamekuwa na tabia hii, ili kuondoa uwezekano wa kutokea kwa migogoro ndani ya Taifa
===
Je Fr Kitima wa TEC anakwenda kinyume na mafundisho na miongozo ya Pope Leo XIV?
Saudi Arabia, Qatar,UAE wasingejenga hospital kubwa na vyuo vikuu wangejenga misikiti na madrasa tuu.Tija ya taasisi ya dini ni kua na hospital kubwa na vyuo vikuu?
Hizo ni nchi kuku wewe,una ubongo au mbegu za chungwa!?Saudi Arabia, Qatar,UAE wasingejenga hospital kubwa na vyuo vikuu wangejenga misikiti na madrasa tuu.
Je umesoma main text ya Nipashe nimebandika pale post #1?Loh, wewe kumbe ni mjinga wa kiwango cha ajabu! Kilichoandikwa ni yofauti kabisa na huu ujinga uliouweka hapa.
In summary, Pope amesisitiza sana kutotumia silaha ili kuitafuta Amani. Halafu wewe umekuja ni uwonho mtupu!! Inaonekana hujui kabisa English.
Papa amesisitiza sana utafuzi wa migogoro inayoharibu amani kwa njia ya mazungumzo badala ya silaha. Hii inaenda sawa kabisa na kile wanachokifanya TEC wakati wote. Sawa kabisa na kile alichokuwa amesisitiza Jaji Warioba. Lakini kwa ushetani wa watawala, hawakutaka mazungumzo, kwa sababu wana bunduki na mabomu, ndivyo wanavyotegemea vilinde amani ya nchi, hicho ndicho alichokikataa Papa Leo kwenye hotuba yake. Amesisitiza kuwa ugunduzi wa silaha kubwa na nzito, zinaxoleta maangamizi makubwa, kamwe hazitaleta silaha.
Mleta mada, tafuta darasa la lugha, angalao ufahamu hata kile kiingereza cha kunywea maji.
Havina tofauti vyote viwili. Jiulize huyo Fr Charles Kitima pamoja na PhD yake na usomi wake bado ni Padre miaka yote?Kitima hajachochea chuki, aliongea ukweli na hiyo ndo kazi ya kanisa. Wale walosema watakata watu vichwa huo ujumbe wa papa uliwalenga wao
Ni padre ndio, amenyooka kweli kweli, huwa hapindishi maneno, ndo maana mlitaka kumuuaHavina tofauti vyote viwili. Jiulize huyo Fr Charles Kitima pamoja na PhD yake na usomi wake bado ni Padre miaka yote?