Pope Leo XIV: Dini ziepuke kutumia imani kuhalalisha vurugu

Wewe ni mjinga unayeelekea kwenye upumba.vu!! Unaniambia nikaangalie Nipashe, kwani Papa Leo aliongea na Nipashe? Mimi naangalia source document,sio maandiko ya ninyi wajinga mnaoshindwa hata kufanya proper translation.
 
Elimu ni jambo la muhimu sana kosa vyote usikose elimu.
Kuishi na jamii yenye akili ndogo kama hivi inataka uvumilivu na utulivu sana.
 
Wanaukimbi.

Papa alaani viongozi wa dini kuchochea migogoro ya nchi

Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Leo, amelaani tabia ya baadhi ya viongozi wa dini kutumia mamlaka na ushawishi wao kwa waumini kuhalalisha migogoro na migawanyiko ndani ya mataifa yao.

Leo, ambaye ni Papa wa kwanza kutoka nchini Marekani, ameyasema hayo kupitia ujumbe wa kurasa nne uliotolewa kuelekea Maadhimisho ya Siku ya Amani Duniani ya Kanisa Katoliki, yanayolenga kusisitiza umuhimu wa kulinda, kuimarisha, na kudumisha amani katika jamii.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Desemba 18, 2025, Papa Leo amesema kumekuwa na baadhi ya viongozi wa dini wanaotumia kigezo cha sera za uzalendo, kama nyenzo ya kupandikiza chuki miongoni mwa waumini kitendo ambacho amekiita ni kufuru, au dhambi kubwa inayomdharau na kumtukana Mungu.

"Kwa bahati mbaya, imekuwa jambo la kawaida zaidi kuivuta lugha ya imani katika vita vya kisiasa, kubariki utaifa, na kuhalalisha vurugu na mapambano ya silaha kwa jina la dini," amesema Papa.

Amesema waumini lazima wajue kukanusha kikamilifu, mafundisho na maelekezo yote ya viongozi wa dini ambao wamekuwa na tabia hii, ili kuondoa uwezekano wa kutokea kwa migogoro ndani ya Taifa.
 
TEC NI PANYA ROAD wanahusika na huu ujumbe !
 
Tuliwambia hawa watu wamechanganyikiwa na wanaugua akili muwe mnaelewa!..

Tuliwaambia hawa wamelipwa kufanya haya mauzau muwe mnajipa muda kutuelewa! Kitu niko na uhakika nacho ni kuwa tuwe wavumilivu tutasikia mengi kukiko mnavyodhani!..

Yaaani mara mia majeshi ya nje yaje kutawala Tanzania! Kweli? Kwani Open Society hamuwezi kurudisha hela zao? Maana ni kama wamewabana mpaka mmekoa uwezo wa kufikiri tena 😁😁
 
Kadri muda unavyopita, kushindwa kwa ajenda kunazidi kuonekana. Kila siku ya amani huibua maswali mapya kuhusu makadirio mabaya na dhana potofu zilizotumiwa kutabiri machafuko ambayo hayakuwahi kutokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…