Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Wasalaam!!
Nichukue fursa hii kuwaasa wanajamii, wazazi, walezi na ndugu wenye mabinti vyuo vikuu (Degree), vya kati (Diploma) na vya chini (Certificates) lindeni mabinti zenu, jitoleeni kwa hali na mali na pia, wapeni usia na elimu ya maisha, ugumu wa maisha, na elimu ya kujitambua.
Hali ni mbaya sana watoto wa kike hawawezi kuruka milo au kupiga pasi ndefu hali ya mabinti wanaojitunza kitabia ni ngumu sana.
Kwa yeyote yule ukimuona binti ana tabia njema, mnunulie sukari, mchele, mafuta, mkaa, gesi, unga, maharagwe, dagaa, chumvi, kama anaishi ghetto, kama anakaa ghetto msapoti hata elfu2, elfu3, elfu5 kila siku utabarikiwa, pamoja na hayo ukifanya hivyo kumbuka wazazi, walezi, wajane, walemavu, yatima na wenye shida wote, hali si shwari ongeza maisha na baraka zako kwa kuwa daraja la watu wengine.
Wadiz na maudhui yafaayo jamii.