Popote mlipo wazazi, walezi, ndugu na jamii walindeni, saidieni mabinti wa vyuo

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Wasalaam!!

Nichukue fursa hii kuwaasa wanajamii, wazazi, walezi na ndugu wenye mabinti vyuo vikuu (Degree), vya kati (Diploma) na vya chini (Certificates) lindeni mabinti zenu, jitoleeni kwa hali na mali na pia, wapeni usia na elimu ya maisha, ugumu wa maisha, na elimu ya kujitambua.

Hali ni mbaya sana watoto wa kike hawawezi kuruka milo au kupiga pasi ndefu hali ya mabinti wanaojitunza kitabia ni ngumu sana.

Kwa yeyote yule ukimuona binti ana tabia njema, mnunulie sukari, mchele, mafuta, mkaa, gesi, unga, maharagwe, dagaa, chumvi, kama anaishi ghetto, kama anakaa ghetto msapoti hata elfu2, elfu3, elfu5 kila siku utabarikiwa, pamoja na hayo ukifanya hivyo kumbuka wazazi, walezi, wajane, walemavu, yatima na wenye shida wote, hali si shwari ongeza maisha na baraka zako kwa kuwa daraja la watu wengine.

Wadiz na maudhui yafaayo jamii.
 
Wasalaam!!

Nichukue fursa hii kuwaaasa wanajamii, wazazi, walezi na ndugu wenye mabinti vyuo juu, vya kati na vya chini lindeni mabinti zenu, jitoleeni kwa hali na mali na pia, wapenzi usia na elimu ya maisha, ugumu wa maisha, na elimu ya kujitambua.

Hali ni mbaya sana watoto wa kike hawawezi kuruka milo au kupiga pasi ndefu hali ya mabinti wanaojitunza kitabia ni ngumu sana.

Kwa yeyote yule ukimuona binti ana tabia njema, mnunulie sukari, mchele, mafuta, mkaa, gesi, unga, maharagwe, dagaa, chumvi, kama anaishi ghetto, kama anakaa ghetto msapoti hata elfu2, elfu3, elfu5 kila siku utabarikiwa, pamoja na hayo ukifanya hivyo kumbuka wazazi, walezi, wajane, walemavu, yatima na wenye shida wote, hali si shwari ongeza maisha na baraka zako kwa kuwa daraja la watu wengine.

Wadiz na maudhui yafaayo jamii.

Wenye nchi wanasema "mama anaupiga mwingi." Nchi kaifikisha huku na bado anataka kodi zaidi bila aibu kwa walipa kodi wale wale.
 
mtoa maada umenigus sna ktk hili ukweli niliumia nilimtafuna kisa ananjaa japo niliomba msamah mwaka ulioisha lkn bado najutia mama katika hili aongeze pesa kuwalinda mabinti ,kwa mzazi mtot akilia pesa hasa wakike mpe.naomben sana sana
 
Wasalaam!!

Nichukue fursa hii kuwaaasa wanajamii, wazazi, walezi na ndugu wenye mabinti vyuo vikuu (Degree), vya kati (Diploma) na vya chini (Certificates) lindeni mabinti zenu, jitoleeni kwa hali na mali na pia, wapeni usia na elimu ya maisha, ugumu wa maisha, na elimu ya kujitambua.

Hali ni mbaya sana watoto wa kike hawawezi kuruka milo au kupiga pasi ndefu hali ya mabinti wanaojitunza kitabia ni ngumu sana.

Kwa yeyote yule ukimuona binti ana tabia njema, mnunulie sukari, mchele, mafuta, mkaa, gesi, unga, maharagwe, dagaa, chumvi, kama anaishi ghetto, kama anakaa ghetto msapoti hata elfu2, elfu3, elfu5 kila siku utabarikiwa, pamoja na hayo ukifanya hivyo kumbuka wazazi, walezi, wajane, walemavu, yatima na wenye shida wote, hali si shwari ongeza maisha na baraka zako kwa kuwa daraja la watu wengine.

Wadiz na maudhui yafaayo jamii.
Ukishamnunulia hivyo vyoote anakuona kama msaada kwake,,then ataanza hitaji aje kukujulia hari kwako,,heeeee after she has come,,maaaamaaaaa,,,
 
IMG_20221222_185343_889.jpg
 
Wakati tunasaidia pesa na vitu vingine tusisahau msaada mkubwa na jukumu letu la msingi. UWAJIBIKAJI.

NASAHA & MIONGOZO. Wengi wetu tumejisahau kabisa wajibu wetu na kuiachia dunia na dunia nayo imeamua kuvaa miwani ya Mbao na mikono ya Chuma, inawafunza kwa vitendo bila ganzi! It’s really sad.
 
Back
Top Bottom