Population Crisis: Kim akilia machozi kuwaomba Wanawake wa Korea Kaskazini kuzaa watoto ili kuongeza idadi ya watu

Population Crisis: Kim akilia machozi kuwaomba Wanawake wa Korea Kaskazini kuzaa watoto ili kuongeza idadi ya watu

Kuzaa sii shida ila wamama wa hilo Taifa wamechoka kushuhudia Watoto wao Wakiuwawa kwa makosa ya kipuuzi tu kama kukanyaga Mji mkuu bila kibali, kutopeleka Kinyesi chako kwa muda uliopangwa, Ukifanya kosa kama Kumkosoa Mfalme Kim basi adhabu yake ni kufungwa jela Ukoo mzima.

Kwa staili hiyo hakuna atakayekuwa radhi kuleta mtot duniani ili akumbane na kisanga cha hiyo nchi vingnevyo afungue mipaka Waafrica tulete ukombozi huko, tutafyatua watoto mpaka atatoa machozi ya furaha.
 
Moja ya sera ya kipuuzi kuzaa watoto wengi/hovyo hovyo hii sera inakaribisha umasikini na ujinga
 
Wale ambao wakifikika wanaanza maandamano huku wameficha nyuso sijui wanasapoti ujinga gani wa mauaji huko wapi sijui
Huyu jamaa na makombora yake sikujua naye anaweza kufikwa na huzuni mpaka abubujikwe machozi, akina mama pia nao wajiunga kwenye kulia machozi maana mkuu analia, hii ilikua baada ya kusoma taarifa jinsi uzao unapungua, mama hawazai tena kisa changamoto nyingi.

==================

Rais wa Korea Kaskazini Kim Jong Un amerekodiwa akilia wakati akiwaomba wanawake wa Korea Kaskazini kuzaa watoto zaidi, Wakati wa Kongamano la Tano la kitaifa la Wanawake lililofanyika mjini Pyongyang,nchini humo.

Ikumbukwe kuwa Idadi ya watoto wanaozaliwa nchini Korea Kaskazini inapungua kwa hivyo Rais Kim amewataka wanawake kuzaa watoto zaidi katika nia ya 'kuimarisha mamlaka ya kitaifa'.

Rais wa Korea Kaskazini Kim Jong UN false amewasihi wanawake katika nchi hiyo ya Asia Mashariki wazae watoto zaidi na kuwalea kama "wakomunisti," na kulia alipokuwa akitoa hotuba ya hisia mbele ya hadhira iliyojaa hisia.

View attachment 2834472
Ningekuwa rais ni Mimi badala ya kulialia kijinga ningeonesha mfano wa kuzaa watoto kama watano
Ningetoa motisha kwa watu wanaopata watoto kama huduma za jamii bure,
 
Back
Top Bottom