Population Crisis: Kim akilia machozi kuwaomba Wanawake wa Korea Kaskazini kuzaa watoto ili kuongeza idadi ya watu

Kuzaa sii shida ila wamama wa hilo Taifa wamechoka kushuhudia Watoto wao Wakiuwawa kwa makosa ya kipuuzi tu kama kukanyaga Mji mkuu bila kibali, kutopeleka Kinyesi chako kwa muda uliopangwa, Ukifanya kosa kama Kumkosoa Mfalme Kim basi adhabu yake ni kufungwa jela Ukoo mzima.

Kwa staili hiyo hakuna atakayekuwa radhi kuleta mtot duniani ili akumbane na kisanga cha hiyo nchi vingnevyo afungue mipaka Waafrica tulete ukombozi huko, tutafyatua watoto mpaka atatoa machozi ya furaha.
 
Moja ya sera ya kipuuzi kuzaa watoto wengi/hovyo hovyo hii sera inakaribisha umasikini na ujinga
 
Ningetoa motisha kwa watu wanaopata watoto kama huduma za jamii bure,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…