Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
Dubai mji unakuja kuendesha Bandari zote Tanzania.Inauma.
Bora wangepewa oman
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dubai mji unakuja kuendesha Bandari zote Tanzania.Inauma.
Mikataba yao ikoje?Hawa DP wamewekeza nchi 80 ina maana hizo nchi hazina wasomi? Mbona migodi wamewekeza wazungu haina kelele kama DP? Au hapa tatizo ni Sheikh au muwekezaji? Mbona Tiss hawakulaumiwa na ufanisi wao ulikua wa hovyo? Tunachotaka ni maendeleo haina haja ya kusema mwarabu au ni mzungu cha muhimu muwekezaji kafata makubaliano ya mikataba
Unapenda CCM unalalamika nini?Jamani hela tunazo, wasomi tunao. Tatizo ni nini? Na karne hii tuna uwezo kabisa wa kuangalia hizo Bandari kama Shangai, Singapore zimefanya nini hadi kuwa na ufanisi? Wachina, wasingapore wazungu wa Roterdam na Antwerp wamevanya fanya nini? Kulikuwa na Haja ya kumleta huyu katili Sheikh wa Dubai kuwekeza kwetu? Wale ni pesa tu.
Kwanza tujiulize, watalipa kodi ama? Wenye mkataba uwekeni basi hapa tuone.
Tatizo tumezoea kutawaliwa ndio maana. Maana na uhakika kampuni zitakazotengeneza bandari kwa hao DP sio waarabu wenyewe. Itakuwa ya watu wengine. Kwa dalili hizi ina maanza kila kitu tunaleta wawekezaji. Usishangae mpaka shule za msingi..!! HahahaJamani hela tunazo, wasomi tunao. Tatizo ni nini? Na karne hii tuna uwezo kabisa wa kuangalia hizo Bandari kama Shangai, Singapore zimefanya nini hadi kuwa na ufanisi? Wachina, wasingapore wazungu wa Roterdam na Antwerp wamevanya fanya nini? Kulikuwa na Haja ya kumleta huyu katili Sheikh wa Dubai kuwekeza kwetu? Wale ni pesa tu.
Kwanza tujiulize, watalipa kodi ama? Wenye mkataba uwekeni basi hapa tuone.
Shemeji yetu G haoni ndani kwa Mbossa? 🤣🤣Mwenye no ya Mr mbossa naiombaa, nna jambo nae mbna ni handsome sanaa??
Ni bora ya mwarabu kuliko mzungu, maana mzungu akiaanza kukutafuna mpaka una baki mifupa mitupu, angalia congo wanavyo itafuna nchi zao zinaendesha uchumi kwa rasilimali za congoKuna watu hawawapendi waarabu sijui shida nini!!
Mikataba huwa ni makubaliano kati ya nchi na nchi, sio wao wanotengeneza mkataba peke yao ni makubaliano kama hakuna makubaliano mkataba hausainiwiMikataba yao ikoje?
Akili pia tunazo?Jamani hela tunazo, wasomi tunao. Tatizo ni nini? Na karne hii tuna uwezo kabisa wa kuangalia hizo Bandari kama Shangai, Singapore zimefanya nini hadi kuwa na ufanisi? Wachina, wasingapore wazungu wa Roterdam na Antwerp wamevanya fanya nini? Kulikuwa na Haja ya kumleta huyu katili Sheikh wa Dubai kuwekeza kwetu? Wale ni pesa tu.
Kwanza tujiulize, watalipa kodi ama? Wenye mkataba uwekeni basi hapa tuone.
Nimecheka sana .Kuwa wengi sio tija. Hata Serengeti utakuta nyumbu zaidi ya 5000 wanakimbizwa na Simba mmoja ambaye hajabalehe. Katika watu 63m kuna wafuatao;
1. Wenye ugonjwa wa kuchanganya L & R kwenye sentensi.
2. Mashabiki wa Yanga.
3. Wakazi wa Geita na Njombe.
4. Wasukuma
5. Wafuasi wa chama cha Mbowe.
6. Wafuasi wa Mwamposa na Kuhani Musa.
7. Mashabiki wa muziki wa Singeli
8. Wahadzabe
9. Machalii wa R
10. Wateja wa Kimboka, Sewa, Corner Bar, Kitambaa cheupe, nk.
12. Video vixens
13. Mpwayungu Village.
Ukitoa hayo makundi hapo juu unakuta wanaobaki wenye akili ni wachache sana kama laki 8 tu.
Aibu tupuJamani hela tunazo, wasomi tunao. Tatizo ni nini? Na karne hii tuna uwezo kabisa wa kuangalia hizo Bandari kama Shangai, Singapore zimefanya nini hadi kuwa na ufanisi? Wachina, wasingapore wazungu wa Roterdam na Antwerp wamevanya fanya nini? Kulikuwa na Haja ya kumleta huyu katili Sheikh wa Dubai kuwekeza kwetu? Wale ni pesa tu.
Kwanza tujiulize, watalipa kodi ama? Wenye mkataba uwekeni basi hapa tuone.
Waruhusu Familia ya Chief Kimweri nao wamiliki Bandari ya Pangani Ili kuleta maana halisi ya biashara Huria kwenye Soko la Bandari Ili kushindana na familia ya mfalme Wa Kule Dubai.Ufanisi wa Bandari unatafutwa kwa kukaa na wataalamu kuumiza vichwa, Si kuuza Bandari.
Sa100 must go!!!
Allah kawapa Neema Sheikh!Jamani hela tunazo, wasomi tunao. Tatizo ni nini? Na karne hii tuna uwezo kabisa wa kuangalia hizo Bandari kama Shangai, Singapore zimefanya nini hadi kuwa na ufanisi? Wachina, wasingapore wazungu wa Roterdam na Antwerp wamevanya fanya nini? Kulikuwa na Haja ya kumleta huyu katili Sheikh wa Dubai kuwekeza kwetu? Wale ni pesa tu.
Kwanza tujiulize, watalipa kodi ama? Wenye mkataba uwekeni basi hapa tuone.