Population ya Dubai ni milioni 3.5M na Tanzania ni milioni 63, ina maana hakuna kabisa watu wa ku-design Bandari?

Mikataba yao ikoje?
 
Unapenda CCM unalalamika nini?
 
Tatizo tumezoea kutawaliwa ndio maana. Maana na uhakika kampuni zitakazotengeneza bandari kwa hao DP sio waarabu wenyewe. Itakuwa ya watu wengine. Kwa dalili hizi ina maanza kila kitu tunaleta wawekezaji. Usishangae mpaka shule za msingi..!! Hahaha
 
Akili pia tunazo?
 
Trump alitutukana mkaja juu humu ndani. Sasa leo mnalalamika nini? Tulieni kazi zifanyike kwa manufaa yetu sote jamani.
 
Nimecheka sana .
Huu ukweli unapaswa kurudiwa rudiwa na kusemwa mara Kwa mara
 
Aibu tupu
 
Ufanisi wa Bandari unatafutwa kwa kukaa na wataalamu kuumiza vichwa, Si kuuza Bandari.

Sa100 must go!!!
Waruhusu Familia ya Chief Kimweri nao wamiliki Bandari ya Pangani Ili kuleta maana halisi ya biashara Huria kwenye Soko la Bandari Ili kushindana na familia ya mfalme Wa Kule Dubai.
Watanzania wataamua wenyewe ama kupitisha mizigo Yao Pangani Kwa chifu wao au Kwa Mfame Wa Kiarabu na familia yake.

Mwinyi aliuza Sehemu ya Tanzania kule Loliondo Kwa familia hiyo Hiyo na Sasa familia hiyo inapewa Bandari bureeeee Kwa miaka isiyojulikana.

Loliondo waafrika ni Wageni na watumwa kwenye nchi Yao waarabu ni mabwana .
 
Tatizo ndugu zetu waliopata nafasi kuiongoza wametufelisha big time
 
Allah kawapa Neema Sheikh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…