Porojo ya majini

Acha kuwakumbusha bro... Usimuamshe aliyelala
 
Usikute na wewe ni kijini kidogodogo....acheni uchawi kenge nyie
 
Sasa kama Yanga wamemtumia majini akae kimya?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hapo una majini mangapi? Msitutumie bhana majini ni mjadala tu lisije likapanda Maimuna hapa tukashindwa kulituliza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jana jioni vip alikwenda live kusema wamemtumia majini mangapi mpaka sasa.?
 
Majini Yana masharti yake ukikosea tu yanalugeuka
 
Mayele kaamua kutumika kuchafua Yanga, ila hakuna aliyewahi kuichafua Yanga akabaki salama. Tutapambana nae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…