HAHAHAAHAA.. UKIPATA MJENGO WA LAKI AU CHOMBO CHA USAFIRI WA BEI YA LAKI NIPE SIGN BRO NITAFIKA MAENEO HUSIKA BILA KUCHELEWA.Vyuma kaka sio kila gari limeshuka sana,mambo ya bei hata mahindi yapo chini
Naimani hata bei za nyumba zipo chini pia
Kufikia 2019 tutanunua hata kwa laki tu
AISEE I DIDN'T KNEW THIS BEFORE, THANKS FOR THE HINT!Kiwanda Cha kutengeneza brevis kimefungwa, hazitengenezwi tena, kwahiyo hata spear hazitotengenezwa tena. Ukae ukijua ukilinunua ndo tayari umefunga nalo Ndoa. Watu wanaikimbia sasahivi brevis!!! Nunua ukomeshwe.
KWA SASA BAJAJ TVS TOLEO JIPYA NI ZAIDI YA MILIONI 7. WHETHER UNUNUE GARI AU BAJAJ IS A CHOICE NYAKATI HIZI.CC 2500 unafikiri mchezo nini?
Hiyo gari ni nzuri pia inatbia ya kujipandisha na kujishusha bei yenyewe kulingana na mahitaji ya soko, miaka 3 iliyopita brevis imeshuka bei kutokana na ujio wa hizi macX, grande 110, alteza bila kuisahau ist na raum kumechangia sana brevis kuporomoka bei, lakini kwa miezi 6 iliyopita ikaja kurudi tena kwenye ushindani sasa sijui ni kwa nini imeporomoka tena.
Kikubwa sana kwenye hii sector ya automobile ni demand ya soko, usishangae leo hii Bajaji ya TVS kuuzwa bei sawa na hayo magari, Jibu ni kwamba Bajaji inahitajika sana kwenye matumizi ya kawaida na kuna income kwa wamiliki wake.
IST nayo Gari?Consumption ya mafuta ndio shida.
Kama ushatumia alteza au subaru brevis utaiweza kama ulikuwa unatumia runx passo au ist ukaja kwa brevis utachanganyikiwa hasa kipindi hiki cha vyuma kukaza.